maisha

  1. JamiiForums Tanzania Serikali iongeze bei ya energy drinks ili kunusuru maisha ya Watanzania

    Wasalaam wana jamiiforum Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji. Na wanavichukulia powa kwamba vinawachangamsha na kuwaondolea uchovu lakini taratibu vinawamaliza. Nimewaza...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama ya maisha

    Jana nilimuona Jamaa mmoja akishauri nini cha kufanya kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha. Hoja yake ambayo mimi naiita hoja nyepesi alishauri wananchi kuwa kwa kuwa sasa nchi inapata mvua basi ni wakati muafaka watu kujikita kwenye kilimo ili kuepukana na gharama ya kupanda kwa maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Naombeni mnikumbushe tena maana ya maisha

    Huenda mimi ni mmoja kati ya wale watu wanaosahau mambo haraka, kwa jinsi mambo yanavyosonga ni wazi kabisa nakosa maana halisi ya neno Maisha. Navurugwa na kupata mtungo wa maswali ndani ya kichwa change, nakosa majibu nabaki nakuna kichwa kwa mishangao mikubwa mikubwa. Unaweza kupata mgonjwa...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Haioneshi picha nzuri kwa viongozi kunawiri/kunenepeana ilhali raia wakikondeana kwa sababu ya ugumu wa maisha

    Leo wakati namsikiliza Mh. Aikael Freeman Mbowe, amegusia jambo ambalo kwa kweli kwa maoni yangu naona yuko sahihi kwa 100%. Hii Serikali ukiangalia maisha wanayoishi Viongozi na Raia, utafikiri wanaishi katika nchi 2 tofauti! Viongozi wengi wa sasa wanazidi kunenepeana huku raia walio wengi...
  5. JamiiForums Tanzania Shule ipi humjenga mwanafunzi kiakili, kifikra pamoja na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?

    Je, ni shule za Serikali? Ama ni shule za watu binafsi? Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
  6. JamiiForums Tanzania Kipi Bora Tanzania tuwe wengi maskini au wachache wenye maisha bora

    Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini.. Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5 Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor ukuchek serikali Ina Mipango gani na future...
  7. JamiiForums Tanzania Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
  8. JamiiForums Tanzania Naweza vipi kuishi Pasina kuyatilia sana Maanani haya Maisha?

    Ivi Umewahi kufikiria hili? Katika miaka mia ijayo, mwaka 2124, sisi sote hatutakawapo hata jamaa na marafiki zetu pia. Watu wasiojulikana wataishi katika nyumba zetu ambazo tumejenga kwa jitihada kubwa na kwa Majaribu mengi. Watakuwa na vitu vyote tulivyo navyo au Vingine kuvitupa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kufurahia maisha usiichezee

    Pamoja na pilikapilika za utafutaji wa pesa ni muhimu ku enjoy life kila upatapo nafasi, siyo kila siku busy busy, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, wao muda wa kazi ni kazi inapigwa kwelikweli, lakini ikifika ijumaa jioni ni bata hadi jumapili, jumatatu kazi kama kawaida, kwa mtazamo wangu...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha na Muziki (Story ya maisha yangu)

    Ladies and gentleman its your boy selemani sele mzee wa mastory,kinachokuja mbele yenu ni story ya maisha na mziki ni story fupi natumai watu watajifunza. MAISHA NA MZIKI Episode 1. (KUZALIWA) Miaka 30 iliyopita nilizaliwa katika jiji lenye kila aina ya uchafu madanguro, vibaka, majambazi...
  11. JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Mwaka 2024 tutapigania maisha ya heshima kwa Watanzania wanyonge

    Utangulizi. Tumetimiza siku 10 tangu tuumalize 2023 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2024. Kwa kawaida tumezoeleka kuzungumza na umma kupitia vyombo vya habari kuhusu mambo mbalimbali yaliyojiri kwa mwaka mzima mwishoni mwa mwaka. Tangu kuundwa kwa chombo hiki mwezi Februari 2022 kimekuwa chombo...
  12. JamiiForums Tanzania Davido ashtakiwa kwa kumtishia maisha Tiwa Savage

    NIGERIA: Jeshi la Polisi nchini humo limeanza uchunguzi dhidi ya Nyota wa #AfroBeats, Davido ambaye anatuhumiwa kumnyanyasa Kihisia na Kumtishia maisha Mwimbaji #TiwaSavage Kwa mujibu wa taarifa, inadaiwa Mastaa hao walianza kukosa maelewano kati yao Desemba 2023 baada ya Tiwa Savage kuweka...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

    Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa. Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi...
  14. JamiiForums Tanzania Heartbreak 💔. Upendo Wetu Ni Muhimu 💕

    "Ingawa mioyo yetu inapitia maporomoko. 💔➡️❤️ [" #UpendoWetuNiMuhimu"] , Lakini Kuna Siku ambazo moyo unahisi uzito wa yale yote unayo yapitia katika maisha, iwe katika utafutaji wa kifedha, misukosuko ya kimapenzi au kifamilia, kumcha mungu katika ibada. [ #SikuKwaSikuJourney ] • Je, wewe...
  15. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

    - Kukatika katika hovyo kwa umeme - Fukuza fukuza ya machinga - Kuongeza nauli hovyo hovyo - Ubovu wa miundombinu ya barabara - Kukwama kwa miradi mbalimbali - Mfumko wa kutisha wa bei - Rushwa iliyokithiri Mnataka mchaguliwe kwenda kuongeza tena gharama za maisha? Yaani CCM mmepoteza...
  17. JamiiForums Tanzania Kushika mimba Tanzania isiwe hofu kupoteza ya maisha.

    Kuna Dada mmoja amefariki wakati wa kujifungua lakini Sasa naona kama imekuwa ni kawaida Sasa. Vifo vya kinamama vimezidi sana inafikia hatua watu wanne au watatu wa karibu. Juzi Kati nimeona hadi mwandishi wa habari pia. Hebu tuanze campaign ya kuhusu uzazi salama. Wadau wa Afya tuliangalie...
  18. JamiiForums Tanzania Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

    TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE. Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood Holy Grail" unaweza kuona umuhimu wa kuzifahamu familia hizi 13 zinazoutikisa ulimwengu bila ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna watu wanadhani 2024 watapata ahueni. Ni namba tu zimebadilika. Kama hujabadilika msoto uko palepale

    Angalia ni nini kilikuwa kikwako kwako 2023 kabla hujaanza kuota ndoto za abunuasi 2024. • Je, ulevi ndio ulikuwa kikwazo? • Uzinzi? • Kutokuaminika? • Kukosa elimu na sifa za kuajiriwa? • Kutoa sadaka kipumbavu? Maana kuna watu hutoa mpaka sehemu waliyopaswa kutumia wao kwa upumbavu wao...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu 2023 umekupa funzo gani kubwa katika maisha yako?

    Wakuu, Mwaka 2023 unakaribia kuisha, tumekutana na mambo mengi, ya kufunza, kukatisha tamaa, kutusogeza mbele ama kuturudisha nyuma, kutupa nguvu na kutufurahisha pia. Katika mambo yote uliyokutana nayo, ni kipi kimekugusa sana kwa namna moja ama nyingine na kukufunza jambo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…