Kwa ujumla Mbowe na Zitto Kabwe walirudisha nyuma mapambano dhidi ya CCM.
Walikuwa vibaraka wabaya sana ambao walikuwa after pay tu. Walilipwa ili kuisadia CCM ikae madarakani.
Tangu watu wamewadharau na kutopewa kipaumbele kwenye siasa za hapa Tanganyika Chadema kama chama cha upinzani...
Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana
Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
Kuna mafanikio ambayo ukisikia historia ya mtu na mazingira aliyotoka, unajikuta una maswali mengi kuliko majibu.
Tuchukulie mfano huu:
Una miaka 20. Umetoka kwenye familia ambayo haina historia nzuri ya kiuchumi. Familia yako haina mashamba makubwa, viwanja, mifugo wala biashara kubwa. Hata...
Nianze kwa kukiri wazi: mimi sijawahi kuongoza timu yoyote ya mpira wa miguu. Lakini nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa klabu ya Yanga na maamuzi yanayofanywa na viongozi wake kwa muda mrefu sasa. Sote tunajua kuwa maamuzi na matendo ya kiongozi ndio kioo cha uwezo wake wa kufikiri na picha...
Serikali imesema imeendelea kuboresha upatikanaji wa huduma za haki nchini kupitia ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya mahakama, matumizi ya teknolojia na kampeni za msaada wa kisheria kwa wananchi.
katika hatua hizo, imeelezwa kuwa kuna mahakama kuu 26, pamoja na usajili wa mahakama katika...
Wadau wa Maendeleo wameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mafanikio yaliyopatikana katika utekelezaji wa Programu ya Maboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma Awamu ya Sita (Public Finance Management Reform Programme - PFMRP VI), yaliyochangia kuongeza ufanisi, uwazi na...
Wakuu salama!
Kuna ukweli mmoja mkubwa sana ambao mahasla wengi huwa tunaufeli. Mara nyingi tunakimbilia kusoma historia za biashara zilizofanikiwa (kama akina Mo Dewji au GSM). Lakini ukweli ni kwamba, ukitaka kujua changamoto halisi za soko, usisome waliofanikiwa nenda kasome biashara...
Jumapili karmu
Kama unaona mazingira uliyopo yamebana na unatamani kuhama, zingatia yafuatayo kabla ya kufungasha virago:
1. Usiende Kichwa Kichwa: Usihame kwa kufuata mkumbo au msisimko wa kusikia flani kafanikiwa. Nenda ukiwa na mpango mkakati—unajua unaenda kufanya nini hasa
2. Andaa...
Salaamu wakuu
Mafanikio ya Mpira wa Tanzania ya mekuwa yakushangaza ndani ya hii miaka 6 jambo ambalo limekuwa la kuigwa kwa nchi jirani
Mwaka huu Kwa bara zima la Africa ni nchi 2 pekee zilizoingiza timu 4 ambazo ni Morocco na Tanzania
Swali ni je nani anatakiwa kupongezwa kati ya TFF au...
Dkt CHEMICAL ANAFUNDISHA NINI HUKO UDSM KAMA HAJUI NDOA NI SEHEMU YA MAFANIKIO YA MTU BOTH MWANAUME NA MWANAMKE?
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Ndoa ni moja ya vipimo vya mafanikio ya mtu. Hilo mtu yeyote ambaye anaakili timamu analijua. Sasa mtu umeenda shule mpaka umefika chuo kikuu...
Happy Nyerere day Tanzania 🇹🇿
Leo ikiwa ni kumbukumbu ya kifo cha muasisi wa taifa hili, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyezaliwa tarehe 13 Aprili 1922 na kufariki tarehe 14 Oktoba 1999, ni vyema tukajikumbusha historia yake na mchango wake katika taifa hili.
Nyerere wakati anafariki...
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amesema kuwa uhusiano kati ya Tanzania na taasisi za fedha za kimataifa, ikiwemo Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), umeendelea kuimarika huku uchumi wa nchi ukionesha ukuaji wa kuridhisha.
Balozi Omar amesema hayo (12.10.2026)...
Ili apate cha kuiba; wengine wanakuombea mabaya, mfano:-
Daktari anataka uugue ili aende kukutibu
Wakili anataka uwe na kesi ili aweze kusimamia
Muuza majeneza anataka ufe ili auze majeneza
Nabii anataka urogwe ili akutoe mapepo
Mganga anataka urogwe na wachawi ili akupe tiba
Askari anataka...
Nimekua nikifikiria jambo hili kwa muda.
Kuna watu ambao zamani walikuwa wanawaambia watu kila kitu wanachopanga kufanya kama biashara, ujenzi, kazi wanayoomba, miradi wanayoandaa na hata mipango ya maisha. Lakini baada ya muda wanaamua kukaa kimya, wanaacha kuelezea kila hatua ya wanayopitia...
Hoja kubwa si kwamba “usimwamini mtu yeyote,” bali ni kwamba wazo pekee halitoshi kulinda thamani yake. Mwanadamu anaweza kuona wazo la mwingine, kuliboresha, kulitekeleza haraka, kupata mtaji, au kulipeleka kwenye soko kabla mwenye wazo hajafanya hivyo.
Kuna kosa ambalo watu wengi wenye...
Na Dr. Zack, WAF- New York
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan.
Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.