maisha

  1. JamiiForums Tanzania Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

    Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke. Nafasi aliyokuwa nayo BBC Uzoefu wa Kazi Exposure n.k Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva . Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili . Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na...
  2. JamiiForums Tanzania Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

    Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeapa kiapo cha KIFO sitokuja nimuogope Mwanamke katika Maisha Yangu

    Wakuu, kuna wanaume wanateswa sana na wake zao. Ngoja nakuja kueleza kisa kizima hapa. Wanawake wanatesa vibaya sana yaani km una roho ndogo km mimi unaweza ukaua mara moja.
  5. JamiiForums Tanzania Maisha ya Temeke: Uhuni, defender za polisi hadi kunusurika kuuawa kisa mwanamke

    Hii ni series ya matukio yaliyotokea miaka ya 2010-2013. Ni mtiririko wa matukio ya ujasiri,kushangaza,kufurahisha na kusikitisha. Maisha ya watoto wa Temeke. Miaka hii ilikuwa ndiyo mwisho mwisho wa uhuni uliokithiri wa watoto wa Temeke. Bhangi,wizi,mauaji, kukimbizana na defender za polisi...
  6. JamiiForums Tanzania Walimu acheni kutumika vinginevyo laana itawatafuna maisha yote

    Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna...
  7. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuamka kiroho pokea zawadi ya Kitabu hiki upate mwanga wa maisha

    KUAMKA KIROHO NI mchakato wa kuamka kutoka kwenye giza ( ujinga) na kutembea kwenye mwanga baada ya kufunguliwa kwa lock zilizoshikilia akili yako ili utembee kwenye Nuru. Kwenye Giza la kiroho kuna umasikini, matatizo, magonjwa, nadharia za kuogopa wachawi majini mapepo mizimu nk hivi ni...
  8. JamiiForums Tanzania Walio Tuambia Shule Ni Ufunguo Wa Maisha Wametupiga

    Walio sema Shule ni Ufunguo wa Maisha wametupiga na kitu kizito Kama ni kweli mbona wasomi wengi bado wanahangaika na Maisha? Sahihi ni kusema Shule ni Ufunguo wa Maarifa Ni hayo tu!
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania bhana... kwahiyo Picha za Child Benz kunenepa ndiyo ameshabadilika na kuwa na Maisha mazuri?

    Kwanini Tanzania kila Mtu anapambana Kunenepa ili aonekane Tajiri wakati 95% ya Matajiri duniani si Watu walionenepa? Chid Benz asaidiwe Kimaisha na siyo Kunenepeshwa ili asifiwe ana Maisha mazuri wakati ukweli ni kwamba bado anataabika Kimaisha mtaani.
  10. JamiiForums Tanzania Mambo 10 ambayo hatuwaambii wake zetu ila yapasa wajue

    Mimi ni mwanaume. Sio shujaa kila siku, sio jasiri kila saa. Nina mapenzi, nina udhaifu, nina hamu ya kueleweka—lakini mara nyingi husema “poa” tu ili mambo yaendelee. Kuna vitu navikalia moyoni kila siku. Leo naandika kwa mara ya kwanza, sio kwa hasira, bali kwa tumaini kwamba kuna mwanamke...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tunacheka kwa magoli, tunalia kimya kwa maisha

    leoooo nipo na nyie mpaka mnyooke Wapendwa Watanzania... Leo tumeamka tena na habari za mpira. Leo tena tunagombana kuhusu nani bora – Simba au Yanga. Leo tena tunatukanana mitandaoni kwa sababu ya goli. Leo tena taifa linafurika uwanjani – sio kudai haki, sio kupinga ufisadi – bali...
  12. JamiiForums Tanzania Usiwa waamini Binadamu

    1. Usiichukie kazi yako, Hakuna kazi mbaya maana hiyo ndo inakupa kipato. 2.Usitengeneze Faida kwa Watu wasio miongoni mwako. 3.Usimsaidie mtu ukitegemea kupata kitu Fulani 4.Usimuamini mtu yeyote pia usimuonyeshe kua aumuamini. 5.Usio mwanamke ambae unaempenda 100%. Owa mwanamke ambae...
  13. JamiiForums Tanzania Kumpata mwanamke wa maisha, wa heshima, wa kujenga na familia ni kazi ngumu sana kwasasa

    Bro, Ni kweli wanawake wapo wengi sana duniani kuliko sisi wanaume Lakini ukifika muda wa kutafuta MKE - ndipo utagundua wanawake ni wachache mno hapa duniani Bro, kumbuka hili: Watoto wako hawahitaji mama mrembo, Wanahitaji mama BORA wa kuwalea, kuwaongoza, na kuwajenga kwa ajili ya kesho...
  14. JamiiForums Tanzania KWA nini licha ya Ongezeko la watu wanaozungumiza FEDHA, UTAJIRI, MAFANIKIO Bado watu wengi maisha magumu?

    Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi Waalimu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Si kile kinachoandikwa tu,bali maisha yenyewe ya mtu ndo maandiko ya kweli. Na Kalooist atakapoanza kuhoji huo ndo mwanga na uhuru wa kweli

    Mwanajamvi ni nani?,mwanajamvi ni nini?,mwanajamvi yuko wapi? Kalooist ni nini ni nani?,Kalooist yuko wapi? Mungu ni nini na nani na yuko wapi? Dunia ni nini, ni nani na iko wapi?au ndo nini tofauti na bustani(enclosed area) ya Edeni( eneo liletalo furaha) ya watu tangu asili ya...
  16. JamiiForums Tanzania Vifupisho muhimu ambavyo hutumika katika maisha ya kila siku!

    ~General & Communication 1. ASAP – As Soon As Possible 2. FYI – For Your Information 3. BRB – Be Right Back 4. OMG – Oh My God 5. LOL – Laugh Out Loud 6. BTW – By The Way 7. IDK – I Don’t Know 8. IMO – In My Opinion 9. TBA – To Be Announced 10. DIY – Do It Yourself ~Business & Office 11. CEO...
  17. JamiiForums Tanzania Je ? Kuwa mtu mwema ni kweli kunakufanya uishi maisha bora hapa duniani ?

    Habari wana jf. Nimekua nikisoma makala mbali mbali na material mbali mbali uko mtandaoni nimekua nikitaka kujua na kufatilia je maisha yanakua bora na salama pale unapo amua kuwa mtu mwema sana (nice guy) hapa duniani. Leo nimeona nililete mbele yenu wana jf nisikie mitazamo yenu Pia niweke...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Maisha: Biashara haijawahi kuwa Rahisi – Ni Mapambano ya Kitaaluma na Kimtaa

    Maisha ya biashara si ya watu wa moyo mwepesi. Kwa vijana wanaoanza na mitaji midogo, ni lazima kuelewa kuwa safari ya mafanikio haiandikwi kwa bahati, bali kwa juhudi na uamuzi wa kila siku. Kutafuta si lelemama, na kufanikiwa ndio kabisa si jambo la haraka wala rahisi. Mafanikio ni matokeo ya...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Arusha wazuri sana kuwatoa out, hawafeki maisha, wanagonga "nyeupe" kwa uhuru sio visavana, hawana tabia za kumkomoa mtoaji

    Pisi kibao za Dsm na mikoa mingi ukizitoa out huwa ni kama umempa mtoto atm card atumie kwa siku moja, matumizi yao yapo rafu na kikomoaji kununua vinywaji ghali na mavyakula ya bei hadi vya kupeleka nyumbani, atawaita pia marafiki zake ambao ni wazoefu wa kudandia out za wenzao na ni makonkodi...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini waitwe Tomboy na siyo Tomgirl kwa maana ya Tom ni jina la jinsia ya kiume na girl ndo uanamke wao?

    Nimekuwa nikitafakari kwa kina juu ya neno “Tomboy.” Kwa kawaida, linamaanisha msichana ambaye ana tabia, mavazi, au mienendo inayohusishwa na wavulana. Lakini kila nikilitafakari, linazidi kunichanganya. Kwanini msichana aitwe Tomboy jina lenye maneno mawili ya kiume: Tom (jina la kijana wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…