mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Dr Akili

    Tundu Lissu ameamua kugoma kula ili kushinikiza hukumu ya mahakama badala ya kukata rufaa. Madhara ya kutokula au kunywa yatakayompata haya hapa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  2. Dr Akili

    Hukumu ya mahakama mtuhumiwa

    Mtu anaweza kufunga kula chakula kwa mwaka mmoja na akabaki hai na salama. Mr Angus Barbiel, mwanaume wa Scotland, alifunga kula chakula (akiwa nyumbani kwake) kwa siku 382 kuanzia tarehe 14 June 1965 hadi tarehe 30 June 1966. Katika muda huo alikuwa anatumia tu maji, chai, kahawa na vitamins...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wanasheria wa Kimataifa walaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Tundu Lissu

    Jumuiya za Kikanda na Kimataifa za vyama vya Wanasheria zimetoa tamko rasmi la kulaani kukamatwa na kushtakiwa kwa Wakili Tundu Lissu ambaye ni Rais wa zamani wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Taarifa ya pamoja ya jumuiya hizo iliyosainiwa na Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki...
  4. S

    Baada ya Lissu kushitakiwa kwa uhaini, CHADEMA wafunguliwa kesi, na mojawapo ya madai ni CHADEMA isimamishwe na mahakama kufanya shughuli za kisasa

    Vita bado ni kali, ila hawatashinda. Katika kesi hiyo, walalamikaji ni baadhi ya viongozi wa bodi ya wadhamini wa chama wakiwa na jumla ya hoja 7 wanazotaka mahakama izifanyie kazi mojawapo ikiwa ni kuiomba mahakama isimamishe kwa muda CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa. Taarifa hii...
  5. Mpepetaji

    PreGE2025 POTOSHI Kibatala awataka wanachama wa CHADEMA kuiacha mahakama ifanye kazi yake bila maingiliano

  6. K

    Je, baada ya Mahakama ya Kadhi kutoa Talaka, mume anaruhusiwa kumrudia mkewe?

    Naomba kufahamu, kama kesi ilienda mahakama ya kadhi na TALAKA ikatoka kupatiwa mke, Je wakiridhiana wanaweza rudiana, au nini hatma yake!? Nawasilisha
  7. Mwanamwana

    PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  8. Lord Denning

    Kwa maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bungeni, Maamuzi ya kusikiliza Kesi ya Lissu kwa njia ya Mtandao yanafanywa na Serikali na sio Mahakama

    Kila siku huwa nasema, Viongozi vilaza tunaopatiwa na CCM na mifumo yake ndio wanaolighalimu hili Taifa na hadi sasa linakufa Watanzania tukishuhudia kwa macho yetu. Kwa akili ya kawaida tu bila hata kusoma Sheria, huwezi tegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuzungumzia suala la kesi ya Tundu...
  9. BLACK MOVEMENT

    Democrasia iliopo Kenya hasa uhuru wa habari sio wa levo hizi za Africa ni beyond Africa labda Ulaya huko nako pia nina wasiwasi.

    Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu. Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru. Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii. Hii je? Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
  10. Waziri2025

    Mahakama yamwamuru kuachia ofisi ya mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Saleh Alarmy kwa kushindwa kesi

    Licha ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, Divisheni ya Biashara, kuamuru kufutwa kwa hisa asilimia 18 zilizokabidhiwa kwa Daudi Ibrahim Lumala kinyume na utaratibu, pamoja na kufutwa kwa nafasi yake kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Sunset Tarangire Limited, Lumala bado ameendelea kuwepo ndani...
  11. Angelikaa

    Je, ni biashara gani naweza kufungua karibu na Mahakama??

    Biashara gani naweza kufanya katika fremu ndogo yakujibanza iliyoko barabarani karibu na mahakama?
  12. RoadLofa

    Mahakama za Tanzania ni majukwaa ya maigizo

    Mambo vipi? Mimi kwa akili zangu tu ninavyoona watanzania wanaofuatilia kesi ya UHAINI inayomkabili kamanda TUNDU LISSU na kufikiri hataukumiwa kifungo cha maisha wote ni wajinga kwa sababu pale kisutu kinachofanyika ni maagizo na maigizo kutoka juu ili kumpotezea muda wa kufanya kampeni zake...
  13. The Palm Beach

    Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  14. Crocodiletooth

    Mahakama yetu iweke mfumo mzuri wa Tele court, hearing katika kesi ya lissu

    Hii itasaidia watu wengi kufuatilia shauri hili na mpaka hatima yake, wengi hatuna muda wa kupoteza kuja kulisikiliza kisutu hivyo ingependeza Huku tukiendelea na shughuli zetu taratibu tunapata mwendelezo kwa kupitia sumatifoni zetu. -Lissu ajipange na Wana sheria wake 30, -Serekali ijipange na...
  15. Lord Denning

    Ni msiba! Mahakama imetekwa rasmi na Dola

    Moja ya sifa kuu ya Majaji Wakuu Watatu (Wazawa) wa Kwanza wa Mahakama ya Tanzania yaani Jaji Francis Nyalali, Jaji Bararbas Samata na Jaji Augustino Ramadhani ni kwamba, pamoja na kuiheshimu sana Serikali ila walisisitiza sana Serikali kuheshimu Uhuru wa Mahakama. Majaji hawa walitengeneza...
  16. chiembe

    Ushauri: kama mawakili wa Lissu wakiendelea na usumbufu, mahakama itoe uamuzi wa hoj zao, DPP apeleke notice of appeal mahakama kuu kesi isimame

    Mahakama itoe uamuzi wa hoja za mawakili wa Lissu, halacu DPP akate rufaa kama ilivyokuwa kwenye kesi ya Dk. Slaa. Huku uhaini unasubiri upelelezi, huku t unasubiri rufaa
  17. DogoWaNjombe

    Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  18. chiembe

    Baada ya Gambo kuanza kuishambulia ofisi ya Rais TAMISEMI, rasmi natangaza mazishi ya ubunge wake wa jimbo la Arusha

    Mrisho Gambo ni mwanasiasa ambaye anaishi kwa fitna na majungu. Ili adumu katika siasa lazima amuumize mtu na kumfanya aonekane mbaya. Sasa ameyakanyaga. Baada ya jaribio lake la kumchafua Makonda kuonekana kukwama, jana ameonekana kuihusisha ofisi ya Rais Tamisemi, kule anakosimamia Mwenyekiti...
  19. M

    Mwenye kitabu cha uhuru wa mahakama

    Samahani sana. Mwenye kitabu cha UHURU WA MAHAKAMA kilichoandikwa na Jaji mstaafu Samatta naomba anisaidie.
  20. DogoWaNjombe

    Mahakama ya rufani yaamuru Vodacom kuilipa TRA kiasi cha Tsh. Bilioni 1.4

    Mahakama ya Rufani imeiagiza Kampuni ya Vodacom Tanzania Public Limited Company kuilipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya shilingi bilioni 1.4, ikiwa ni riba ya kodi ya zuio (withholding tax) kutokana na kuchelewesha kulipa kodi hiyo inayotokana na riba ya Mikopo ambayo kampuni hiyo...
Back
Top Bottom