maisha

  1. JamiiForums Tanzania Slumdog Millionaire: Filamu ya kihindi inayoonyesha maisha ya masikini wa India

    Ni filamu ya kihindi iliyotengenezwa mwaka 2008 inayoonyesha maisha ya kijana aliyekulia mtaani na kuwa tajiri kwa bahati tu Filamu ilianza kwa kumuonyesha muhusika Jamal, akiwa kwenye kipindi cha ‘who wants to be a millionaire’ kipindi kilikuwa kinauliza maswali mengi tofauti na atakaye patia...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali, tuzike watakaopeteza Maisha kutokana na COVID19 kwa heshima. Utaratibu uwekwe wazi

    WanaJF, Bila kuandika mengi, ombi kwa Serikali ni kupumzisha ndugu zetu kwa heshima na kwa utaratibu unaoeleweka na kwa uwazi. Kwa sasa Serikali imeamua kutumia "HERD IMMUNITY" kama njia ya kupambana na huu ugonjwa. Hii ni kutokana na kauli ya Rais alipozungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi...
  3. JamiiForums Tanzania Time Heist and Time Apocalypse: Jinsi muda unavyoathiri Maisha ya ulimwengu na vilivyomo

    (Picha ikionyesha Warmhole na Nyota mbalimbali) Salute Comrades. Kwa references ya vitabu vya imani za dini mbalimbali zinasema kua hapo zamani Mungu aliumba ulimwengu, akaumba vyote vilivyomo ndani ya siku sita. Upande wa tafiti za kisayansi zinasema kua hapo zamani miaka billion kadhaa...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Walimu wa Shule za Umma kuchekwa na kudharauliwa kwa muda mrefu na Walimu wa Shule Binafsi sasa nao kibao kimewageukia

    WALIMU SHULE BINAFSI WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KISA CORONA Chama cha Walimu wa shule binafsii nchini TPTU kimeiomba serikali kuingilia kati suala la madai ya wamiliki wa baadhi ya shule binafsi kusitisha mikataba na mishahara ya walimu kwa kigezo cha kuathiriwa na ugonjwa wa COVID 19...
  5. J

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA MWEZA WA MAISHA

    Naitwa jey naitaji mwanamke wakufunga nae ndoa umri kuanzia miaka 22 na kuendelea awe Islamic ambae yupo serious namba 0654 26 40 50
  6. JamiiForums Tanzania Hali ya Usawa itarudi katika maisha Ila kutakuwa na tofauti kubwa Kati ya alienacho na asienacho

    Hii hali tuliyonayo sasa imekuja kutufundisha usawa wa kila jambo yaani no janja janja kwa maana kama wewe ni mfanyabiashara uwe mfanyabiashara kweli na kama ni shule iwe ni shule kweli kama ni benki basi iwe ni benki lakini sio sehemu ya kusubiri deposit za wateja. Mpaka hili swala liishe...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha yamekuwa magumu kwa waalimu shule binafsi

    Baada ya tangazo la mwendelezo wa lockdown kwa taasisi za elimu, waajiliwa taasisi binafsi Sasa Ni vilio, mwezi March wengi walilipwa maana walikuwa wamefanya kazi, ila shida inaanzia nwezi huu, April na May, hakuna mshahara, hapo ndipo ualimu unakosa maana, nurse ngazi ya cheti yeye yupo kazini...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ya Ingrid mjini Arusha mpaka Dar-es-Salaam

    Ingrid msichana mrembo, alianza kuishi ghetto baada ya kukorofishana na mama yake. Baba yake alifariki Ingrid akiwa bado mdogo. Ghetto waliishi maisha ya fighting for survival. Kitanda kimoja na ilikuwa ni marufuku kurudi na mwanaume. Siku moja Jumamosi akiwa club alikutana na Damian kijana...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha kuanza kubana baada ya Pasaka, wajumbe wa nyumba 10 ndo wakati wao wa kujitambua

    Wajumbe wa nyumba 10 ndo wawakilishi wa kwanza wa serikali katika maeneo yetu. wajbe wa nyumba kumi wanatambua watu wao na kazi yao ya kutambua watu wao ni rahisi kuliko askari alieko katika kituo cha polisi. Wakati serikali imeanza kuchomoa makucha yake kidogokidogo kuelekeza kwa watu...
  10. JamiiForums Tanzania Itambue nguvu ya Asili na tabia katika maisha yako

    Hata siku moja mti au mmea hauchagui aina ya tunda la kuzaa. Muembe hauchagui kuzaa embe au zambarau ni lazima muembe uzae embe. Mchungwa hauna option ya kuchagua kuzaa chungwa au chenza, nilazima utazaa chungwa kwasababu hiyo ndio asili yake na ndivyo lilivyokuwa designed na aliyeliumba. Kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Matatizo/changamoto ni sehemu tu ya maisha na siyo maisha yenyewe

    Huwa inasikitisha sana na inauma sana kukata tamaa ingawa inatokea kwa wengi.Kuna wakati tunazokutana na matatizo kiasi cha kutufanya kuamini maisha yetu ndiyo hayo matatizo "so sad news". Leo sihitaji kukuta moyo ila natamani sana kukujulisha nilichojifunza katika miaka yangu hii machache hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kuna watu wamekata tamaa ya maisha kiasi hiki?

  13. JamiiForums Tanzania Sekta ya Utalii Tanzania ijiandae kwa maisha ya Corona na baada ya Corona

    Janga la Corona mpaka sasa hivi limeathiri nyanja mbalimbali za uchumi. Ingawa mpaka muda huu sekta ambayo imeathiriwa zaidi na ipo ICU ni sekta ya Utalii. Nchi nyingi zimefanya lockdown, kuna kufutwa kwa safari za anga. Hivyo hoteli, migahawa, tax drivers, wakulima, wavuvi, tour companies na...
  14. JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliye serious kwa maisha

    Habari wanajamii wenzangu, nimeona leo nami kuweka hitaji langu kwenye forum. Mimi ni mtanzania mkristo umri 33 na kwasasa nipo mkoa was tabora najitokeza kutafuta mwanamke ambaye mbeleni atakuja kuwa mke na mama watoto wangu, sina ubaguzi wa dini wala rangi lakini umri ningependelea angalau...
  16. JamiiForums Tanzania Kama sio mama yako, basi ni baba, bibi au babu yako ndo wanajua siri ya hali yako ya maisha

    Rejea kichwa cha somo hapo juu chausika. Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zoote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda Kwa tuliowahi kupata mauza uza kwenye maisha

    Kabla sijaleta stori yangu, kila ambaye mtu wake wa karibu (mke/Mme/ndugu/rafiki/mfanyakazi) ambaye huwa unamsaidia Mambo mengi kuanzia ushauri fedha na kumwambia Siri zako nyingi za maisha kama mipango yako ya maendeleo kama kununua Kiwanja/ gari/ nyumba kupata kazi na baadae kukugeuka Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mkoa au Wilaya gani naweza kwenda kuanza maisha kutoka chini kabisa (from zero)?

    Baada ya kufanya kazi ya huduma kwa wateja vodacom, kwa zaidi ya mwaka mmoja chini ya kampuni ya outsourcing. Nimeacha kazi baada ya kuona sisogei kimaendeleo licha ya kujinyima sana na kutumia njia nyingi kujaribu kuweka akiba lakini inashindikana kwa sababu mshahara ni mdogo sana na tayari...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtanzania na total lockdown

    Middle class watamudu total lockdown. Wale wenye uwezo wa kuwa na: Kilo 10 mchele “. “. Unga wa mahindi “. “ unga wa ngano “. 5. Sukari Galoni la mafuta ya kupikia Hii ni 15%ya Watanzania wanamudu maisha haya, wengi wao ni wenye ajira na biashara za za kuzungusha milioni kuendelea...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi. Tunaishi ka gidigidi. Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu. Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu. Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…