Wewe ni kama ndugu yangu wacha nikushauri kitu.
Ndugu katika maisha yako ya kila siku USIPENDE sana kuikimbizia GARI, ukichelewa acha utakuja panda inginewe.
Pia sio tu gari hata NDOA, hivi vitu sio vya kuvikimbizia kabisa ikitokea vimekuacha na wewe pia acha utakuja panda inginewe.
Labda...
Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu.
Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha
1. Usiwe mtu wa kulalamika...
Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF....
Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi...
Nimejiwekea utaratibu kila...
Acheni unafiki baadhi ya binadamu wa bara la Asia ya kati na Afrika na bara arab.
Mnajifanya kuwachukia wazungu wa ulaya na marekani ila kila siku mnakimbilia kuomba hifadhi huko.
Mnatumia mpaka satelite zao na teknolojia zao na elimu zao na mnapenda tamaduni zao.
Acheni unafiki wabantu na...
Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi.
Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita bila kumtafuta na namba zake za simu nilishafutaga na kichwani pia hazipo mana sina kawaida ya...
Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa.
Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
Generation Z ni kizazi kisichotaka mambo mengi kwenye maisha, mfano nimekutana na hiki kipande cha mchekeshaji Chard Talent akiweza kuimba kwenye beat iliyopigwa kwa kutumia Guitar na msanii Hamis BSS. Binafsi nimegundua Chard Talent pia kwenye mziki yuko vizuri.
Chard Talent amenata na beat...
Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye.
Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele
ya waumini pepo...
Habari zenu ndugu zangu.
Natumaini wote ni wazima wa afya.
Katika kupambana na maisha na kuptia changamoto mbalimbali kumenifanya niwe mtu mpole sana, mkimya na mtu nisiye na makuu.
Katika ukuaji wangu wa ujana enzi zile nikiwa teenager sio siri nilikuwa na akili za kipuuzi sana, maisha...
Na Francis Godwin
Changamoto ya Ndege aina ya popo imekuwa ni Tishio Kubwa kwa wakazi wa Mtaa wa Seaview Kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam.
Madhara ya popo yanaweza kutofautiana kutoka kwa kipindi cha mwaka na eneo.
Hapa kuna madhara kadhaa yanayoweza kutokea kwa sababu ya...
Habari Wanajf?
Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika.
Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP.
===
Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega.
Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
Wana MMU kwema? Nikutana na hii mada sehemu, je kuna umuhimu wa kumposti mpenzi kwenye mitandao ya kijamii?
Baadhi ya wanaume wanasema kufanya hivi ni kuanika mambo yako bila sababu ya msingi hivyo hakuna haja, huku wanawake wamegawanyika katika makundi mawili, baadhi wakisema hawawezi kupost...
Kazi unafanya lakini hutoboi
Kusoma umesoma lakini huajiriwi
Kuajiriwa umeajiriwa lakini hali yako ni kama jobless.
Biashara unafanya miaka nenda rudi lakini hustawi.
Wachawi watu wabaya sana.
bahari
bahari ya hindi
karibu
katika
kuchukua
kuwepo
kwani
maafa
maishamaisha yetu
mwanzo
ofisi
raha
roho
tahadhari
tangazo
tma
volcano
wananchi
watumiaji
waziri mkuu
wasanii wenye Hali nzuri nje ya Sanaa ta mziki, Kwa Sasa hawajishughulishi sana na mziki kama kazi zao kuu, ni wastaafu
Si jambo la kuficha kwamba ni wasanii wachache huwa wana hali nzuri za kiuchumi baada ya maisha ya muziki
Orodha ya hawa wasanii hatuwezi kusema kwamba ni matajiri wa kutisha...
Fikiria huko sehemu na jamaa zako mkila bata alafu jamaa fulani amnong'oneze mwenzake "unamuona huyo jamaa! kwao ni masikini wa kutupwa". Au umekaa sehemu za ushuani kama "masaki" ukiwa na marafiki na wewe unaishi mbagara japo umejenga mjengo wa maana mbagara (ghorofa) alafu wakati...
Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34.
Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia...
Safari muhimu hata kama utaiamua wewe ni vema isikose watu wa kuambatana nawe, hata kama utaiamua hio safari wewe ila watu ndio watakusindikiza na kukufikisha.
Safari katika maisha zipo nyingi na zote wameumbiwa watu. Chagua safari yenye heri itakayo ambatana na wasindikizaji wema.
Heri nyote...
Kuna ajali mbaya imetokea Tunduma mkoani Songwe, ambapo watu watano hadi sasa wamepoteza Maisha.
Ajali imetokea maeneo ya Sogea kwenye mteremko wa Mlima Chengura.
Taarifa za awali zinadai Kati ya Watu waliopoteza maisha, Watatu ni Familia moja ambao ni Mama na watoto wake wawili mapacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.