mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

    Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa tusiwaamini hata kidogo hawako serious na mabadiliko ya haki ya mifumo inayopiganiwa na chadema, ni matumbo yao. Take note of this:

    1. Sheikh Ponda anagombea Ubunge Temeke..........................amekwenda ACT agombee 2. Peter madeleka Tabora........................... amekwenda ACT agombeee 3. "UOZO" wote uliotoka chadema unatafuta majimbo!...........................wanatafuta kugombea 4. Covid-...
  3. JamiiForums Tanzania Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa siasa washtukiwe, maafa ya mabadiliko ya hali ya hewa hayapaswi kusahaulika Katika Ilani ya chama na kampeni za uchaguzi 2025

    Wakuu, Nimekua nikitafakari sana kuhusu hizi vurugu za wanasiasa pande zote upinzani na CCM, nikisikiliza hoja zao wakijiandaa na uchaguzi mkuu October 2025 Kwa hamu sana nilitamani nisikie wakiongelea Maafa yanayowakumba wananchi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hasa mafuriko ila ni...
  5. JamiiForums Tanzania IGP afanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa leo Juni 17, 2025

  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki

    Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio...
  7. JamiiForums Tanzania Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo upite tutaendelea hadi mabadiliko

    Tunaposema no reforms no ELECTION ni mpaka mabadiliko yafanyike na sio uchaguzi wa mchongo uishe tutaendelea hadi mabadiliko. Kama samia anajikimbiza kwenye uchaguzi wa mchongo ili kujiwaisha sisi wimbo ni ule ule no reforms no ELECTION hatuutambui uchaguzi bila mabadiliko.
  8. JamiiForums Tanzania Wanapinga “No Reform, No Election” kwa sababu mabadiliko ya kweli yanaondoa mazingira wanayoyadhibiti, yanafungua uwanja wa ushindani wa haki

    Kauli ya “No Reform, No Election” ni tamko linalodai uchaguzi usifanyike bila kwanza kufanyika kwa mabadiliko ya msingi ya mfumo wa uchaguzi. Wakati makundi ya upinzani au wanaharakati wanapotoa kauli hiyo, mara nyingi huwa na hoja kwamba mazingira ya sasa ya uchaguzi hayatoi usawa, haki, wala...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kama mitandao ya kijamii haina nguvu na ni upuuzi, mbona Tunisia na Misri walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii?

    Dunia imebadilika sana. Dunia ya miaka ya 1960's mpaka 1980's sio kama ya leo. Huko Tunisia walipata mabadiliko kupitia mitandao ya kijamii. Huko Misri nako mitandao ya kijamii ilitumika kumuondoa Hosni Mubarak. Vivyo hivyo hata hapa Tanzania mabadiliko yanaweza kupatikana kupitia mitandao...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasipopata mabadiliko kutokea ndani, Watayatafuta kutokea nje

    Katika miaka ya 1990's Mwalimu Nyerere alipokuwa akiongea na waandishi wa habari. Aliongea kwa kirefu sana kuhusu watu kujaribu kutumia mataifa ya nje kushinikiza mabadiliko ndani. Akasema tujitahidi mambo yetu tuyamalize humuhumu sisi wenyewe. Akatolea mfano wa baadhi ya marais wa Afrika wa...
  11. JamiiForums Tanzania Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

    Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu). Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo. Serikali inawatumia Hawa...
  12. JamiiForums Tanzania Ukitaka Kuwa Mjanja Maishani, Haya Ndio Mambo 14 Ambayo Watulivu Huwaza Usiku na Kuyafanyia Kazi Wakiamka

    Maisha haya hayana ramani. Hakuna aliyewahi kuyaelewa kwa ukamilifu. Kadri tunavyoishi, ndivyo tunavyogundua kuwa yale tunayoyachukulia kuwa kweli—mara nyingi si kweli kabisa. Ni kana kwamba maisha yana kauli yao ya chinichini: “Utakapodhani umeelewa, ndipo tunapokudanganya.” Katika makala hii...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAWACHA: Tanzania haina demokrasia ya kweli, tupiganie mabadiliko, CHADEMA hatuogopi uchaguzi bali tunadai haki za wananchi

    Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Taifa, Sharifa Suleiman, amewataka wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kuungana na harakati za kudai mageuzi ya kweli ya kisiasa na kisheria, akisisitiza kuwa bila marekebisho ya sheria za uchaguzi, hakutakuwa na uchaguzi. Akihutubia wakazi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  15. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria za uteuzi yalipaswa kuongelewa na kina IGP wenywe sio mpaka wasemewe na Gwajima

    closed
  16. JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa before uchaguzi

    System imeamua. Mabadiliko makubwa before uchaguzi
  17. JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki

    Nitoe wito kwa Wasimamizi wa uchaguzi wazalendo wanapaswa pia kupiga picha wizi wa kura kwenye uchaguzi kama njia ya kufichua uovu na kuchochea mabadiliko ya haki. Lazima tuwe waasi dhidi ya uovu, wizi na ufisadi ili tusonge mbele msifumbie macho suala hili kwa mchango wenu mnaweza kulisaidia...
  18. JamiiForums Tanzania JamiiForums imekuwa sehemu ya kukwamisha mabadiliko halisi kwa kuwa kichaka cha waoga?

    Nimeona mbunge mmoja wa Kenya anasema Tanzania mtu akidhulumiwa haki zake au akionewa atakaa kimya au atakimbilia mitandaoni tena kwa ID za kificho kutoa malalamiko yake. Hii kauli inafikirisha ukiangalia jinsi mtandaoni watu kupitia ID za kificho(anonymous) walivyo wengi na wenye moto na...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Japo Katiba ni 'Kakitabu Tu', Kwenye Nchi, Katiba Ndio Kila Kitu, Bila Mabadiliko Madogo ya Katiba Uchaguzi Mkuu Utakuwa ni Null & Void Ab Initio?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gezeti la Mwananchi. Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, leo nikijikita kwenye umuhimu wa mabadiliko madogo ya katiba, minimum reforms, kuna Watanzania wengi wamelisikia hili neno minimum reforms, baada ya Chadema kulivalia njuga na kutoa kauli...
  20. JamiiForums Tanzania Somo la kihistoria: Tanzania inawahitaji sana diaspora katika kuleta maendeleo

    SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Katika kusoma kwangu historia ya dunia, hasahasa ya miaka 300 iliyopita sijawahi kuona popote mabadiliko makubwa yamefanyika ndani ya nchi fulani bila msaada wa Diaspora. Katika miaka 300 iliyopita, mapinduzi makubwa ya kisiasa ambayo ni somo kwa dunia nzima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…