magari

  1. Idugunde

    Kuna nini jijini Arusha magari ya delaya na askari wametapakaa mitaani?

    Kuna hatari gani kwenye hili jiji? Askari wametapakaa kila kona. Magari ya delaya yanazunguka mji mzima. Mimi nikiwa mgeni nimepata hofu kubwa sana.
  2. T

    TRA WANATOA WAPI BEI ZA MAGARI

    Tuchulie mfano Kesi ya Ommy Dimpoz, Wanasema amedanganya bei ya gari. Mi najiuliza Ommy kanunia gari used, na bei ya gari used ni makubaliano kati ya muuzaji na mnunuzi. Naweza nikawa nina watu Japan, nikataka gari wakaninunulia kwa mtu na sio zile za mnada wala Za dealership. Hii gari lazima...
  3. Design Your Idea

    Huwa najiuliza the likes ya watu kama aunty, gigi, wolper, uwoya, etc wanatoa wapi pesa hadi wana push magari ya 100m+

    Mbona sanaa yenyewe wanayofanya na brand deals sio ya vipato vya kushtua. Anyway, ngoja nimalizie kufua soksi za shemeji alafu nije nisome comments
  4. Roving Journalist

    Responded TAA yatangaza viwango vipya vya gharama za maegesho ya magari Uwanja wa Ndege Dar (JNIA)

    MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA 29 Septemba, 2026 YAH: GHARAMA YA MAEGESHO YA MAGARI KIWANJA CHA NDEGE CHA KIMATAIFA CHA JULIUS NYERERE (JNIA) Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) inapenda kuutaarifu Umma kuhusu gharama mpya za maegesho ya magari katika Kiwanja cha Ndege cha...
  5. Z

    Matajiri wa mabasi wanapaswa kuwafukuza kazi madereva wote walio gomea kuendesha magari yao

    Madereva wenye uzoefu na sifa wapo wengi sana mitaani hawana kazi. Hivyo matajiri jambo la kufanya ni moja tu, wafukuzeni kazi madereva wote ambao wamegomea kufanya kazi kisha wekeni madereva wengine wenye nia ya kufanya kazi. Hatuwezi kubabaishwa na wahuni wachache. Nyang'anya funguo kabidhi...
  6. mirindimo

    Wamiliki wa mabasi park magari yenu kama mnawapenda madereva wenu

    Katika hili Wamiliki wapeleke Yadi magari yao kama Msando (wakiki msomi) alivyosema, kama wanawajali na kuwasikiliza madereva wao. Hii ni hatua mhimu ya wao kusikilizwa
  7. A

    KERO Taa za kuongozea magari TAZARA, hazifanyikazi, ni mwendo wa kuviziana wakati wa kuvuka

    Kwa siku kadhaa sasa, Taa za kuongozea magari zilizopo Tazara ambapo pia kuna njia ya kwenda Buruguni na Airport hazifanyi kazi, vyombo vya moto na watu wanaovuka kwa miguu wote wanapotaka kuvuka wanaviziana. Hii si salama kabisa, inamaana viongozi husika hawaoni hiyo hali! Kibata Zaidi njia...
  8. Jannatul Firdaus

    Tanzania kujifunza Qatar kuondoa msongamano wa magari

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Serikali ya Qatar kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia ya kisasa na nishati safi katika mifumo ya usafiri wa umma. Dkt. Nchemba ametoa pongezi hizo leo, Jumamosi, Septemba 26, 2026, jijini Doha, Qatar...
  9. A

    KERO Daladala za Mbezi-Goba-Kawe zinatoza nauli isiyoelekezi, ukiuliza wanakuwa wakali

    Mwezi Aprili, LATRA ilipotangaza nauli mpya, ilieleza kuwa safari zisizozidi kilomita 10 zitatozwa Shilingi 700, huku safari zisizozidi kilomita 20 zikitozwa Shilingi 900. Hata hivyo, kwa takribani wiki mbili sasa, daladala za njia ya Mbezi–Goba–Kawe zimekuwa zikitoza nauli ya Shilingi 1,000...
  10. Kifurukutu

    Mikopo ya Magari Showroom (Kausha Damu): Serikali Iingilie Kati, Hii Siyo Fursa Ni Unyonyaji wa Wazi

    Amani kwenu wakuu, Ukiingia Mtandao wa Instagram hivi sasa, kurasa za wauzaji wa magari zimefurika matangazo ya mikopo yenye ushawishi mkubwa. Makampuni maarufu ya kuuza na kuagiza magari Dar es Salaam yote yanatangaza fursa za kutoa magari kwa mkopo. Kijuujuu inaonekana ni msaada kwa vijana...
  11. Tochuku

    Dah, vijana mnanunua magari ya Bilioni 1, mnasema ni forex tu, haya bwana!

    Tena hata sio milioni 700, ni Bilioni Moja hio gari. Na hapo dogo naona anataka kuanza kukodi private jet, itakayokua inampeleka katika safari zake. Eti ni forex tu. Naandika ujumbe huu machozi yakinilenga na naitazama hii baiskeli yangu ya mifupa hapa imepaki juani. Hamna shida bwana. Nchi...
  12. A

    KERO Kwanini Dampo la takataka liwekwe kwenye njia ya Watembea kwa miguu katika daraja la Mirongo, Mwanza

    Naomba kuwasilisha kero kuhusu uwekaji wa dampo la takataka kwenye njia ya watembea kwa miguu katika barabara ya kuelekea U-turn ya Daraja la Mirongo, Jiji la Mwanza. Uamuzi huu umeleta usumbufu mkubwa kwa watembea kwa miguu, kwani njia hiyo sasa imezibwa na kuwalazimisha baadhi ya watu...
  13. peno hasegawa

    Orodha ya Magari ya Serikali na Binafsi Yanayotumia Namba za Usajili Zinazodaiwa Kuwa Si Halali Tanzania Bara.

    Karibuni!Tuyatambue kwa majina na maeneo yalipo! 1. Gari linalomuendesha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mwanga,Kule Mkoani Kilimanjaro. ( Toyota Landcuiser Prado J250). 2. 3. 4. 5.
  14. A

    HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  15. Mad Max

    Top 5 yangu ya Magari used ya Kijapan yanayotumia Mafuta kidogo na Reliable (Non Hybrid)!

    Nina list yangu (Top 5) ya Magari kutoka JP, yaliyotengenezwa kuanzia 2005 hadi 2015, yenye utumiaji mzuri wa mafuta na Reliable. Mnaionaje? 1. Toyota Vitz /Yaris 2010 - 2013. Hapa naongelea 2nd na 3rd generation, especially engine ya 1.3L petrol (1NR FE), rahisi sana kupata 14 km/L hadi 16...
  16. MLIMAWANYOKA

    Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

    Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex Elifuraha
  17. O

    Magari Yageuka Majivu Kilimani: Moto wa Saa Nne, Chanzo Hakijulikani

    Moto mkubwa ulizuka usiku wa Septemba 7 katika gereji iliyoko Ole Dume Road, Kilimani, Nairobi, na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali. Magari kadhaa yaliyokuwa yameegeshwa katika eneo hilo yaliteketea, huku baadhi yakiharibika kiasi cha kutoweza kurekebishwa tena. Vifaa mbalimbali vilivyokuwa...
  18. Jannatul Firdaus

    KERO Foleni ya magari Mwenge, Dar yaendelea kuwa kero kwa wananchi

    Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
  19. Zack Abdul

    Magari ya Wagonjwa Yawe Tayari na Mafuta muda wote

    Magari ya Wagonjwa yawe tayari muda wote. Tulishanunua magari, yawe na mafuta. Kila wakati yawe na mafuta. Tusichangishe wagonjwa kuweka mafuta kwenye gari ya Serikali kubeba mgonjwa ambaye yuko mautini-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema...
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    Kati ya fundi umeme wa magari au bajaj repair ipi ni choice nzuri.

    Vyote ni katika kujenga career yenye turn over ya 2M -5M per month kwa mtaji wa million 10. 1.auto electrical repair Kuwa na ujuzi wa umeme wa magari, then kuuza spare au accessories za magari kwanza ni kuwa na ujuzi ndio pesa iwekwe kwenye biashara. 2. Bajaj repair Kutokana na ongezeko za...
Back
Top Bottom