maisha

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

    Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/= Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/= Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/= Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/= Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/= Swali ni je, mbona huna gari? ---------------------------------------------- Kauli za watu walioshiba makande na...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je chadema itaunda vikosi vya kuvamia vikao vya vyama vingine vitakapokuwa vinapitisha wagombea wao, au watawatishia maisha wagombea?

    Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao? Haya ndio mambo ya kujadili, nadhani wanapanga uhalifu mkubwa sana kuuwa watu wasio na hatia
  3. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Watu Wanaopost Maisha ya Kifahari: Motivational au Ushawishi wa Kujichukia? 🤑📱

    Unawahi kufungua Instagram asubuhi tu, bado upo kitandani, halafu kitu cha kwanza unakutana nacho ni mtu kaweka picha ya breakfast ya kifahari – croissant, avocado toast, na kahawa ya Starbucks… huku wewe unatafuna mkate wa jana na chai ya majani? 😅 Kila siku timeline inajaa na watu wanaoishi...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Selemani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kisa kumlawiti mtoto wake wa kumzaa

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Selemani Hussen Nyuka, mwenye umri wa miaka (32) baada ya kupatikana na hatia ya kwanza ya kumlawiti mtoto wake wa kumzaa na kosa la pili ni kuzini na maharimu (kwa maana ya kutembea na ndugu wa damu). Nyuka ambaye ni mkazi wa...
  5. Tauceti Rigel

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  6. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  8. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kuonyesha Kutokuwa na uhitaji " Never wanting anything " ndio siri ya kuwa na nguvu kwenye maisha ya hapa duniani.

    Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa. " Kuonyedha...
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa maisha tuishiyo sasa

    Kuna ladha na maana havipo tena.. Milele😭😭😭😭 Walivyo wa kileo😪
  12. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  13. Bueno

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha ni Kitendawili Kigumu kweli kukitegua na Mambo yamebadirika sana

    ...... Mods msi-edit huu uzi
  14. R

    JamiiForums Tanzania Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Maisha

    Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni, Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo? Nipe...
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya maisha

    Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar...
  18. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
  19. Jack Daniel

    JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu ,Hali si shwari mtaani

    Maisha ni magumu wazee, Na wanadamu ni wepesi wa kusahau ni miaka michache tu mkoani Morogoro watu wengi walipoteza maisha katika tukio la uchotaji wa mafuta baada ya Gari kupinduka. Leo hii pichani ni wananchi wanaochota mafuta baada ya Lori kuanguka. Picha inaeleza Mengi. Source ITV.
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Watu 700 wakadiriwa kupoteza Maisha kwenye Tetemeko la Myanmar

    Zaidi ya watu 700 wameuawa nchini Myanmar na maelfu ya wengine kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 7.7 ambalo lilisikika pia katika nchi jirani. Wengi wa walioaga dunia wako Mandalay, mji wa pili kwa ukubwa nchini Myanmar, na mji ulio karibu zaidi na kitovu cha tetemeko la...
Back
Top Bottom