makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    GE2025 Mgombea Urais na Makamu wa Rais kupitia NCCR-Mageuzi wachukua fomu ya uteuzi

    Mgombea Urais wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama NCCR- Mageuzi, Haji Ambar Khamis akiwa ameambatana na Mgombea mwenza, Everylin Munisi, amechukua fomu ya Urais katika Tume Huru ya Uchaguzi Jijini Dodoma leo August 15, 2025 huku akiahidi kuwa endapo Watanzania watamchagua kuwa Rais atahakikisha...
  2. The Watchman

    GE2025 Makamu wa Rais asisitiza jeshi la polisi kushirikiana na TAKUKURU kudhibiti vitendo vya rushwa uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
  3. Crocodiletooth

    Haiwezekani makamu wa rais znz,akawa toka bara,na wa bara akawa mznz ili kubalasi mambo ya kiutawala?

    Kwa Tanzania bara hili halina mjadala,je kwa upande wa znz kwa nini hili lisiwezekane?,tujadili...
  4. U

    Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  5. W

    Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?

    Nini kinaendelea Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
  6. Roving Journalist

    Waziri wa Mazingira wa Norway ateta na Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni

    Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Andreas Bjelland Eriksen - Waziri wa Hali ya Hewa na Mazingira wa Norway. Mazungumzo hayo yalilenga ushiriki wa Tanzania katika COP30 na majadiliano kuhusu taka za Plastiki, yalifanyika katika Ofisi...
  7. Daby

    Purukushani na Vurugu zatokea wakati aliyekuwa Makamu wa Rais Rigathi Gachagua akizindua chama chake DCP

    NTV Kenya: Wamepost video za walinzi wa aliyekuwa makamu wa Rais wa Kenya wakifyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni waliovamia na kuleta vurugu wakati Gachagua akilaunch chama chake. Riggy G anaungana na makamu mstaafu wa Rais Kalonzo Musyoka, Waziri mstaafu Matiangi, Wamalwa na Martha Karua...
  8. The Watchman

    Makamu wa Rais: Viongozi wanolazimisha penzi ofisini washughulikiwe

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa onyo kwa baadhi ya viongozi wa umma wanaotumia madaraka yao vibaya kwa kulazimisha mahusiano ya kingono kazini, hasa kwa waandishi waendesha ofisi (makatibu mahsusi). Dkt. Mpango alikuwa akizungumza katika mkutano wa 12 wa Chama cha Waandishi Waendesha...
  9. Ritz

    Makamu wa rais wa Ansarallah wa Yemen Mohammed Ali Al-Houthi: tutaendelea na vita kuwaunga mkono Gaza

    Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Makamu wa rais wa Ansarallah wa Yemen Mohammed Ali Al-Houthi: Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, Msaada kwa Gaza unaendelea, na pia majibu. Netanyahu aanze kuandaa kujiuzulu kwake, kwani uhalifu wake ni vitendo vya gaidi aliyeshindwa. Ugaidi wa Marekani na Israel...
  10. The Watchman

    PreGE2025 Makamu wa rais Dkt. Mpango: Asibakie hata mfanyakazi mmoja nyumbani, wote tukapige kura

    Wakati Taifa likingoja uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika Oktoba mwaka huu, Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango amesema hatarajii kuona wafanyakazi wanabaki nyumbani siku itakapowadia. Amesema wafanyakazi wana nguvu ya kuiweka Serikali madarakani hivyo wanapaswa...
  11. Beira Boy

    MAKAMU WA RAIS: Philipo mpango mama bikira Maria ni mama wa taifa letu la TANZANIA, ni msimamzi wa taifa letu Tanzania

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU MWENYEZI aliye juu sana , aketiye mahali pa juu palipoinuka, yeye aliye mwenze enzi, aliye ziumba mbigu na nchi, BABA mwema na mkarimu sana na mwenye huruma nyingi kwa watu wake yeye ambaye alimtuma mwanae wa pekee aje atukomboe Jana nikiwa nasikiliza habari...
  12. Ojuolegbha

    Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isidori Mpango amewasili katika Viwanja vya Santa Pedro, Vatican tayari kwa kushiriki maadhimisho ya Misa ya Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani Baba Mtakatifu Francisko. Dkt. Mpango katika maadhimisho ya...
  13. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ampokea Makamu wa Rais Dkt. Mpango Jijini Roma

    WAZIRI KOMBO AMPOKEA MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO JIJINI ROMA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amempokea Makama wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango jijini Roma, Italia ambapo atamwakilisha Rais wa Jamhuri ya...
  14. Ojuolegbha

    Makamu wa Rais Philip Mpango akiwa na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika mazishi ya papa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango akiwa pamoja na Rais wa Finland Aleksander Stubb katika Mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Hayati Baba Mtakatifu Francisko ambapo Rais Stubb aligusia pia ziara yake ya nchini Tanzania kuanzia 14 Mei...
  15. and 998 others

    Protocol za Makamu wa Rais Mteule

    Mwenye kujua Protocol ya Makamu wa Rais Mteule, 1. Ulinzi? 2. Msafara [Idadi ya Magari] 3.
  16. Frank Wanjiru

    Anaandika Makamu wa Rais wa Yanga

    “Unaweza kuendesha Watu ila huwezi kuwaendesha wakati wote, unaweza kuburuza watu ila huwezi kuwaburuza wakati wote, unaweza kuwaongopea watu ila huwezi kuwaongopea wakati wote, kuwa makini na maji yaliyotulia, yana kina kirefu sana”. Arafat Haji kupitia ukurasa wake wa Instagram …………..
  17. The Watchman

    Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira yazindua programu upandaji wa miti Dodoma

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Khamis Hamza Khamis ametoa wito kwa jamii kuendelea na jitihada za utunzaji wa mazingira kwa kupanda miti ili kuhakikisha idadi ya miti inaongezeka na kutengeneza misitu itakayosaidia kutunza afya ya udongo na kuwa chanzo cha...
  18. S

    Arafat Haji: Yanga haitocheza mechi nyingine ya Derby zaidi ya hii ya March 8 katika msimu wa 2024/2025

    Ndugu Wananchi kwa dhati ya moyo wangu niwapongeze kwa kufika uwanjani kutoka kona zote nchini, mliosafiri kwa anga, mliosafiri kwa magari, mliopanda Pikipiki, mliopanda boti hadi Watembea kwa miguu, yote ni kwa ajili ya Yanga Afrika, huu sio tu upendo bali mahaba ya kulevya kwa klabu hii bora...
  19. Nelson Kileo

    Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  20. S

    PreGE2025 Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi wa Kijiji cha Kasumo wilayani Buhigwe mkoani Kigoma kuutambua na kuuthamini mchango wa Serikali katika maendeleo ya huduma za kijamii wilayani humo. Makamu wa Rais amesema hayo alipotembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Kahimba...
Back
Top Bottom