Ni katika kituo cha kupigia kura Mivumoni madale
Majira ya asubuhi vituo vinafunguliwa!
Polisi wanawathili kwa ajili kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao (kura zao)
Masanduku ya kura yakaandaliwa na kupangwa kwa ajili ya upigaji kura!
Wasimamizi wa uchaguzi (walimu ) wakiwa...
Jamaa mmoja aliapa kuwa hatakula chakula cha mama nitilie. Alikuwa mfanyakazi mwenye mshahara wa kawaida sana.
Lakini aliweza kula hotelini kipindi chote alipokuwa kazini mpaka alipostaafu kwa hiyari 2017.
Ukijiapiza kuwa kuanzia leo sitatoa sadaka chini ya sh .elfu 10 ndio utaishi hivyo na...
Uchaguzi umeisha leo, walioshinda na walioshindwa wote watanzania, cha msingi wananchi wanataka huduma na sio bora huduma, mnaopanga kufanya vurugu mnajitafutia kifo na jela tu
Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha.
Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk
Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu...
Kuna wanawake wamejiingiza kwenye vikoba, michezo, upatu ambao umewafanya wawe ni watumwa wa
Maisha.
Imefikia hatua mpaka wanaume anapotaka kumsaidia mtu anambiwa unamapaje mtu hela hiyo mimi nadaiwa kikoba
Mtu anayecheza michezo sawa na mtu anabet kila pesa huiwazia kamari tu akaizalishe😀🙌🏿...
Katika maisha yetu ya kila siku, fomula zimekuwa sehemu ya msingi wa maarifa, ingawa mara nyingi hatuzitambui. Kutoka kwenye miundo ya majengo tunayoishi hadi teknolojia tunayoshikilia mkononi, fomula zimefungua milango ya uvumbuzi wa sayansi, teknolojia, na hata maisha yetu ya kawaida. Lakini...
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo ghafla ajali hii ikatokea...
Nilichowaza mimi kumbe michepuko nayo inaokoa maisha🤭😂🤣🙌
Red flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.
Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single...
Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi.
Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida.
Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine.
Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja.
Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji...
Wale wakiofika pale page
Znz beach
Kuna hotels kadhaa
Kuna moja tulienda tulipofika nkajilinda kwanza bia sh ngapi akasema 8000 mnakaa kwenye kagorofa flan
Na chini pia kuna sehemu ya kukaa ukiangakia dinian na uumbaji wa Mungu kwa kila dunia waarabu waafrika kwa wazungu
Wakati naingia...
Nimeleta huu uzi ili tupate kidogo maarifa na tunaweza kusaidiana kimawazo
Mimi ni mzaliwa wa kanda ya ziwa huko ila nimebahatika kusoma chuo Dar moja ya chuo maarufu mjini Dar n hata baada ya kutoka chuo nikaamua kubaki Dar sasa kuna ndugu yangu mmoja akanipa mchongo wa kuja Dodoma nimekuja...
Mwanaume kua na wanawake wengi ni mtego wa shetani kuhakikisha unakua masikini maisha yako yote maana ngono Ina gharama kubwa sana Kwa mwaname ila ni faida Kwa mwanamke chagua mwanamke wako mmoja anae tosheleza hisia zako najua sio lahisi kulizika na mwanamke mmoja ila unaweza kuamua kutulia na...
Wakuu habari
By December nataka kuanza maisha Sinza au maeneo jirani na stand ya Mawasiliano ( sijui nayo hii kama ni Sinza).
Nisiwachoshe sana, niende moja kwa moja kwenye point ya msingi.
Ninahitaji kupata gheto maeneo ya Sinza zifuatazo
1. Sinza Kivulini
2. Lufungila hadi kwa mama ngoma
3...
Sioni future elekezi kwa Tundu Lissu, ipo haja na ulazima wa yeye Kuunda Chama Chake aachane na Chadema.
Chama Kipewe Jina UFD Kirefu Chake United Front for Democracy.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA
Maisha baada ya kuhitimu masomo ni kipindi ambacho wengi hukutana na uhalisia wa maisha. Kwa miaka mingi, wanafunzi hutumia muda wao darasani wakijitahidi kufaulu na kufikiria kuhusu maisha bora yatakayoundwa na vyeti vyao. Hata hivyo, hatua ya kutoka darasani na kuingia mtaani huleta ukweli...
https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5
===================
Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka
Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu.
Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
Maana mpaka saivi sijaona kiashiria cha uhakika kwamba .maisha yetu siyo ya kibahati bahati tu . Hamna kitu ambacho tuna uhakika nacho ( kuna vitu wanasemaga uhakika ila na vyenyewe ni bahati tu*
Kwenye huo mkasa wa kuanguka kwa ghorofa Kariakoo kuna mengi yanasemwa ila linalozungumzwa zaidi ni hili la ghorofa kuchimbwa katika msingi kujenga underground.
Kama ni kweli watu walikuwa wanachimba hilo ghorofa kwenda chini ila kutengeneza huo upuuzi unaitwa underground/basement halafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.