Askofu Bagonza ameibua swali zito kuhusu uwajibikaji wa mihimili ya dola.
Amehoji kuwa Bunge likikosea, wananchi wanakimbilia mahakamani. Serikali ikikosea, nako mahakamani ndipo haki inapodaiwa.
Lakini je, mahakama yenyewe ikikosea, mwananchi wanakimbilia wapi kudai haki?