maisha

  1. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza (Mke) wa maisha kwa Uhusiano wa Kudumu

    Mimi ni mwanaume mpole, mnyenyekevu, nipo kwenye umri wa miaka 40 ya awali (early 40s). Natafuta mwenza(mwanamke) wa maisha kwa ajili ya uhusiano wa kudumu unaoelekea kwenye ndoa. Ninathamini upendo wa kweli, uaminifu, na ukuaji wa pamoja. Kuhusu Mimi: Ni mwanaume ninayejiheshimu na pia ni mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Kama una miaka 40 na bado unaendelea kutafuta ajira, haupo serious na maisha

    Wakuu, sikejeli mtu hapa, lakini lazima tuambiane ukweli. Miaka 40 siyo ya kutafuta ajira, umri huo wewe ndio unatakiwa utafutwe eidha na taasisi za kiserikali au sekta binafsi. Hapa watakuwa wanatizama uzoefu wako. Lakini siyo eti kila siku upo road na mavyeti yako unaenda kupiga interview na...
  3. JamiiForums Tanzania Hesabu za MAGAZIJUTO kwenye maisha (Parody)

    Kusaidia fundi kwa siku ni 7,000/= Kwa wiki ni 7,000×7= 49,000/= Kwa mwezi ni 49,000×30 = 1,470,000/= Kwa Mwaka ni 1,470,000×12 = 17,640,000/= Toyota IST used bei yake ni 6,000,000/= Swali ni je, mbona huna gari? ---------------------------------------------- Kauli za watu walioshiba makande na...
  4. JamiiForums Tanzania Je chadema itaunda vikosi vya kuvamia vikao vya vyama vingine vitakapokuwa vinapitisha wagombea wao, au watawatishia maisha wagombea?

    Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao? Haya ndio mambo ya kujadili, nadhani wanapanga uhalifu mkubwa sana kuuwa watu wasio na hatia
  5. JamiiForums Tanzania Watu Wanaopost Maisha ya Kifahari: Motivational au Ushawishi wa Kujichukia? 🤑📱

    Unawahi kufungua Instagram asubuhi tu, bado upo kitandani, halafu kitu cha kwanza unakutana nacho ni mtu kaweka picha ya breakfast ya kifahari – croissant, avocado toast, na kahawa ya Starbucks… huku wewe unatafuna mkate wa jana na chai ya majani? 😅 Kila siku timeline inajaa na watu wanaoishi...
  6. JamiiForums Tanzania Selemani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kisa kumlawiti mtoto wake wa kumzaa

    Mahakama ya Mkoa wa Lindi, imemhukumu kifungo cha maisha jela, Selemani Hussen Nyuka, mwenye umri wa miaka (32) baada ya kupatikana na hatia ya kwanza ya kumlawiti mtoto wake wa kumzaa na kosa la pili ni kuzini na maharimu (kwa maana ya kutembea na ndugu wa damu). Nyuka ambaye ni mkazi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Kizazi cha 2000 na Kuendelea Kinateseka: Manung’uniko kutoka Kitaa

    Nimeamka saa kumi alfajiri. Nimeenda kazini kwa miguu. Nimefanya kazi hadi jua kuzama. Na bado, sina chochote. Ninarudi nyumbani kwa bibi yangu,iîu nyumba ya bati zilizochoka, chakula ni ugali na maharage, umeme unakatika kila siku. Na bado watu wanasema, “Pambana kijana, mafanikio yanakuja.”...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"

    Mwanaume jitahidi kwenye maisha yako ya mahusiano/ndoa uwe na mwanamke kama "Zuchu"
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  10. JamiiForums Tanzania Kuonyesha Kutokuwa na uhitaji " Never wanting anything " ndio siri ya kuwa na nguvu kwenye maisha ya hapa duniani.

    Mimi sio Mkristu ila najua kwamba His Excellence King David, the King of the United Kingdoms of Israel and Judah aliposema " Bwana ndie mchungaji wangu, sintopungukiwa na kitu" ( The Lord is my shepherd I shall never want a thing),alikuwa anazungumzia hiki ninacho kiandika hapa. " Kuonyedha...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu Wenye Imani za Kikristo na Kiislamu, Mlijengaje Imani Zenu? Mimi hata Upagani Umenishinda; Nifanyeje Kumuona Mungu Mnayemuona?

    Dini zote zinaegemea juu ya udhaifu wa binadamu wa kufikiria na kukubali hali ya kutokuwepo baada ya kifo. Lakini ni nini hasa kinachotufanya tusikubali wazo la kutoweka bila alama yoyote? Je, ni woga wa kutokuwa na maana, au ni hitaji la kufarijika kwamba kuna mwendelezo wa safari hii baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Uislam ni hadithi za maisha ya jamii ya qurayshi na machache kutoka kwenye biblia

  13. JamiiForums Tanzania Uhalisia wa maisha tuishiyo sasa

    Kuna ladha na maana havipo tena.. Milele😭😭😭😭 Walivyo wa kileo😪
  14. JamiiForums Tanzania Hobi yako hiyo unayopoteza nayo muda, inawezaje kubadilisha maisha yako?

    Mvulana Aliyependa Kusoma Kutokea umri mdogo, Jeff Bezos alikuwa na kiu kisichoisha cha kujisomea. Mama yake Jackie alimkuta Jeff mara nyingi akiwa chumbani, akiwa amezungukwa na milima ya vitabu, akiwa amepotelea kwenye dunia za mbali zilizoko vitabuni. Alimtia moyo kwa kupenda kujisomea, kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Haya Maisha ni Kitendawili Kigumu kweli kukitegua na Mambo yamebadirika sana

    ...... Mods msi-edit huu uzi
  16. R

    JamiiForums Tanzania Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Epuka mazoea ya kulala na aina hii ya wanawake, kitu kizito kitakuja kukupiga bila kutarajia

    Mwanzoni wengi huwa makini kuchukua tahadhari / precautions lakini kadri muda unavyoenda mazoea yakiwa tabia wanajisahau sana, mwisho wa siku wanaingia kwenye mfumo Under age / Chini ya miaka 18 - Wala haihitaji kufumaniwa red handed, yaani habari zikisambaa tu unatembea na mwanafunzi halafu...
  18. JamiiForums Tanzania Maisha

    Hiyo ni Moja ya picha inayotrend sana mtandaoni, Mama mmoja akiwa hotelin na familia yake lakin wakionekana kumtenga aliyedaiwa ni mfanyakazi wa ndani Tena kwa kumwambia ageuke upande mwengine ili watu wasije kutambua kwamba wapo pamoja Je huu ni unyanyasaji, roho mbaya au ni uchoyo? Nipe...
  19. JamiiForums Tanzania Mitihani ya maisha

    Mitihani ya maisha. Anaitwa Pereira Ame Silima alikua Mbunge wa jimbo la Chumbuni, Zanzibar kuanzia mwaka 2010 hadi 2015. Pia amewahi kuwa Naibu Waziri wa Fedha 2010 hadi 2012, kisha Naibu Waziri Mambo ya ndani 2012 hadi 2015. Kwenye uchaguzi wa 2020 alichukua fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar...
  20. JamiiForums Tanzania Aina hii ya maisha mpaka lini kuchelewa kulala na kuwahi kuamka

    Mbinguni tutafika tukiwa hoi wakuu sio mchezo fikiria tu lifestyle ya kuchelewa kulala na kuwahi kuamka mwili haupati fursa ya kupumzika ipasavyo unalala saa 7 usiku afu saa 10 alfajiri unapaswa uwe tayari umeamka. AIna hii ya maisha lazima upate changomoto ya afya ya akili ukiongeza na ugumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…