mafanikio

  1. O

    Njia nzuri ya kupata mafanikio

    Mbegu tunazopanda leo ni mazao ya msimu ujao. Ukipanda mbegu mbaya utavuna mabaya na ukipanda mbegu nzuri utavuna mazuri. Ukitenda mabaya leo kesho yako itakuwa mbaya pia ukitenda mazuri leo kesho yako hakika itakuwa nzuri yakupendeza na yenye kufurahisha kwa kila mwenye macho na maskio. Hivyo...
  2. L

    Ubinafsi wa baadhi ya wanasiasa unahatarisha mafanikio yanayopatikana kwenye mapambano dhidi ya COVID-19

    Waziri mkuu wa Uingereza Bw. Boris Johnson na serikali yake, wameonyesha msimamo wa ajabu ambao pia unaweza kuonekana kuwa ni ubinafsi, baada ya kuweka kipaumbele zaidi kwenye uhuru wa watu na hali ya uchumi, na sio maisha na usalama wa afya ya wananchi. Mwanzoni Bw. Boris Johnson alishutumiwa...
  3. Z

    SoC01 Biashara na mafanikio katika maisha

    1.BIASHARA. 2.MAFANIKIO KATIKA MAISHA. 3.HITIMISHO 1.0.BIASHARA. Kuna aina mbalimbali za biashara na aina ya ufanyaji biashara zinazoweza kukukuza kiuchumu. Katika andiko hili litakuonyesha ni nini ufanye ili biashara yako iwe na mafanikio makubwa. 1.1. Kupata soko la biashara yako. Watu wengi...
  4. K

    SoC01 Uyatima na kielelezo cha mafanikio maishani

    Nawasalimu nyote mtakaosoma story hii! Awali ya yote nipende kusema kwamba yote nitakayoandika kwenye story hii ni maelezo yangu ya kweli na nimeyaishi. Hivyo basi story yangu ni ya kweli na ilikuwa mapito yenye ukweli ndani yake: Nimezaliwa kijiji kimoja wapo wilayani Rufiji mkoani Pwani...
  5. CCM kwenye marufuku ya mifuko ya plastiki (rambo) ndipo mlipofanikiwa

    Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine kote naona hakuna ustawi. Sijui labda pengine kwa kuwa Mimi sio mzungukaji sana kwahivyo sijatembelea...
  6. SoC01 Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo

    Mbinu za kupata mafanikio kwenye masomo fanya haya 1. MTANGULIZE MUNGU KATIKA MASOMO YAKO. Hili ndio jambo kubwa katika mafinikio ya kielimu.Mungu ndio kila kitu,hakikisha unajenga tabia ya kuombea masomo yako kila siku na kila mara,kila siku unapoamka asubuhi kabla ya kwenda shule au chuo piga...
  7. SoC01 Mambo ya kujifunza kwenye mafanikio ya Diamond Platnumz

    Naseeb Abdul Juma Issack (maarufu kama Diamond Platnumz; majina mengine ya kisanii ni Chibu, Simba au Dangote; alizaliwa dar es salaam, 2 october 1989 ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo flava kutoka Tanzania. Diamond ni msanii mwenye mafanikio makubwa kuliko wasanii wengine Tanzania na Afrika...
  8. O

    SoC01 Mafanikio katika Umakini wa Mikakati

    1.1 Utangulizi Katika muingiliano unaotabirika na usiotabirika wa mambo mchanganyiko ambayo yanaathiri dunia katika upande chanya na hasi hasa katika nchi zinazoendelea kama Tanzania, kufanikiwa kunahitaji umakini katika mikakati ili shughuli ambazo mtu au taasisi imeanzisha au ni endelevu...
  9. Diamond Platinumz tunakushukuru, Umeamsha vijana wengi walioridhika na mafanikio

    Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
  10. SoC01 Afya njema ni nguzo ya Kwanza ya Mitaji ya Mafanikio Katika Maisha

    1. Utangulizi Tuko katika kizazi chenye kudhani kuwa kuishi vizuri ni kuwa na fedha. Fedha inaonekana ni kila kitu. Tunadhani kuwa ni fedha ndizo hutufanya tununue nyumba, gari, nguo, chakula na maisha mazuri kwa ujumla, na wengine kwenda mbali zaidi na kupata jeuri ya kujiona wanaweza hata...
  11. Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula. Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha. Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa...
  12. Kumchukia mtu kutokana na mafanikio yake ni kufilisika kwa uwezo wa kufikiri

    Kufanikiwa kumekuwa moja wapo ya sababu ya kufanya maadui waongezeke kwani kadri neema zinavyoongezeka ndivyo hivyo hivyo maadui wanaongezeka. Swali kubwa ni kuwa Kuna mantiki yoyote kumchukia mtu aliyefanikiwa? Iko wazi chuki ni miongoni mwa vitu vinavyosababisha msongo wa mawazo. Kumchukia...
  13. Ukweli Mchungu: Ukitaka Mafanikio Makubwa, Usiwe 'Fair'

    Rafiki yangu mpendwa, Kuna vitu waliofanikiwa sana wanavijua, lakini huwa hawaviweki wazi. Wanafanya hivyo kwa sababu jamii huwa haielewi vitu vingi kuhusu mafanikio, na hivyo huishia kuwashambulia waliofanikiwa pale wanapojaribu kuwa wakweli. Mara ngapi umesikia masikini wakiwasema matajiri...
  14. Vitu 10 ambavyo Wanaume waliokomaa hawavifanyi

    Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa. Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
  15. Siri kuu ya mafanikio; fanya kazi yako na wawezeshe wengine kufanya kazi zao

    Rafiki yangu mpendwa, Hakuna kitu kimekuwa kinatafutwa kwa muda mrefu kama siri za mafanikio. Mamilioni ya vitabu yameandikwa kuhusu siri za mafanikio. Lakini siri hizo hazijafichwa kwa namna yoyote ile, ziko wazi kabisa. Ambacho watu wamekuwa wanatafuta kwenye siri za mafanikio ni njia ya...
  16. W

    Siku 100 za mafanikio tele ya Rais Samia. Kazi iendelee!

    Na Emmanuel J. Shilatu Napenda kuungana na Mamilioni ya Watanzania kusherehekea maadhimisho ya siku 100 tangu Mhe. Samia Suluhu Hassan ale kiapo Machi 19, 2021 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni siku zilizojaa maajabu, matumaini na mwangaza kwa Taifa letu. Nitagusia baadhi ya...
  17. Kupitia mafanikio ya Diamond Platnumz nimegundua Watanzania wengi wana roho mbaya

    Habari zenu, Kwakweli kama wote mnavyojua kijana Diamond Platnumz ni moja ya vijana wapambanaji sana katika nchi hii,ni wale vijana waliotoka from the bottom huko chini kabisa na wakafanikiwa kupata mafanikio makubwa kutokana na juhudi binafsi. Kinachonishangaza sasa ni trend kubwa ya...
  18. B

    Corona: EU Yafungua Milango kwa Wageni hali Inapotengamaa

    Hii ni habari njema kwamba kumbe palipo na jitihada kubwa, hali inaweza kutengamaa. Nani hakuyasikia ya Italy, Spain nk? https://edition.cnn.com/travel/article/pandemic-travel-news-new-york-california-europe/index.html Ni wazi kuwa mpambano haukuwa bure, maisha yameokolewa na matumaini sasa...
  19. Ndani ya siku 100 za Uongozi wake, Rais Samia amefanya mambo makubwa

    NDANI YA SIKU 100, RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA Wanaandika Ndugu Twahir Abasi Kiobya na Denis Shanyangi Kama kuna jambo lolote linalonipa amani na Faraja kwenye nafsi yangu katika siku 100 zilizopita, basi ni kuona kuwa tuna rais wa aina ya Mama Samia Suluhu Hassan. 1. Ndani ya siku 100...
  20. Mafanikio Makubwa ya Kitabibu Yafanyika. Hongera Serikali Awamu ya 6

    Jamiiforums naona kuna baadhi ya threads mnazi delete bila sababu ya msingi. Tupeane Mwongozo Zinatakiwa threads za namna gani pekee? Tunashukuru pia kijiografia nchi kama Usa, Ugiriki, Misri sasa zimesogezwa karibu na Tanzania.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…