maji

  1. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Hili lilisemwa pale Tunduma: Eti msipowachagua wagombea wa chama changu sintoleta maji

    Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji safi ya baridi ya kunywa wazambia wanafurahia matunda ya kodi Yao. Na wakati mwingi watanzania...
  2. MoneyHeist4

    JamiiForums Tanzania Mwauwasa ni Zaidi ya Tanesco sio kwa Gharama hizi za maji.

    Nyumba yangu iko umbali wa mita 150 kutoka bomba kubwa la maji lilipo. Nimeenda ofisini nikaambiwa nitoe 1.3M ili niweze kupaitwa huduma ya maji. Nikajiuliza kwanini gharama kubwa namna hii au kwakuwa maji ni uhai. Nikaondoka zangu huku kichwani nikiwa na mawazo ya kuendelea na ule mfumo wangu...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kuchamba kwa kutumia maji kunachangia sana kuenea kwa magonjwa

    Hili suala la ujio wa vyoo vya maji ni hatari sana kwa Afya za watz. Kunasababisha magonjwa mengi sana. Elimu itolewe. 1.UTI: UTI nyingi husababiswa na kuhamisha wadudu wa kwenye kinyesi kuwapeleka njia ya mkojo. Wanawake ni wahanga sana. Ni kazi kwao kuepuka hili hasa wanapotumia maji. 2...
  4. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na juhudi za kuondoa tatizo la maji nchini

    Na Yohana Mangala, Dar es Salaam Methali moja ya kiswahili inasema ‘Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe’ ndivyo tunavyoweza kusema kwenye utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo anafanya kazi kubwa ya kujenga taifa na kuleta...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Trilioni 1.2 kutoka EXIM Bank ya India zinazotumika kwenye miradi ya maji

    Juzi hapa Rais alipofanya mahojiano na Tido Mhando alisema Magufuli alikua anaendesha miradi kwa mikopo na mikopo mingine ya gharama sana. Wanasiasa uchwara kama Zito wamewahi kumsema Magufuli kwamba amekua akichukua mikopo kwenye taasisi za fedha za kibiashara kama Benki za Suisse Credits...
  6. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Utiaji saini Mikataba ya Miradi ya maji katika Miji 28, Kama Nchi tuna safari ndefu

    Nimeangalia wakandarasi waliopata zabuni za miradi ya maji, kwa kweli binafsi yangu sijamuona Mtanzania ngozi nyeusi aliye pata zabuni. Wote niliowaona mie, ni ngozi nyeupe (mabeberu), sasa nacho jiuliza ngozi nyeusi sisi tatizo ni nini? Sote tunafahamu njia kuu ya Serikali kuongeza fedha...
  7. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kutumia Maji kwenye Radiator [Rejeta]

    Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa.. . Unaanza kuona gari kama JINI Kabula, Sasa Leo nataka tuguse kidogo issue ya kutumia maji ya Bomba [tap water]katika...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vya upinzani jifunzeni njia tofauti za kuomba maji ya kunywa na kupewa

    Unaweza kupewa glasi iliyojaa maji ya kunywa kwa njia tofauti. Unaweza kuomba au kuagiza upewe maji, unaweza kubembeleza au kufoka upatiwe maji ya kunywa ukapewa, na unaweza kuyachukuwa mwenyewe bila kuomba ukayapata. Njia zote hizi zina lengo moja tu la kupata maji glasi moja tu ukate kiu bila...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Shaka awasha Rasmi mtambo wa kusambaza maji pamoja na kushiriki Ujenzi wa Shule maalum ya Sekondari ya Wasichana

    SHAKA AWASHA RASMI MTAMBO WA KUSAMBAZA MAJI PAMOJA NA KUSHIRIKI UJENZI WA SHULE MAALUM YA SEKONDARI YA WASICHANA . Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, leo amewasha mtambo wa maji na tone la kwanza la maji likatoka kwa wakazi wa eneo Mitwero mkoani...
  10. Bepari la bariadi

    JamiiForums Tanzania Stand kuu ya mabasi kukosa huduma ya choo kwa masaa zaidi ya sita kwa kisingizio za kutokuwa na maji ni uwendawazimu, hiki ni kioo Cha nchi

    Ni upumbavu ambao haukubaliki wala kuvumilika stend kuu kama hii ya Magufuli Mbezi louis kuendelea kukusanya mapato huku abiria wakitoa pesa zao kwaajiri ya huduma ya choo,Kisha wanaambiwa ni haja ndogo tu maana maji hakuna almost 6hrs now tokea kusitishwa kwa huduma hiyo muhimu.bila hata kutoa...
  11. hamis77

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini yapambana na Covid kwa maji ya chumvi na tangawizi

    Korea Kaskazini inapambana kupunguza maambukizi ya Covid kwa raia wake ambao idadi kubwa hawajachanjwa, bila utumiaji wa dawa bora za kukinga virusi. Mwanzoni mwa 2020, nchi ilifunga mipaka yake kujaribu kujikinga na janga hili. Uongozi wake hadi sasa umekataa msaada wa matibabu kutoka nje...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

    Kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna choo hata uki flashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa. - Kuamka saa tatu ama nne asubuhi. - Muda mwingi ni kuchati, kupeleka playstation...
  13. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  14. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Kivuli Ester Thomas: Maji ni Mtego wa Umasikini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA YA MAJI NA MZINGIRA NDUGU ESTER A. THOMAS KUHUSU BAJETI YA WIZARA YA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2022-2023. UTANGULIZI: Jana jumatano tarehe 12 Mei 2022, Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso aliwasilisha katika Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania makadirio ya...
  15. BigTall

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Wananchi wayatumbukiza kwenye maji, wayachoma magari ya kifahari ya wanasiasa kisa ugumu wa maisha

    Wakati maandamano yakiendelea Nchini Sri Lanka inadaiwa kuwa hivi ndivyo baadhi ya wananchi walivyoamua kushusha hasira zao kwa familia ya Rajapaksa ambayo inatawala nchini humo. Wameamua kuyachoma na kuyatupa ndani yam aji magari ya kifahari ya wanasiasa hasa kutoka familia hiyo Watoto na...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Tsh. 709,361,607,000

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000 Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi walishawapuuza. Mnatwanga maji kwenye kinu kufanya usanii wa kiaiasa. Ninyi ni matapeli wa kisiasa mlishashutukiwa

    Mbowe ni kibaraka wa CCM na watu walishampuuza kabisa. Wananchi sasa wapo serious kupambana na maisha magumu hivyo hawataki usanii wa kipuuzi juu ya hatima maisha yao. Kujifanya wajanja ili muchezee akili za wananchi wao walishashutuka ipo siku mtapigwa mawe hadharani. Huu sio wakati wa Mbowe...
  18. Sheffer95

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maji yanayotembea yanatakasa?

    Hizi ni Habari za muda mrefu nimekuwa nikisikia kwamba maji yoyote yale yawe ya bahari au mto unaotembea hutakasa mwili Je wajuzi wa mambo kuna ukweli wowote katika hili?
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania umewahi kusahau kuwasha ama kuzima pasi, jiko, hita ya maji, rice cooker. n.k na ukaondoka... nini ulikikuta uliporudi ?

    1. kusahau kuwasha kuna siku niliweka mchele kwenye rice cooker nikawasha switch ila pale kwenye rice cooker sehemu ya cook sikubonyeza ,nikaenda kuanangalia muvi kwenye tv ,imefika saa 2 hivi nikasema ngoja nipakue nile nilale, naenda kufunua nakuta mifuta inaelea hakuna kilichopikika na nina...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Rorya: Watu watano wafariki dunia baada ya mtumbwi kuzama

    Wapendwa Habari za uzima? Nimepokea taarifa kutoka Mkoani Mara wilaya ya Rorya kata ya kowaki mtaa wa Labuor kwamba watu watano(5) wamesombwa na maji. Kati ya hao wa 5, 3 ni wana wa kike( wanawake) na wawili(2)ni watoto. Walikua wanavuka kutoka upande mmoja wa mto mori kwenda kwa ibada siku...
Back
Top Bottom