maisha

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi - Morogoro wathibitisha watu wawili wamepoteza maisha kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linathibitisha kutokea kwa vifo vya watu wawili kwa athari za maji yaliyotokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Vifo hivyo vimetokea katika nyakati na maeneo tofauti. Tukio mojawapo limetokea usiku wa kuamkia Januari 30, 2025 katika mtaa wa...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maisha yako ni biashara yako: Jizoeze kuweka mipaka, huwezi kuwa mwema kwa kila mtu

    Thamani yako ipo kwenye namna unavyojiwekea mipaka katika maisha yako kulinda nguvu zako, marifa yako na muda wako. Watu la asili yao hupenda kuwatumia wenzao Kwa maslahi yao, ukizubaa utatumika sana na tatizo siyo wanaokutumia ila wewe unayetumika. Wema siyo kutumika, huwezi kumfurahisa kila...
  3. Mr Ballo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mchaga) wa maisha. Ninaishi hapa Dar es Salaam

    Habari wanajamii, natumaini mnaendelea vyema. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi hapa Dar es Salaam. Natafuta mwenza wa maisha mwenye malengo ya dhati na uhusiano wa muda mrefu. Mimi ni Mkristo(Lutheran) ninapenda na ninathamini Mahusiano ya kuzingatia Heshima, Upendo wa Dhati...
  4. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mateka wa Israel Arbel Yahud; ataachiliwa huru Ijumaa ijayo, huku Israel ikiwaachilia wafungwa 30 wanaotumikia vifungo vya maisha

    Wanaukumbi. ⚡️JUST IN: An agreement has been reached regarding the Israeli prisoner Arbel Yahud; she will be released next Friday, while Israel will release 30 prisoners serving life sentences.—Hebrew Maariv Newspaper. =============== ⚡️Makubaliano yamefikiwa kuhusu mfungwa wa Israel Arbel...
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanawachukia sana wanawake?

    Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona limekua jambo la kawaida hasa huku mitandaoni na hata huko nje kwenye jamii zetu. Naomba nisaidiwe...
  6. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Ana miaka 32 Hana mke Hana mtoto Hana maisha anasema nisioe, kama kuoa ni kutoafanikiwa mbona yeye bado fukara😃

    Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
  7. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Hakuna maendeleo yaliyoboresha maisha ya binadamu zaidi ya sayansi ya tiba na afya

    Katia safari ya maendeleo kama binadamu tumefanya mengi ya kustaajabu, kuanzia kuvumbua vifaa vya mawasiliano vya masafa ya mbali mpaka roketi lakini hamna cha msingi tulichofanya zaidi ya maboresho ya sayansi ya matibabu na afya Wanasema kabla ya mageuzi ya matibabu wastani wa kuishi dunia...
  8. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nshala alitishiwa maisha sababu ya kupinga Mkataba wa DP World. Uteuzi wake CHADEMA unamaanisha nini kwenye Siasa za Tanzania?

    Wakuu, Januari 21 ulifanyika Uchaguzi Mkuu CHADEMA kwenye nafasi ya Mwenyekiti na Makamu Wenyeviti kwa Bara na Zanzibar, ambako Lissu alitangazwa kuwa Mwenyekiti mpya CHADEMA, siku hiyo pia ulifanyika Mkutano wa Baraza Kuu la Chama na Lissu akafanya uteuzi wa viongozi, na kati ya...
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Chunga vitu vyako ukiacha ovyo vinaweza kukugarimu na kukuhalibia maisha yako

    nywele zako,mchanga wa unyayo wako,kucha,Jina lako,manii,mkojo ,picha yako au kipande cha nguo yako, kinaweza kuchukuliwa na adui ili kukutawala, au kulipiza kisasi kwako kwa kuharibu furaha yako katika mambo ya mapenzi na pesa.
  10. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Tusipangiane maisha

    Ni kitu gani kimekusaidia kwenye maisha japo watu wengi hawakiamini au kukubaliana nacho?
  11. KJ07

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza wa maisha

    Nimekuwa nikilitafakari jambo hili kwa muda sasa kuhusu ni nini maana ya kweli linapokuja suala la kumpata mwenza wa maisha. Sio kuhusu uzuri, umri, au mambo ya muda mfupi. Ni kuhusu kujenga kitu cha kudumu na chenye maana. Ninachotafuta ni mtu mwenye maadili thabiti, moyo wa upendo, ukomavu wa...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Life is truly a Numbers Game/ Maisha kiukweli ni mchezo wa namba

    Life is truly a Numbers Game Maisha ni mchezo wa namba Ukiwa unatafuta fursa Fulani , usiweke uhakika wa kuipata hiyo fursa Kwa mtu mmoja peke yake Haijalishi huyo mtu ni nani kwako au unafahamiana nae miaka mingapi. Jaribu kuwa na utamaduni wa kuwatafuta watu wengi kadri ya uwezavyo ...
  13. Alvin_255

    JamiiForums Tanzania Maadui sita(6) hatari katika maisha yako.

    Kwenye maisha unayoishi huwezi kuepuka maadui ambao wanakuchukia, wasiopenda kukuona umefanikiwa bila kujali upo sehemu gani na unafanya nini, Joel Nanauka kawaongelea "Maadui 4 hatari katika maisha yako" ambao ni Kaini, Delila, Penina, na Hamani. (Una mengi ya kujifunza kupitia JN). Kwa...
  14. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nataka kuuza mali zangu polepole nifurahie maisha urithi kwa watoto ni elimu niliyowasomesha mnasemaje?

    Sina mali nyingi ila nashukuru Nina nyumba kadha wa kadha, viwanja , mashamba na mifugo kijijini kwetu. Watoto wangu wanasoma na watamaliza bila shaka. Nimetafakari haya maisha hayana garantii naweza kufa saa yeyote je kwanini nisianze kula mali zangu taratibu kabla sijafa? Naombeni ushauri.
  15. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya maisha

    Nimekata tamaa ndoa inatesa sana. Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa. Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
  17. C

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu ya zamani nilikuwa kiboko sana. True story of my life teenagers

    Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika baada ya kujoin niko zangu reception nakutana na madam suzzy......naam tumpe jina la suzzy ndio...
  18. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

    I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu. hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu. Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu. ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya...
  19. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Usiegemeze maisha yako kwenye Chama cha siasa

    Wadau! Kama kichwa cha huu uzi kinavyosomeka hapo juu. Swali la kujiuliza 🤔 Kwa nini binadamu aliyeifanyia makubwa Chadema, aliyejenga wasifu wa kipekee na uliotukuka kwenye siasa za upinzani na kupigania demokrasia Tanzania, Freeman Aikaeli Mbowe, jana alfajiri aliangushwa aliyekuwa...
  20. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume wema: Bado mpo na Mungu, awape maisha marefu sana sana!!

    Naona kuna mtiririko wa mada nyingi za kukataa ndoa, kwanza niseme mimi nimeolewa na mume ambaye sijutii, hakika sijutii kabisa kuolewa naye tulianzaje bas kisa hiki nina imani kitakua na namna flan ya kufundisha hata kutia moyo wale ambao mioyo ilishakufa zamani kuhusiana na ndoa au mahusiano...
Back
Top Bottom