Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari.
Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA)...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji yanayoendelea kuongezeka kutokana na kasi ya uwekezaji na ukuaji wa viwanda mkoani humo.
Kauli hiyo imetolewa...
Mimi ni Mkazi wa Mpigi Muheza Kata ya Maili moja! Tunachangamoto ya maji, tuna mabomba huu Mwaka wa 3 lakini kama unavyoona kwenye hiyo picha ndani ya miaka mitatu yote nimetumia Unit 28.
Tuna muda mrefu hatupati maji tangu mwaka umeanza nimetumia kama unit 3 ambazo nimeshazilipa kwa huu mwaka...
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso ameiagiza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Iring (IRUWASA) kuhakikisha katika kipindi cha mwezi mmoja inatekeleza mradi wa muda mfupi kuhudumia Kaya zipatazo 23 zinazokosa maji katika Vijiji vya Luhindo na...
Wakati ubinafsishaji umepamba moto Bolivia walibinafsisha DAWASCO yao kwa kampuni ya France. Kampuni ikapiga marufuku wananchi wa mji kukinga maji ya mvua. Ilisema hayo ndiyo yanaingia ardhini na kwenye vijito ambako wao hukinga. Wananchi waliandama na kampuni ikafurushwa.
Juzi kati kuna jiji...
UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za
maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika mikoa ya Dar es
salaam na Pwani.
Hatua hii muhimu ya WRWB ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya kwanza...
Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa kutekeleza shughuli zao za kila siku kwa urahisi kutokana na ukosefu wa huduma hiyo muhimu.
Wakati mwingine...
Raia wachoma magurudumu ya magari barabarani huku mgomo wa usafiri ukiendelea Kenya
Chanzo cha picha,NMG
Wahudumu wa uchukuzi wa umma wamesema watalemaza sekta ya usafiri hadi pale mamlaka ya udhibiti bei wa mafuta EPRA itabatilisha uamuzi wa kupandisha bei ya lita moja ya mafuta ya petroli...
Usiwahi Kunywa Maji yaliyopo Mbele yako mara baada ya kuongea Maneno hasi..
ukizungumza ukiwa na hasira kali mawazo mabaya, Maji huwa na tabia ya kufyonza kila mtetemo wa kila neno ulilotoa.
Ikiwa Utazungumza Maneno hasi huku Maji yapo pembeni, Kisha ukabeba Maji hayo na kuyanywa basi...
Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo hayo, hususan wafanyabiashara.
Hali hiyo pia inachangiwa na chemba inayotiririsha maji taka katika...
Anonymous
Thread
barabara
eneo
majimaji taka
mikocheni
mitaro
mitaro kuziba
taka
Wakuu kwema.? Anayefahamu biashara hii ya kuuza maji naomba anaifahamishe machache haya:
Gharama za ununuzi wa machine (mfumo mzima) wa kuchuja maji.
Gharama za ufungaji wa machine hizo
-Upatikanaji wa machine hizo.-
Gharama za uendeshaji.
Faida ikoje.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mamlaka ya Maji Iringa IRUWASA inakatia wateja maji hadi wanaodaiwa bili ya shilingi elfu moja kwa mwezi mmoja na kuwalazimu kulipa garama za kurudisha maji elfu 15.
Wanafanya hivyo ili mamlaka ya maji iweze kuongeza makusanyo, hatujawasiliana na yeyote hakuna ushirikiliano na wananchi hatuna...
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Mathew Kundo amesisitiza juu ya umuhimu wa Wizara ya Maji kushirikiana na Sekta binafsi nchini kwa lengo la kuongeza ufanisi katika kufanikisha malengo ya Serikali ya utoaji wa huduma ya majisafi kwa wananchi wote kwa asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
Hayo ameyasema...
Kiu ya Maisha
Kila mmoja wetu hupitia wakati wa kiu. Kiu ya pesa, kiu ya kazi, kiu ya mapenzi, kiu ya mafanikio. Kiu inatufanya tuwe wanyonge, wenye pupa, na wakati mwingine tupofuke. Ndipo wengi hutunuku "maji".
Maji yenye Sumu
Lakini si kila anayekupa maji anakutakia mema. Kuna maji ya bure...
Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu iliyopandwa October 29 wasifikiri Gen Z wamekubali yaishe pamoja na kuona wenzao wanapigwa risasi marafi...
Kuna tatizo kubwa la upungufu na ukosefu wa maji kwa vitongoji kadhaa kwenye vijiji hivi viwili ambapo baadhi ya wananchi wanapata maji kwa mgao na wengine hawapati kabisa.
Mamlaka ya maji (IRUWASA) haipokei wala kuunganisha maji kwa wateja wapya wa Kijiji cha Luhindo kwa maelezo ya upungufu wa...
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa!
Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka leo hii hakuna maji au yanatoka kwa pressure ndogo sana tena usiku wa manane.
Cha ajabu ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
hatuna
idara
idara ya majimajimaji arusha
mmoja
mtaa
mtaani
mwezi
mwezi mmoja
mzima
shida
shida ya maji
taarifa
tuna
yapata
Mikocheni nyuma ya Shoppers Plaza mtaani kwetu vinyesi vinamwagika tu, yaana mwaka sasa na tumesharipoti DAWASA hawafanyi kitu tumeripoti kwa mwenyekiti hafanyi kitu.
Tunaomba msaada kuna Watoto wadogo wanachezea hicho kinyesi, ni Mikocheni A, Mtaa wa Darajani aisee hali ni mbaya sana, naomba...
▪︎Mpango wa Gridi ya Taifa ya Maji utaendelezwa ili kupeleka maji kutoka vyanzo vya uhakika kama maziwa na mito makubwa hadi maeneo yenye uhaba mkubwa wa maji. Mradi huu ni muhimu katika kuhakikisha usambazaji wa maji salama nchi nzima.
▪︎Katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi na ukame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.