mahakamani

  1. U

    Ila Mahakamani😃😃😃😃

    Rasmi Mahakamani ndiyo sehemu inayotishia zaidi hapa Tanzania😂😂😂
  2. G

    Wakuu wa majeshi wamezoea kutoa amri wanapoitwa kuulizwa maswali na raia wanaweza kuona wanadhalilishwa na likutokea lolote nchini maridhiano ni Bora

    Bado naamini chini ya utawala huu wa raia wanasiasa wanaweza kumaliza mambo Yao TU Kwa busara na maridhiano ya kweli. Simaanishi wako juu ya Sheria ila nimefuatilia mataifa makubwa ya kidemokrasia sijaona mfano wa Wakuu Hawa kuitwa Moja kwa Moja mahakamani. Wanasiasa wanamalizana wenyewe Kwa...
  3. Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
  4. M

    Wakili Katuga, Jamhuri haikukutuma ukafanye udaku mahakamani

    Sisi tulitegemea ungefanya kazi ya maana ya kwenda kuisaidia mahakama kutenda haki lakini tunachokiona, wewe unaenda kuleta udaku, kuzungumza vitu visivyohusiana na mashitaka. Kiufupi unapoteza muda wa majaji na unakuonyesha kuwa inabidi labda urudi shule kuongeza ujuzi wa sheria. Sasa Passport...
  5. CRDB haistahili lawama kwa risiti na pay-in-slip zinazomhusu Heche zilizoonyeshwa mahakamani kwenye kesi ya uhaini ya Lissu

    Inashangaza sana CRDB kulaumiwa na hizi nyumbu za ufipa. Risiti na payin slip ni mali ya mteja na benki haihusiki kabisa na hilo. Kama ni lawama apewe Salman kwa sababu yeye ndo alimwekea pesa Heche. Halafu nimeona branch ni LUMUMBA. Inawezekana Heche ni mwanaCCM mwenzetu na huwa anafika ofisi...
  6. S

    Wakimaliza kumuhoji John Heche, msishangae kesi ikafutwa ili vigogo wa vyombo vya usalama wasohojiwe na Lissu mahakamani

    Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka. Wanajua upo uwezekano wa Lissu kuwa na taarifa nyeti za hao vigogo zikiwemo za kibinafsi na zile zinazohusiana...
  7. Kutoka Mahakamani - 15 Septemba, 2026: John Heche aendelea kutoa ushahidi

    Shahidi John Heche tayari amewasili mahakamani, ni siku nyingine tena tunaendelea kupambana na kesi ya uhaini ya Mh. Tundu Lissu aliyopewa na Jamhuri Kaa tayari kwa updates ======= Leo September 15, 2026 Last time tuliishia Sehemu ya 417 Sehemu ya 418 Majaji wameingia muda huu hapa...
  8. Q

    Taarifa za Heche za Benki ya CRDB zaonyeshwa hadharani Mahakamani na Wakili wa Serikali bila idhini ya mwenye Akaunti

    Na Martin Maranja Masese Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja. Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri...
  9. Malenga Julius Mlemavu kutoka Tunduma amempa pesa Tundu Lissu Mahakamani

    Malenga Julias, mwanachama kutoka Tunduma, amefika Dar es Salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu. Julias, ambaye ni mlemavu wa miguu, alipata wasaa wa kusalimiana na Mhe. Lissu Mahakamani na kumkabidhi kiasi cha Shilingi 10,000. Hapa alirejea tena...
  10. Leo tarehe 14 September, Shahidi John Heche ameshafika tayari mahakamani

    Saa 3 kamili asubuhi , Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Wegesa Heche amefika mahakamani kuulizwa maswali ya Dodoso na Mawakili wa Jamhuri Kaa tayari kwa updates Mwenyekiti wetu Tundu Lissu ameingia mahakamani muda huu ======== Leo September 14, 2026 Last time tuliishia Sehemu ya 408 so...
  11. Haya ndo Maswali Tundu Lissu atamtwanga CDF Mkunda wa JWTZ kuhusu Kapteni Tesha Mahakamani

    Salaam, Wote tunajua Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda ni shahidi wa Tundu Lissu. Hivyo kutokana na kesi inavyoendelea, haya ni maswali ya dodoso na ambayo naamini afande atakutana nayo. 1. Tundu Lissu: Afande CDF, Umeamka salama? Jambo afande. Nitakuuliza...
  12. M

    ACT Wazalendo: Iwapo Nchimbi hataonekana hadharani ndani ya wiki moja tutaiburuza Serikali mahakamani

    Msifanye mzaha kwenye maisha ya watu, nampa Rai Katambi, ndani ya wiki moja awe ametoka hadharani na kueleza Dkt. Nchimbi yuko wapi na yuko salama. Isizidi hata wiki moja, kama hatafanya hivyo tutafuata taratibu za kisheria kuiburuza serikali Mahakani.
  13. N

    Tutarajie nini endapo CDF, IGP na DCI watafika Mahakamani?

    Kwanza, nianze kwa kusema kwamba nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kesi hiyo tangu siku ya kwanza Tundu Lissu alipofikishwa katika Mahakama ya Kisutu hadi sasa, ambapo kesi hiyo inaendelea kusikilizwa katika Mahakama Kuu, huku mshtakiwa akiwa amekaa rumande kwa zaidi ya siku 400. Katika kipindi...
  14. CDF na IGP kwa uelekeo huu kamwe hawatopanda mahakamani kwenye kesi ya Lissu

    Boksi la Pandora kuhusu mauaji ya October 29 limeanza kufunguliwa leo. Hili boksi lina mambo mengi machafu. Lissu kuanza kulifungua kupitia ushahidi wa Heche ana makusudi makubwa sana. Imagine IGP anaulizwa ieleze mahakama October 29 nini kilitokea? Imagine aulizwe nani alitoa amri ya watu...
  15. Mashahidi wa Lisu kutoka chadema HQ hawakua wamejiandaa ipasavyo au ni kiwewe cha kizimbani tu?

    Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua, je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga? Baada ya hukumu...
  16. Wanandoa waenda mahakamani kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare

    Wanandoa wa Nigeria wafika mahakamani kwa ajili ya kudai talaka wakiwa wamevalia mavazi sare. 😂 Inadaiwa kuwa jaji alihoji kama kweli walikuwa wameamua kuvunja ndoa yao baada ya kuwaona wamevalia mavazi yanayofanana. Walifika mahakamani kwa ajili ya talaka, lakini walionekana kana kwamba...
  17. M

    Lissu inabidi aukatie rufaa uamuzi mdogo ili mashahidi muhimu anaowataka waje mahakamani

    Lissu aliomba miongoni mwa nashahidi wa kwenda mahskamaani ni rais Salia, Waziri mkuu mstaafu Majaliwa na makamu wa rais mstaafu. Jaji akisoma hukumu ameeleza kwa nini rais hawezi kwenda, ila hajaeleza kwa nini waziri mkuu na makamu wa rais hawawezi kwenda mahakamani. Kwa ninavyoona, Waziri...
  18. Nimejifunza kitu, ukizoea kujiropokea na kutukana ovyo omba usifikishwe mahakamani. Aibu utaiona wewe.

    Hebu na wewe sikiliza mahojiano haya kisha jipime mwenyewe. https://youtu.be/ft0IaABC254?si=KGte3w-tQz32SYib
  19. M

    Tundu Lissu adai kuzuiwa kuingia Mahakamani na Tisheti lililoandikwa aliyenusurika Risasi 16

    Lissu adai kuzuiwa kuvaa T-shirt iliyoandikwa “LISSU — SIXTEEN BULLETS SURVIVOR.” akiingia mahakani
  20. Leo Mahakamani kesi ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri, shauri litaendelea kusikilizwa kwa upande wa utetezi

    Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani na anauliza leo vipi leo wako wapi ? Anajibiwa wanakuja Kaa tayari kwa updates Shahidi Aman Golugwa nae ameshafika ======== Leo September 4, 2026 Sehemu ya 348. Majaji wanaingia na Mwenyekiti anaingia pia. Anasimama Ajuaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…