maisha

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake

    Wakuu, TLS yalitaka Jeshi la Polisi kuhakikisha Mwabukusi anakuwa salama kufuatia vitisho dhidi ya uhai wake. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kutishiwa maisha kwa Ndugu Boniphace A. K. Mwabukusi, ambae ni Wakili Mwandamizi (Senior Advocate)...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mradi unaodhaminiwa na China waibua maisha mapya katika Hifadhi ya Jiolojia ya Ngorongoro Lengai nchini Tanzania

    Kwenye ukingo wa Bonde la Ngorongoro nchini Tanzania, ukungu unaonekana kutanda kwenye uwanda huku makundi ya nyumbu na pundamilia wakirandaranda chini. Kutoka kwenye jukwaa jipya la kuangalia wanyama, wageni kutoka duniani kote sasa wanapata fursa ya kutazama kwa kina pamoja huku pembeni kukiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo mimea mitano inayolindwa zaidi Duniani Na maisha ya siri ya kujamiana kwa mimea!

    Welwitschia ni mmea wa kipekee unaopatikana katika jangwa la Namib, kusini mwa Angola na Namibia. Ingawa ina majani mawili tu, huweza kuishi kwa zaidi ya miaka 1,000. Kwa mujibu wa Botanical Society of Namibia, mimea hii huchukua maji kutoka kwenye ukungu wa asubuhi na hivyo kustahimili...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Teknolojia Inatufanya Tuishi Maisha ya Kujitenga Zaidi?

    Habarini wana JF; Hebu tuchangamshe genge Kama Title inavyosomeka hapo juu, Katika dunia ya sasa, teknolojia imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu. Simu zetu mahiri, mitandao ya kijamii, na majukwaa ya mawasiliano yamerahisisha sana kuwasiliana, lakini swali linabaki: Je, tunazidi kujitenga...
  5. JamiiForums Tanzania Fanya haya ufungue Mbingu yako ya 7 ya ufahamu

    Mbingu ya saba” si tu mahali angani bali ni hali ya juu kabisa ya fahamu, uelewa, na muunganiko na Mungu/Nguvu ya Juu. Katika mafundisho ya dini na mila nyingi: Mbingu ya kwanza hadi ya sita ni viwango vya uumbaji na uhai wa kiroho. Mbingu ya saba ni ya juu zaidi, iliyojaa mwanga, hekima, na...
  6. JamiiForums Tanzania Enai Na Abes Life

    Sasa Enai anarudi duniani kama binadamu tena, akiwa na jukumu moja kuu la kukusanya vipande 7 vya roho yake kabla ya siku 50 kuisha. . Kijana anayeitwa Enai anafariki ghafla. Kabla ya kuenda moja kwa moja peponi au kuzimu, anakwama katika hali iitwayo "Abes Life" – sehemu ya mpito ambapo roho...
  7. JamiiForums Tanzania Lissu maisha yake yapo hatarini

    Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu. Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa? Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani. Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on." Chadema is in chaos...
  8. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Mijadala ya Falsafa ya Maisha baina ya Waafrika Inanipa Wasiwasi Tofauti Yetu na Sokwe ni Kwamba Sisi Ni Sokwe Tuliochangamka

    Tangu nilipoanza kujitambua na kupitia misukosuko ya utu uzima, nimejikuta nikivutwa na hitaji la kutafakari maisha ya binadamu kiujumla — si kwa mtazamo wa mafanikio binafsi, bali kwa namna ambavyo maisha yetu yameumbika kama jamii, kama viumbe wenye akili. Maswali haya yamekuwa yakijirudia...
  9. JamiiForums Tanzania Double standard: Masauni alipigiwa, Bashungwa ala maisha

    Habar wakuu. Kuna kitu kinaendelea nchini ambacho kimsingi sio kizuri. Utekaji unaendelea kama kawaida . Nauliza tatizo ni uislam wa Masauni au ni Ukristo wa Bashungwa? Mbona hatusikii kwamba Bashungwa hafai kama ambavyo mitaa ilivyojaa kelele kwamba Hamad Masauni hafai?
  10. JamiiForums Tanzania Usijiue, yape maisha nafasi

    Changamoto ni nyingi sana unazozipitia. Kuanzia kwenye familia yako ,kazini kwako na pia hata kwenye mahusiano yako. Na pia labda una changamoto ya kiafya ya muda mrefu inayokutesa kiasi kwamba unatamani kujiua. Yape maisha nafasi .. Labda pengine kuna Mwanga mbeleni. Pia ukosefu wa kipato...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaolalamika wanaume wanamaliza haraka mnataka tuwaeleweje?

    Mtu analalamika eti wanaume wana haraka katika kufanya tendo, ila mtu huyo huyo yeye ana haraka ya maisha kupelekea kukuacha wewe ambaye bado una hustle. Kwa sisi mabaharia ile haraka huwa ni munkali wa stress zilizopo kichwani za kuambiwa turudi veta plus nauli ulizokula hapo nyuma. So kila...
  12. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha ni hadithi fupi

    Kutoka kuitwa Mheshimiwa ama Boss mpaka kuitwa Marehemu, kutoka kuvaa cheni za Dhahabu na vidani vya Almasi mpaka kuveshwa Mataji, kutoka kutupia Pamba kali mpaka kuwekwa pamba puani. Kutoka kupokelewa VVIP Airport mpaka kusubiriwa sehemu za mizigo ili Jeneza lako liwasili, kutoka kulala hotel...
  14. JamiiForums Tanzania Salute Kwa Wale Waliokwisha Oa Au Kuolewa. Tafadhali, Mliwezaje Kufanikisha Hilo.?

    Maisha ya mapenzi yamejaa comedy na stress kwa wakati mmoja, Naona ni ngumu sana kumpata mwanamke mzuri wa kuoa, Tayari ni takribani miaka miwili na miezi minne tangu nianze kuamua kutafuta mtu wa kuoa lakini bado sijafanikiwa. . Safari hii imekuwa ya mizunguko na drama kibao hadi sasa, na...
  15. JamiiForums Tanzania Ratiba ni kitu sahihi katika maisha

    Habari.. Katika maisha yetu ya kila siku ni vyema kuwa na RATIBA yoyote inayoongoza maisha yetu kama ni kwa Wiki,Mwezi, Miezi au hata Mwaka...Almuradi tuu tusiache kuwa na RATIBA inayotoa kipaumbele katika Maisha yetu.. Mfano nkiwa mdogo kuna familia pale street ilikuwa na ratiba ya diko...
  16. JamiiForums Tanzania Ila wabongo, yani mtu kaleta topic ya kusikitika akikumbuka maisha ya jela, ila haya ndio maswali ya kwanza wanamuuliza 🤣

    Post: Comments:
  17. JamiiForums Tanzania Maisha ya mtu mzima na urafiki unaobadilika polepole

    Mtu anatoka kazini, anarudi nyumbani. Anafanya shughuli zake. Labda aende dukani.Akiwa njiani, salamu kwa majirani—hakuna mazungumzo marefu.Ni maisha ya kawaida, ya utulivu. Ule urafiki wa “buda niko base, pita” umeisha. Sasa ni “tupange weekend” lakini weekend ikifika kila mtu ana shughuli...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kufa

    Kuna pepo na kuna moto Maisha ya Watu wa Peponi (Ahli Jannah) Sifa Kuu za Peponi: Neema zisizoisha: Kuna mito ya asali, maziwa, mvinyo usioharamisha, na maji safi (Qur’an 47:15). Makazi bora: Nyumba za dhahabu na fedha, zenye mito inapita chini yake (Qur’an 18:31). Chakula na matunda...
  19. JamiiForums Tanzania Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

    Matukio ya watu kuvamiwa majumbani mwao na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi yamezidi sasa. Cha kushangaza, polisi nao huja kukanusha kuwa haikuwa wao. Mfano, uvamizi kwenye nyumba ya mwanachama wa CHADEMA, Mdude Nyagali hapo jana. Watu hao wakiwa wanavamia, hujitambulisha kama polisi...
  20. JamiiForums Tanzania Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

    -Una Furaha, -Huzuni -Amani ya moyo -Unafurahia maisha -Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha -Unateswa/ kufurahia mapenzi -Madeni -Magonjwa -Migogoro nk -Huna kazi -Kipato kidogo nk Kwa upande wangu mimi ni 50/50 Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…