maisha

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya quarantine Kaplelach High school

    Hii ni quarantine iliyoanzishwa na serikali ya Kenya Eldoret ambapo watu wengi wamekuwa wakilalamika kuwa hii sehemu ni incubator ya corona.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Habari Njema na Mbaya: Takribani 80% ya visa vya COVID19 haviambatani na dalili kali au za kutishia maisha

    Katika visa vilivyobainika duniani vya #CoronaVirus, asilimia 15 tu huambatana na dalili ya ugonjwa hatari wa mapafu “pneumonia”, kushindwa kupumua, oksijeni kupungua kwenye damu na matatizo mengine ya mapafu Asilimia takribani 5 huambatana na dalili hatarishi zaidi zinazoweza pelekea kifo kama...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wahenga tu: Kwanini watu wengi wenye roho nzuri huwa na maisha magumu au ya kawaida tu?

    Hili jambo nimekua nikilifikiria kwa miaka mingi bila majibu.Hata wewe hapo ulipo jaribu kuangalia katika familia au ukoo wenu. Unaweza kuta katika ukoo au familia ndugu yenu mwenye roho mbaya ndiye mwenye uwezo kifedha kuliko nyie wenye moyo wa kutoa. Katika jamii tunazoishi yaani wale watu...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli hali ya maisha ni ngumu sana, tuonee huruma

    Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda. Ila hali yetu wananchi ni mbaya sana. Tunaamka asubuhi hatujui kama tutakula au vipi. Tukifungua biashara zinakufa, kila tunachojaribu...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

    Muda mrefu nimekua msomaji tu wa mada zenu nikifuatilia karibu kila post inayowekwa katika mtandao huu, nina circle ndogo sana ya marafiki na watu ninao fahamiana nao kwa muda mrefu sasa hali inayo ni fanya muda mwingi ninao upata niwe nautumia kuwasomeni enyi wakuu wangu, ninavyo vingi vya...
  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo: Watanzania wengi wataishi maisha mazuri Sana muongo mmoja ujao kwasababu ya misingi anayoiweka Magufuli

    Mimi kidogo nimesoma uchumi.Hivyo nitatoa short analysis ya kiuchumi. Miaka kumi ijayo Tanzania itakuwa Kama afrika ya kusini au ureno. Hebu fikiria yafuatayo. Umeme mkubwa wa stiglaz gorge ambao utailuminate nchi yote na bado tukabakiwa na ziada. Mradi wa REA ambao umeiluminate vijiji vingi...
  7. JamiiForums Tanzania Ayapambaniaye maisha yake atayaangamiza!

    Kwa mujibu ya Kiongozi wa Nchi fulani huko Duniani amewapiga kijembe Viongozi wa kanda yake kwa kuwakumbusha kwamba; AYAPAMBANIAYE MAISHA YAKE ATAYAANGAMIZA. Wajuvi, kauli hiyo inapeleka ujumbe gani kwa Viongozi wenzake!?
  8. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya mapenzi na ndoa

    Kuna mengi katika maisha ya mapenzi ila zingatia haya kwa ajilii ya furaha yako, MUAMINI- katika kuaminiana kunatunza mengi ikiwa ni pamoja na mazuri na mabaya ila mnapo aminiana katika maisha ya mapenzi furaha utawala, UHURU- mpe uhuru mwenzako na vitu vyake kila mmoja anapokuwa huru katika...
  9. JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani (WHO) lasema huenda Waafrika 190,000 wakapoteza maisha ndani ya mwaka mmoja kutokana na Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja tangu uanze kama ukishindwa kudhibitiwa Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema kuna uwezekano COVID19 haitosambaa kwa kasi barani humo kama...
  10. JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Kipindi hiki ambacho niko kwenye zuio la kutoka nje liliowekwa na mamlaka ya jiji nililomo nimeamua kuwa nashare hapa baadhi ya mambo ya nchi nilizowahi kukaa ili ziwe na manufaa kwa wenye malengo ya kutafuta maisha nje ya Africa mashariki. Juzi nilileta andiko linahusu nchi ya Uswisi baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania COVID-19: Teknolojia inavyoweza kutusaidia kuendesha maisha

    Hali inaonesha kwamba, nchi nyingi duniani zimeathirika na homa ya Virusi vya Korona na athari hizi huenda zikabaki katika maisha ya watu kwa muda mrefu. Mbali na njia mbalimbali za kupambana na maambukizi kama kufunga shule na kuzuia mikusanyiko, Watanzania wengi pia sasa wanatumia njia za...
  13. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha usababisha vijana tufanye jinai

    Habarini ny'ote. Nawaletea salam changamfu kabisa kutoka Monroe. Ukiwa huna hela unaweza kufanya chochote, sehemu yoyote na kwa wakati wowote ili tu uipate. Kuna kipindi nilikosa hata mia ya kununulia bange na kuomba siwezi, kwa kuwa tuliwahi kuishi Geita nikapawaza GGM huu ni mgodi nikaenda...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka Mmoja Tangu kifo cha Billionea Reginald Mengi Tunamkumbukaje? Ni nini tumejifunza kutokana na maisha yake? Je, pengo lake limezibwa?

    Leo May 2, 2020 mwaka umetimia tangu Bilionea Reginal Mengi afariki.Mengi yamesemwa kumhusu Dr. MENGI lakini nimejiuliza maswali Je tunamkumbukaje?? Mengi alikua mtu wa aina gani hasa? Baada ya kifo chake nchi inamkumbuka na kumkosa? Je katika janga hili la Corona Mengi angefanya nini kwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kwetu tunapohesabu wafu, wenzetu sasa wako kwenye kurejea maisha yao ya kawaida

    Wenzetu baada ya kuweka jitihada za dhati kuzuia ugonjwa wa Corona kusambaa, sasa wao wanapanga kurejea maisha ya kawaida. Wanazo takwimu zote muhimu. Sasa wanajua mashule lini yafunguliwe na lini warejee vipi kwenye maisha ya kawaida: Kwetu tuko hapa: Hatuna takwimu za watu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Maisha ya watu yanapowekwa rehani dhidi ya maslahi binafsi ya kiuchumi

    Ni kwa masikitiko makubwa ninaandika uzi huu. Ninaandika baada ya kuwa nimechukua muda wa kutosha kufuatilia yanayojiri katika nchi zinazotuzunguka kulingana na hali yetu halisi hapa kama ilivyo sasa. Hapa kwetu tayari imekuwa ni tanzia baada ya tanzia hata labda, ni muda muafaka sasa kwa mods...
  17. JamiiForums Tanzania Uuzaji Bange ulivyonibadilisha tabia

    Historia yangu ni ndefu kidogo ila nitaifupisha Mwaka fulani baada ya vurugu za hapa na pale Geita Secondary, Butimba Day na Mwanza Sec nilitimuliwa, nikahamia Manguanjuki (Lake) iliyoko Singida kuanza kidato cha tatu. Pale nilikuwa huru sana, nikawa na tumia hela hovyo hovyo bahati mbaya sana...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wabunge: Kama mnayapenda maisha yenu basi ondokeni bungeni, sitisheni bunge maana inaonyesha hali huko ni mbaya!

    Nimeambiwa wabunge wanang'ang'ania kuingia ndani ya bunge mtu joto la mwili linasoma nyuzi joto 39 ananyimwa kuingia ndani ya ukumbi bado huelewi anatakiwa afanye nini. Ndani ya bunge maambukizi ya Corona yanashika kasi na bado mnaendelea na bunge. Sisi tusioenda shule tunawashangaa. Hamuoni...
  19. JamiiForums Tanzania Slumdog Millionaire: Filamu ya kihindi inayoonyesha maisha ya masikini wa India

    Ni filamu ya kihindi iliyotengenezwa mwaka 2008 inayoonyesha maisha ya kijana aliyekulia mtaani na kuwa tajiri kwa bahati tu Filamu ilianza kwa kumuonyesha muhusika Jamal, akiwa kwenye kipindi cha ‘who wants to be a millionaire’ kipindi kilikuwa kinauliza maswali mengi tofauti na atakaye patia...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali, tuzike watakaopeteza Maisha kutokana na COVID19 kwa heshima. Utaratibu uwekwe wazi

    WanaJF, Bila kuandika mengi, ombi kwa Serikali ni kupumzisha ndugu zetu kwa heshima na kwa utaratibu unaoeleweka na kwa uwazi. Kwa sasa Serikali imeamua kutumia "HERD IMMUNITY" kama njia ya kupambana na huu ugonjwa. Hii ni kutokana na kauli ya Rais alipozungumza na wakuu wa vyombo vya ulinzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…