maisha

  1. Zitto

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

    Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto #COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu. - Tunaona Nchi nyengine kukiwa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke aliye serious kwa maisha

    Habari wanajamii wenzangu, nimeona leo nami kuweka hitaji langu kwenye forum. Mimi ni mtanzania mkristo umri 33 na kwasasa nipo mkoa was tabora najitokeza kutafuta mwanamke ambaye mbeleni atakuja kuwa mke na mama watoto wangu, sina ubaguzi wa dini wala rangi lakini umri ningependelea angalau...
  3. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kama sio mama yako, basi ni baba, bibi au babu yako ndo wanajua siri ya hali yako ya maisha

    Rejea kichwa cha somo hapo juu chausika. Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zoote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda Kwa tuliowahi kupata mauza uza kwenye maisha

    Kabla sijaleta stori yangu, kila ambaye mtu wake wa karibu (mke/Mme/ndugu/rafiki/mfanyakazi) ambaye huwa unamsaidia Mambo mengi kuanzia ushauri fedha na kumwambia Siri zako nyingi za maisha kama mipango yako ya maendeleo kama kununua Kiwanja/ gari/ nyumba kupata kazi na baadae kukugeuka Kwa...
  5. emmarki

    JamiiForums Tanzania Mkoa au Wilaya gani naweza kwenda kuanza maisha kutoka chini kabisa (from zero)?

    Baada ya kufanya kazi ya huduma kwa wateja vodacom, kwa zaidi ya mwaka mmoja chini ya kampuni ya outsourcing. Nimeacha kazi baada ya kuona sisogei kimaendeleo licha ya kujinyima sana na kutumia njia nyingi kujaribu kuweka akiba lakini inashindikana kwa sababu mshahara ni mdogo sana na tayari...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtanzania na total lockdown

    Middle class watamudu total lockdown. Wale wenye uwezo wa kuwa na: Kilo 10 mchele “. “. Unga wa mahindi “. “ unga wa ngano “. 5. Sukari Galoni la mafuta ya kupikia Hii ni 15%ya Watanzania wanamudu maisha haya, wengi wao ni wenye ajira na biashara za za kuzungusha milioni kuendelea...
  7. Innay

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Binadamu anapokuwa hana wa kumtegemea pale anapokata tamaa humrejea Mungu wake na kumuomba aokoe jahazi. Tunaishi ka gidigidi. Tuliahidiwa ahadi hewa, muda unayoyoma, hewa tupu. Hali ni mbaya. Na hakuna matumaini. Rais Magufuli kuwa na moyo wa utu. Hebu tizameni wenyewe hii. Ninaona aibu...
  8. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kitabu The Fountainhead (Jinsi ya Kuishi Maisha ya Ndoto Yako Licha ya Kupingwa na Jamii)

    Kila mtu huwa anakuwa na ndoto kubwa ya maisha yake katika hatua fulani ya maisha. Wengi hupata ndoto hizi kati ya miaka 7 mpaka kumi. Muulize mtoto yeyote kwenye umri huo na atakuambia wazi anataka kuwa nani akiwa mkubwa. Lakini mfuate mtoto huyo huyo miaka 10 baadaye na muulize anataka kuwa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu aisee

    Maisha ni magumu sana aisee, huwezi amini mm nimeamka leo nina 2000/= tuu, nauli mpaka job 400, so nimebakiwa na buku na mia sita (1600) Jioni sijui nitafanyaje, sijanywa hata chai na mchana sijui nitafanyaje. Anyways tuendelee kupambana. Na sisi one day yes
  10. Johnny Sins

    JamiiForums Tanzania Afrika matajiri wana maisha mafupi sana!

    DONALD Trump ni Rais wa 45 wa Marekani. Hicho cheo chake sina shida nacho. Trump ni bilionea wa dola, kwa Shilingi ya Nyerere, ni trilionea. Nina kazi muhimu leo na huo utajiri wake. Trump ni mtu msema hovyo. Ana kiburi. Wengi humuona ni ‘mtambo’, akiwemo Spika wa Baraza la Wawakilishi...
  11. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kongole ATCL na Precision Air kwa kupunguza makali ya maisha kwa waajiriwa sekta ya anga kipindi hiki cha janga la Coronavirus

    Kutokana na mashirika mengi ya usafiri wa anga kusitisha safari zake baada ya nchi nyingi kuzuwia kupokea wageni au kuruhusu waliopo ndani kuondoka, kumeibuka kitisho kikubwa cha watu kusitishiwa ajira au mishahara yao sekta ya usafiri wa anga. Taasisi nyingi za binafsi zinazo jiendesha...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Haya maisha bila uno sijui yangekuwaje

    Wakuu vipi,natumaini mko poa na hii wkend tulivu isiyokuwa na bashasha. Kwa mtazamo wangu wkend haiwezi kwenda au kuisha vizuri kama hukupata uno kwa mwenzi wako.Miaka ya nyuma kidogo kuanzia siku ya ijumaa n.k watu wengi walikuwa wanatoka mikoani, wanakuja jiji la maraha kwa ajili ya uno...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hili jambo siwezi kulisahau kwenye maisha yangu

    Nakumbuka wakati nimetoka kwenye mishe zangu ikiwa ni saa 7 kasoro mida ya usiku Sana siku ya jumamosi nikakutana na wadada wawili warembo stand wakisubili gari pamoja na me.Tumekaa kidogo wakatokea vidume watatu wakaanza kuwashika matako na maziwa wale wasichana bila ridhaa yao. Mara ya...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ninayoishi huku Nanjilinji ni ya kujitenga tayari

    Vifaa ninavyo nunua dukani ni sabuni, mafuta ya taa na ya kula, chumvi, sukari na majani ya chai. Asubuhi chai inakwenda na mihogo na viazi kutoka shambani. Siku nyingine ni ugali na kisamvu uliobaki jana. Mchana ninakuwa shamba na jioni ninakula ugali wa mihogo na jogoo. Nijitenge vipi...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Madaktari na manesi wamempa heshima mtoto wa miaka 11 kwa ujasiri wake

    Mtoto wa miaka 11 alitibiwa kansa ya ubongo. Alipofahamu kuwa hatapona aliamua kuchangia moyo na figo zake kwa watoto wanaozihitaji. Mauti yalipomfika jopo la madaktari na manesi waliomtibu walimpa heshima kubwa. An 11-year-old boy with brain cancer's wish to donate his organs moved his...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kila siku huku kwetu Kwamtogole

    Mwenye saloon ya kusukia nywele anakodisha chumba. Ndani anaweka Drayer 2, vioo, microwave viti, kabati la display. Chini kuna carpet la blastic. Sijakosea saloon kuna microwave, msusi anakuwa na cooler. Ukienda kusuka rasta saa ya kula anakuuliza utapenda pilau, ndizi nyama au wali...
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wangapi wanayapenda haya maisha?

    Wangapi wanayapenda haya maisha?
  18. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mjini hukimbiza wengi kutafuta unafuu wa maisha

    Nakumbuka miaka ya 80s mitaa ya kariakoo kulikuwa na nyumba za tope za Wamanyema kutoka (kigoma) na wanyamwezi (kutoka tabora). Maisha yalivyokuwa yanapanda watu wakapakimbia Kariakoo na kuja kujenga au kupanga maeneo ya Ilala hivyo hivyo wakakimbia na kuja Buguruni mpaka uzee unawadaka na...
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imetoa tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya mafua makali unaosababishwa na kirusi aina ya Corona, uliozikumba nchi za China, Thailand, Japan, Korea Kusini na Marekani. Wizara imesema kuanzia Desemba mwanzo mwaka jana wamekuwa...
  20. magnifico

    JamiiForums Tanzania Mfungwa wa leo, ndio Rais wa kesho; na kinyume chake, haya ndio maisha bwana

    Ehhh ndio maisha bwana, unashanga kuhusu jela! Kwa wanaharakati na wanasiasa halisi jela ndio masikani, huwezi kuwa mdai haki alafu uogope masikani (jela), kama unaogopa jela acha siasa, acha uwana harakati, acha kutetea misingi ya taifa lako, kazi ndogo tu acha kuwa mzalendo wa nchi na chagua...
Back
Top Bottom