MTWARA: Mradi wa gesi asilia wa Ntorya mkoani Mtwara unaendelea kuwa miongoni mwa miradi muhimu ya kimkakati inayotarajiwa kuongeza upatikanaji wa nishati na kufungua fursa kubwa za kiuchumi nchini Tanzania.
Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome...
AMKENI!
@Africa_In_EN
imechapisha madudu ya kimama na kumwanika Ndejembi Urafiki wake na Abdul iko on recordLakini pia alifunguliwa kesi Uingereza na anadaiwa faini na hadi leo hajalipa! Ndo nawaambia hawa TISS ya Mombo ni 🚮 - Makamu wa Rais mzima ameacha vimeo huko UK! Na tungejua huyo faini...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapeni Tu Dondoo za Tetesi kutoka Viunga vya Ikulu ya Uganda Na katika Siasa za Uganda na Ndani ya Chama Tawala pamoja na Bunge kwa upande Mwingine na Jeshi kwa Upande Mwingine.
Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa Majeshi ya Uganda General Muhoozi Atateuliwa kuwa Makamu wa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza TAKUKURU mkoani Mtwara kuchunguza mchakato wa utoaji wa tenda ya shilingi bilioni 27, namna mkandarasi alivyopatikana na walioidhinisha tenda hiyo, baada ya kutoridhishwa na kasi na kiwango cha utekelezaji wa...
Makamu wa Rais wa Indonesia, Gibran Rakabuming Raka, amejiuzulu leo Alhamisi kufuatia kuongezeka kwa maswali kuhusu uhalali wake wa kushika wadhifa huo, baada ya maamuzi ya hivi karibuni ya mahakama kutilia shaka uhalali wa vyeti vyake vya elimu.
Raka, mwenye umri wa miaka 39 na mtoto wa Rais...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Watu Wenye Ulemavu Taifa na kiongozi mwandamizi ndani ya Chama cha Wakulima (AAFP), Ndonde Said Ndonde akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi jimbo la Chamwino Dodoma leo Oktoba 31
Tangu amepewa kiti cha Balozi Mseminari makamu mpya yeye shughuli zake na matukio yake ni mjini tu na nje ya nchi, sijawahi kumuona akifika mashinani huko kusiko na barabara na maji ya bomba ni ndoto ambako wanawake na watoto wanazunguka kwa miguu, punda na baiskeli kuyasaka maji kwa madumu na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge .
Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi,amewaasa vijana kwa kuwaambia kwamba wazo linalozaliwa leo kwenye fikra za kijana wa kitanzania linaweza kuwa kampuni inayoajiri mamia kesho na kuhudumia masoko ya Afrika Mashariki na kwingineko.
Huu ndio ujumbe mkubwa...
Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!!
https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN
Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona
https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, akihutubia katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 kilichofanyika katika Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa, amekemea tabia ya baadhi ya Halmashauri, Wilaya, na Mikoa kusubiri ratiba za Mbio za...
YAH: OMBI RASMI LA KUMUOMBA MAKAMU WA RAIS KUTEMBELEA WILAYA YA CHUNYA ILI KUJIONEA CHANGAMOTO ZA UMEME ZINAZOWAKABILI WANANCHI NA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU.
YAH: UWEPO WA WILAYA YA CHUNYA KATIKA RATIBA YA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS TAREHE 16 OKTOBA 2026.
Kwa heshima na taadhima, tunaomba...
Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
Makamu wa Rais Ndejembi ameanza vizuri sana.
Anza dakika ya tisa.
https://youtu.be/iAP0KlroFjI?si=rvQQ4kOAi75Q3BFA
Point muhimu kwa c-ceo forum.
Change the labour laws in Tanzania to be pro-young.
Make the labour laws to allow for 50% part-time employment in the government civil service...
Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini !
Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead !
Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Hili Ni Andiko nilikuwa nataka Kulitoa Wakati Ule Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Akiwa Makamu wa Rais . Nilitaka Kulitoa baada ya kuona kuna Mambo hayaendi sawa na kuna vitu na Matamshi yanatolewa ambayo ni kinyume na itifaki na pia ni Kinyume na majukumu na ni kinyume na...