maisha

  1. JamiiForums Tanzania Mitihani ya maisha

    Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar...
  2. JamiiForums Tanzania Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  3. JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu ,Hali si shwari mtaani

    Maisha ni magumu wazee, Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka. Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka. Picha inaeleza Mengi. Source ITV.
  4. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Watu 700 wakadiriwa kupoteza Maisha kwenye Tetemeko la Myanmar

    Zaidi ya watu 700 wameuawa nchini Myanmar na maelfu ya wengine kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 ambalo lilisikika pia katika nchi jirani. Wengi wa walioaga dunia wako Mandalay, mji wa pili kwa ukubwa nchini Myanmar, na mji ulio karibu zaidi na kitovu cha tetemeko la...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini watu Tunalalamika MAISHA MAGUMU?

    Kuna sababu nyingi zinazochangia watu kulalamika kuhusu ugumu wa maisha. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo: * Gharama za Maisha Kupanda: * Bei za bidhaa na huduma muhimu kama chakula, nyumba, na usafiri zinaongezeka, na hivyo kuwafanya watu wengi washindwe kumudu mahitaji yao. *...
  6. JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Haya maisha bila kujitoa sadaka huwezi toboa

    Kabla sijafa masikini wana jf mnipe muongozo hilo ndo ombi langu kwenu Ninashida kubwa sana kwenye upande wautafutaji wangu. Kila nachofanya hakiendi mambo yamekua magumu sana. Najua huenda kuna watu wanashapitia hali kama na wakapata muongozo mambo yakakaa sawa ww kama mtu mzima naamini...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Umewahi Kujiuliza Maisha Yana Maana Gani? Labda Ulimwengu ni Mtihani, Maisha ni Somo; Kila Kitu Unachofanya Kina Maana Kubwa Kuliko Unavyodhani

    Ulikuwa njiani kurudi nyumbani, mawazo yakiwa mbali, labda ukifikiria siku yako ilivyokuwa—halafu ikatokea. Ajali ya gari. Hakukuwa na kitu cha pekee kuhusu ajali hiyo; ilitokea ghafla kama zilivyo ajali nyingi. Haikuwa na ukatili wa sinema au miujiza isiyoelezeka. Ilikuwa tu… mwisho wako...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  11. JamiiForums Tanzania Nawatesa majirani na maisha yangu kuwa siri yangu

    Niende moja kwa moja tu kwenye kuandika huu uzi 🙏 Alhamdulilah naishi maisha ya kawaida sana kwa kipindi hiki maisha yangu sasa yamedondokea kwenye shughuli za ujenzi wa tiles, japo nilishawahi kuajiriwa kwenye baadhi ya kampuni za kuchezesha michezo ya kubashiri miaka ya 2015-2020, baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Licha ya Maisha kukosa furaha kwa binadamu ; kwa nini watu bado wanapambana kuzaliana (kuongeza watu wengine)

    Habari zenu ndugu zangu , Habari za Mfungo wa Ramadhan &Kwaresma! Swali hili nimekuwa nikijiuliza na kupata maono ya watu wengi hasa wazungu : Ni kipi kinafanya watu kuletana kwenye dunia yenye matatizo lukuki. Wazungu wengi wanaonekana wanapinga huu mfumo kwa kuhofia uelekeo wa dunia ni kuja...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Inauma lakini ndio maisha unakubaliana nayo

    Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four. Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi...
  14. JamiiForums Tanzania Nini maana ya mlango wa nane kwenye maisha na ndoa?

    MLANGO WA NANE Mnamo march 2015, mdau wa JF anayejulikana kwa jina la Pucilio alileta uzi ambao unahusisha watu na mikosi kwenye maisha ya ndoa. Alisema kwamba kuna aina ya watu wana mikosi ya kuzaliwa nayo na mikosi ya kutupiwa. Ukimuoa/ukiolewa nae suala la maendeleo utalisikia kwa wenzako...
  15. JamiiForums Tanzania Mawazo Yako Yanatawala Maisha Yako

    Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae Kila wazo ambalo lipo katika mfumo wa picha ndio litakuwa mustakabali wa kufuatwa au ramani ya kufuatwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Nabii Amosi

    Je kitabu Cha nabii Amosi kimejikita hasa kwenye Nini na uhusiano wake na maisha ya jamii na kanisa la leo. Tunaweza tukashare idea kwa yeyote anayejua na kufahamu.
  17. JamiiForums Tanzania Je, zamani watu walipataje taarifa za misiba ya wapendwa wao pasipokuwa na simu , email wala kutumiwa barua?

    Zamani miaka ya nyuma Msiba ulikuwa unatumia Mwezi mzima . Ila jambo ambalo huwa nalitafakari ni kuhusu "the power of connectivity" Yaani kuna wale ndugu zetu walikuwa wakitoka Bukoba na kwenda kutafuta Maisha mikoa mbali mbali na wengine nje ya nchi . Ila ilikuwa ikitokea Msiba ndani ya huo...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Jackline Mengi sasa ametoka ki-maisha, kipesa she's set for life

    Habarini, Hatimae baada ya Jackline Mengi kuzungushana na kina Regina mahakamani kuhusu masuala ya mirathi, sijui mwishowe alifikia makubaliano gani na kina Regina na Abdiel Mengi, I think sahivi kwenye swala la pesa she's set for life, nafikiri anatumiwa pesa kila mwezi kwa ajili ya child...
  19. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe: Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura

    Ally Kamwe, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga anatoa maoni yake kuhusu Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Wapo wanaoamini Kadi ya Kupiga Kura sio muhimu kwao na kwamba ni jambo la Kisiasa lakini ukweli ni kuwa Siasa inaendesha Maisha yetu ya kila siku, hivyo ni...
  20. JamiiForums Tanzania Ma brother wa miaka 35+ hebu tupeni wadogo zenu, ushauri wowote wa kuhusu maisha

    Ma brother wa kuanzia 35+ najua nyinyi tayari ni watu wazima na mme pitia mengi kwenye haya maisha. Hebu tupeni ushauri wowote iwe kwa uzoefu au Kama angalizo litakalo tufaa wadogo zenu. Iwe kiuchumi, mahusiano, elimu, au vyovyote itakavyo kuwa poa. I mean no malice to nobody.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…