maisha

  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ni Kosa Gani La Kawaida • Ambalo Watu Wanalo Kuhusu Wewe?"

    Habari wana JF, Poleni na pilika pilika za hapa na pale 🤝, Binadamu mara nyingine wanaweza kuwa na tabia ya kutoa hisia au sifa za kibinadamu kwa vitu ambavyo havina hisia wala ukweli wowote, yani utakuta mtu au watu wanajiuliza maswali ya namna hii kuhusu wewe:- • Watu wengi wanapata ugumu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Usishindwe Kufurahia Maisha yako kwa sababu ya historia au mambo yako ya nyuma

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Taikon kama Mchunguzi huru, na ambaye ninajihusisha na watu wote, nilikuja kugundua kuwa moja ya mambo yanayowafanya Watu wengi kushindwa kufurahia maisha yao ni pamoja na kuendekeza PAST na BACKGROUND zao. Basi hivi leo, ikiwa wewe ni mmoja wa Watu wa aina...
  3. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Maisha ni mahesabu na hesabu ni kanuni

    Salaam Ndugu wajenzi wa Taifa napanda kuwasalimia kwa maamkizi mema ya Jamhuri ya muungano kwani ndiyo kitu chenye kutuunganisha kama marafiki,theni napenda kutoa pongezi kwa uongozi wa jamii foroum kwa hekima ya maarifa na busara tunayopata kwenye jukwaa. Straight to the point,maisha siyo...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

    watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE. SOME THING MUST BE DONE. WE CANT GO ON THIS WAY. WE NEED THIS GOVERNMENT OUT, BY ANY MEANS. WE NEED...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kipindi sijapigwa na maisha, nilidhani kuwa wanaume wanaochapiwa wake zao ni wajinga

    Ndugu zanguni, nataka mjue kuwa kwa sasa napitia kipindi kizito sana. Nimesharudi ofisini mara kadhaa kumuomba boss msamaha ili nirudi kwenye system pasi na mafanikio Nilifanya kosa gani? Wiki mbili nyuma ilikuwa ni siku ya Birthday yangu, hivyo nikaandaa party kubwa sana kwa ofisi na...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Maisha ya Mwanadamu

    Maisha wakati mwingine huonekana kutokuwa na maana, lakini ni mwalimu bora kwa mwanadamu uwe jeuri na mkaidi ila Maisha ndo yatakufunza vyema. Kila uzoefu na hali mbaya tunayokabiliana nayo ukitazama ndani yake basi kuna somo kubwa ndani limejificha kwake, ajabu ni kwamba wachache sana wanaweza...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania "Sipendi kupangiwa Maisha" Ndio maana sifikiri kuhusu ndoa

    Moja ya sababu inayo niweka mbali na kuniondolea kichwani mwangu kabisa suala la Ndoa(kuoa). Ni kwa namna nilivyo mimi binafsi, mtindo wangu wa maisha hauhitaji kuongezeka mtu mwengine atakae nipangia taratibu za kuishi na kuendesha mfumo mzima wa maisha yangu. Nimeweza tofautiana na watu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi wazidi kuteketeza maisha ya Watanzania. Amuua mke wake kisa wivu

    Watu wawili akiwemo mke na mume wamekutwa wamefariki katika maeneo tofauti tofauti baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe na kumtupa eneo la Mafisa kwa Mambi na yeye kukutwa amejiua katika eneo la Bigwa Manispaa ya Morogoro. Akizungumzia tukio hilo lililotokea usiku wa kuamki leo, kamanda wa...
  9. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Usimdharau mtu, jifunze kupitia Historia ya maisha ya Kevin de Bruyne

    Hadithi ya Kevin de Bruyne na mwanamke aliyemwacha Picha ni marafiki wawili waliokua pamoja ndani timu ya kukuza vipaji nyumbani kwao Belgium mmoja wa kishua Thibaut mwingine wa maisha ya chini kabisa Kevin De Bruyne baadae wakanunuliwa na Chelsea ya vijana baadae mwanamke akawafanya kutengena...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kungekuwa na Hukumu ya Kosa hili basi zamani sana ningekuwa natumikia Kifungo changu cha Maisha Segerea

    Hivi unajua usipompa pesa mkeo akavaa vizuri na akapendeza ni ukatili wa kiuchumi? Hii ndio kauli iliyotolewa na Hakimu Mfawidhi Mahakama ya Mwanzo Sanya Juu wilayani Siha, Janeth Mvungi, alipozungumzia siku 16 za kupinga ukatili. Akizungumza katika maadhimisho hayo leo Desemba 11, 2023 huko...
  11. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kufuata Bidhaa hapo China kusikufanye ukajiona umeyapatia maisha ukadharau watu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kama kuna watanzania ambao wanajiona wameyapatia maisha kuliko watanzania wote,basi ni hao wanaofuata bidhaa hapo China!. Aisee,asikwambie mtu jamaa wanajiona wako matawi kinoma!. Bidhaa zenyewe mnaleta feki na kama ni nguo basi ni midosho ya kufa...
  12. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Namna ulivyoyaanza maisha na mkeo unakuja pata mali (kufanikiwa) unaongeza mke wa pili hii si sawa

    Hii ni kwa waislamu, Mlioruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja. Yaani unayaanza maisha ukiwa hauna lolote vile unapambana na msichana wa watu (mkeo), vile anakupa njia wapi pa kuanzia wapi pa kumalizia, vile unaanguka anakusaidia kusimama tena. Mdada wa watu (mke mkubwa) mara achome vitumbua mara...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Jinsi polisi walivyonusuru maisha yangu last night

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kwanza napenda kumshukuru mw/Mungu kwa kuendelea kunipa nafasi nyingine ya kuishi hapa duniani. Naelewa kila mtu atakufa kwa kifo cha namna yake hapa duniani, lkn katika maisha yangu nimekuwa nikimuomba Mungu siku akinihitaji kurudi kwake, basi kifo changu kiwe cha...
  14. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kuishi kwa kuwaza msahara ni mateso

    Guys, Maisha hasa ya Watumishi wa umma kuishi wanawaza mshahara kila wakati ni mateso Sana. Baada ya kupata ajira waza sana kuwa na Uhuru Wa pesa yaani financial freedom Kwa kujifunza kuwekeza n.k Mfano unalipwa 700k baada ya makato yote how comes unashindwa kusave 150k Kila mwezi. Kama...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madalali chanzo cha maisha magumu na sio CCM

    Dalali ni nani? Watu wengi katika kupata ardhi zao au nyumba za kupangisha wametumia watu wanaoitwa madalali. Tunafahamu kwa uchache juu ya shughuli zao wanazofanya kila siku. Dalali ni mtu wa kati anayewaunganisha mteja na mwenye mali kwa kupata ujira unaotokana na kuwakutanisha pande mbili...
  16. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Lijue tatizo jipya la kisaikolojia ambapo mtu aliyepata "mafanikio" kwenye maisha yake huamini kwamba watu wake wa karibu wanamchukia

    Wewe unaesoma Uzi huu bila shaka : 1. Umewahi KUKUTANA na mtu mwenye tatizo kama hili. Au 2. Wewe mwenyewe una tatizo hilo ila hujui kama upo nalo. Tatizo hili mara nyingi humkuta mtu ambae amepiga hatua kidogo kwenye maisha au amepata breakthrough kiuchumi jambo ambalo yeye analitafsiri kama...
  18. Joseverest

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wanaojiona wameyapatia maisha

    DISCLAIMER (KANUSHO): Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya burudani tu, Maudhui yake hayana nia ya kukashifu, kudharau au kuchukulia poa harakati/imani/mitazamo au kazi za watu.. Tufurahie na kucheka maisha mafupi haya. Jitafakari wewe upo kundi gani kati ya haya na ufurahie: 1. Watumiaji wa Bidhaa...
  19. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Elimu bure bado ghali kwa badhi ya wazazi, baadhi ya Wazazi Washindwa kupeleka watoto shule

    Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi. Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
  20. Buyaka

    JamiiForums Tanzania Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
Back
Top Bottom