Ndio maisha kwa sasa ni magumu sana,najua vijana wengi wanayaogopa,wana hofu kubwa na wengine wamekata tamaa, lakini nawaambia msiyaogope maisha, pambaneni na kwa lugha yenu mtatoboa.
Na kwa yule anayetaka msaada wa mawazo au mbinu za kujikwamua njooni inbox, nitakusaidia ila usije kuomba pesa...