Je, ulisha wahi kukaa na ndugu yako mkimya sana, yani hawezi kuanzisha mazungumzo hata iwaje?
Na hata kama anaumwa hakwambii, ila majirani na watu usio wajua wanajua kwamba ndugu yako anaumwa.
Na akiwa na shida huwaeleza watu wengine na sio wewe?
Na je ingekuwa wewe imekukuta hali hii...