magari

  1. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tengeni fedha za mafuta ya magari ya wagonjwa

    ▪ Aonya watumishi wanaodai michango ya mafuta kwa wagonjwa wa dharura ▪ Aagiza uchunguzi wa matumizi na upatikanaji wa dawa ▪ Ataka maandalizi ya barabara za Solwa yaharakishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini kutenga fedha za mafuta ya magari...
  2. F

    Pendekeza njia bora za kuhakikisha magari ya watekaji yanaondoa tinted haraka uwezekanavyo

    Mwalimu Nyerere alitembelea gari ambayo haikuwa na tinted glass, na alilindwa vyema tu. Kiongozi wetu lazima uonekane, hupasi kufichwa kama jambazi . Sasa Kuna watu wanatumia magari tinted, tena tinted glass zenyewe ni nzito hasa, Hadi tunajiuliza dereva aonaje akiendesha wakati wa usiku...
  3. Roving Journalist

    Albert Chalamila: Mkiona magari ya Polisi msiogope, ni jukumu letu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wananchi kutokuwa na hofu wanapoyaona magari ya vyombo vya ulinzi na usalama katika maeneo mbalimbali ya jiji, akieleza kuwa uwepo wake ni sehemu ya hatua za kuendelea kulinda amani, usalama na utulivu wa mkoa huo. Chalamila amesema Dar...
  4. mirindimo

    Madereva maegesho ya bandarini kurasini watakiwa kutoa magari ama wapasuliwe vichwa!!

    Sekeseke limewakumba madereva wanaopaki malori eneo la Kurasini baada ya kutakiwa kuondoa magari yao maeneo ya maegesho baada ya kuchukuliwa na mwekezaji. Madereva hao wameambiwa na mtumishi wa Bandari kua “toeni magari yenu ama tuwapasue vichwa”. Bado mpaka sasa madereva hao hawajajua...
  5. Kelela

    Kwa wanaonunua magari mkononi Unakaguaje Gearbox ya Gari?

    Baada ya kufuatilia katika majukwaa mbalimbali na changamoto walizokutana nazo watu walionunua magari used mikononi mwa watu. Nilichoona kinajirudia sana ni suala la watu wengi kununua gari zenye gearbox mbovu. Sasa naomba wataalamu watusaidie ni mbinu zipi tunaweza kutumia katika kukagua...
  6. uran

    Haya Magari yamenunuliwa kwa thamani ya 1.2B Mkoa wa Arusha

    Yamenunuliwa Matano. Ni Land Cruiser Prado 250. Maarufu kama Kasongo... Bei yake halisi Toyota Hii Hapa.
  7. G

    Wanawake wengi wenye magari wasio na biashara ni Malaya Grade one hata kama ni mke wa mtu fuatilia Kwa makini

    Wanawake ni watu wachungu sana kwenye kituo Hela za matumizi hata Kwa mambo yanayowahusu wao wenyewe. Hivyo ni vigumu sana kugharamia gari mafuta na maintenance za mara Kwa mara . Mshahara wake wa laki Tano umwambie atoe laki tatu Kwa ajili maintainance na mafuta ya gari ni ngumu sana Wakati...
  8. M

    Leo kuna nini, Mbona Barabara ya Morogoro Road hasa maeneo ya kimara mpaka ubungo kuna magari makubwa ya Polisi pamoja na polisi wengi wenye silaha?

    Toka majira ya asubuhi ,nimeshuhudia uwepo wa askari polisi wengi wenye silaha kwenye hii barabara! Je kuna shida yoyote?
  9. Waufukweni

    Spika Zungu: Mawaziri na viongozi waliokiuka taratibu za ununuzi wa magari waitwe na kuhojiwa, hatua zichukuliwe

    Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, ameiagiza Kamati husika ya Bunge kuwahoji watumishi wa umma wanaodaiwa kukiuka Waraka wa Serikali wa mwaka 2021 unaoelekeza taratibu za ununuzi wa magari ya serikali, na kuchukua hatua stahiki dhidi yao. Zungu amesema kutokana na hali ngumu ya kiuchumi duniani...
  10. MamaSamia2025

    Hizi ni picha ya magari ambayo yamekuwa kama utambulisho wa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha

    Picha
  11. Mad Max

    Yale Magari Sir. W. Chivayo alikua anagawa, mengi yao hayajalipiwa. Dealers wameanza kuyadai.

    Janja Janja tu. Magari hayajalipiwa, hakuna kwenye logbook/kadi ya kumiliki. Kwahiyo case inaendelea. Wicknell Chivayo's 15 Unpaid Car Gifts Await Estate Settlement, Dealer Says - Tuko.co.ke
  12. Design Your Idea

    Ukishazaliwa afrika unatambulishwa katika ujinga. Katika usawa huu wa Elon Musk na magari ya kupaa sisi tuna Doto Magari na yule dada wa toa duku duku

    Hakuna vitu positive na kuntu katika taifa hili, watu wenye stori chanya na impact kabambe wanawekwa kapuni ila sasa wale wehu wehu ndio wanapewa airtime ni video tu za wadada wenye makebo na matusi ya dotto magari na chawa wa upande ule
  13. M

    HOJA Intelijensia ya Polisi inafanya kazi wakati gani? Kwanini magari kama haya yanatembea Dar bila Sheria kuzingatiwa?

    Kimsingi, Tanzania haina namba za usajili zenye herufi O. Ni ajabu kuona gari hili linatembea jijini Dar na hakuna wa kuligusa. Bado mnaamini tunafuata utawala wa sheria? Au the so called “hakuna aliye juu ya sheria”?
  14. T

    Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu!

    Watanzania Tunapenda maendeleo bwana. Baada ya Serikali kuanzisha Sewage Treatment Plant kila jiji nimeamua kuuza magari yangu ya maji taka! Tena kwa bei chee kabisa... Unakatibishwa inbox
  15. Lycaon pictus

    Biashara ya Bond za magari iko vipi?

    Tunajifunza vitu vipya kila siku. Nimemsikia Pastor Tony Kapola akitaja biashara zake. Vituo vya mafuta, ckearing and forwarding na bond za magari. Hii business ya bond za magari ndiyo ikoje? https://youtube.com/shorts/ThetGsMbntQ?is=qB8c0yWpK7m3B-_h
  16. Mathias Byabato

    Wazo: Kuthibiti ajali magari kugongana,tutumie 2+1

    Ndugu wanabodi. Nimefikiria mbinu inayoweza punguza sana ajali za magari kugongana hasa katika Barbara zetu kuu. Hapa chini ni mapendekezo ambayo nafikiri yakitumiwa na Tanroad,Serikali kuu na polisi kuna uwezekano mkubwa kupunguza hizi ajali. Mfumo wa 2+1 ni nini. Mfumo wa 2+1 Road System...
  17. Yoda

    Dotto Magari ataweza kupambana kwa muda gani na Dudubaya na wajinga walio nyuma yake?

    Dotto Magari pamoja na kuwa mtu mjinga na chawa mkubwa wa CCM na Samia ila katika suala la ushoga ana msimamo sahihi kwa 99% kuliko Watanzania wengi hata wale wenye digrii tatu. Tatizo upande wa Dudubaya ndio una watu wengi Tanzania ukiwaunganisha hadi CHADEMA na CCM, watawala na watawaliwa...
  18. ugali dagaa

    Mpaka sasa Dudi baya 3 dotto magari 0 (video)

    huyu jamaa kwanza huwa anakuja kwenye 30 ya bongo flava kama nani? Siyo muimbaji anakuja kutoa maneno ya kebehi au dharau kwa ma legend wetu wa bongo flava na kujiongezea umaarufu binafsi angepigwa marufuku.
  19. N

    Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  20. Mshana Jr

    Nimemiss mikutano ya ccm! Ile ya kusomba watu kwa magari ya mizigo

    Picha mbalimbali zikionesha matukio katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo tarehe 04, Oktoba 2026 Serengeti, mkoani Mara. Mgeni rasmi alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. John Heche
Back
Top Bottom