mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kama CCM imeweka kwenye ilani yake kipengele cha mabadiliko ya katiba ni cha nini kama kutwa kucha makada wao wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!?

    Nchi Ina vichekesho vingi sana hivi inawezekanaje chama kimeweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye ilani yake ya uchaguzi alafu wakati huohuo makada wake wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!? Kwa nini wasifute tu kwenye ilani ili lijulikane Moja? Ni nani aliwalazimisha kuweka hicho...
  2. JamiiForums Tanzania Heche: Pressure iongezeke kuwafanya viongozi walio madarakani kufanya mabadiliko

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amesema kuna haja ya kuongeza msukumo kutoka kwa wananchi ili kuwafanya viongozi waliopo madarakani kutambua umuhimu wa kufanya mabadiliko ya Katiba. Heche amesema chimbuko la baadhi ya matatizo yanayotokea nchini...
  3. JamiiForums Tanzania Samia aliyahitaji Mabadiliko kwelikweli, Aipongeza KATIBA 1977 Kumrahisishia Mabadiliko !!.

    Muachieni Nchimbi sasa !!!
  4. JamiiForums Tanzania Katika mabadiliko ya katiba tusisahau hili

    Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na kusaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuuza magari used hapa TZ inahitaji mabadiliko makubwa sana

    Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa. wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
  6. JamiiForums Tanzania TAZARA yatangaza mabadiliko ya Muda katika Uendeshaji wa Treni Za Abiria, 26 Agosti 2026

    TAARIFA KWA UMMA MABADILIKO YA MUDA KATIKA UENDESHAJI WA TRENI ZA ABIRIA 26 AGOSTI 2026 Kutokana na changamoto za kiutendaji zinazotokana na kufungwa kwa muda kwa njia mbili za reli katika sehemu ya Kapwila-Msanza nchini Zambia na sehemu ya Mwakanga-Mzenga nchini Tanzania, mabadiliko yafuatayo...
  7. JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  8. JamiiForums Tanzania Ni MABADILIKO Gani Samia alitaka kuyafanya Nchimbi akawa kikwazo? Au ni kukataa kutoa katiba? Kuamulu Tundu Lissu auawe?

    Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi? Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu? Kumuuua Tundu Lissu? Kuamua yakuwa katiba mpya haitotokea kamwe hata akiuuwa? Ni yapi hayoo?
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi Dk Nchimbi alivyogundua Rais Samia anatamani mabadiliko

    Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu "... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...." Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Je,BOSI NDIYE ALIYETAKA MABADILIKO?. Ona sehemu ya kilichoandikwa.

    Wakuu, salaam. Nimeisoma barua inayosemekana kuwa ya mwenyewe. Nukuu: "Pia nilimhakikishia kuwa siku yoyote akiona anahitaji makamu mwingine wa Rais, nitaachia nafasi hii. NIMEJIRIDHISHA PASIPO SHAKA KUWA MH. RAIS ANATAMANI MABADILIKO, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu". Mungu awabariki.
  11. JamiiForums Tanzania Siku Kukifanyika mabadiliko ya sheria na makosa yote kua na dhamana isipokua kosa la mauaji, hio ndio itakua mwisho wa ofisi ya DPP.

    Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee. Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
  12. D

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kidunda: Mradi mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji inaendelea kutekeleza Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro, mradi unaosimamiwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), unaotekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 335. Mradi huu ni...
  13. JamiiForums Tanzania Sikuona haya mabadiliko kabla , Nimeshangaa sana

    Jana usiku nilikuwa namsindikiza rafiki yangu Tabata Segerea, nikitokea Kijitonyama . Binafsi, ni miezi sita tangu nifike Tabata, na njia zangu za kawaida zilikuwa hazinipeleki upande huo. Lakini kila tulipokuwa tukikata kona, nilikuwa nashangaa kuona jinsi mji ulivyobadilika. Si ule mji...
  14. JamiiForums Tanzania Jussa: Kuna watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko wanataka tuwafuate

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa zinazoanzishwa na wengine. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana kimataifa kwa chama...
  15. JamiiForums Tanzania JMT-Maboresho yanakuja-Nawaomba watu wa Rohoni tukoleze nia katika maombi na dua zute ili mabadiliko yanayokuja yawe kamili na yenye athari chanya.

    Kutakua na matengenezo ya mashine, baada ya kukamilika wataijaribisha kwa kuitega na kutazama namna inavyopushi gurudumu linaloanzisha mzunguko (mwendo). Lakini mafundi (ndugu) hao mkubwa ndio anaepambania makanika ya ile mashine pale, wakati huyu bwana mdogo yupo bize ndani huko ni kama...
  16. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mitaala

    1961- 1967 Mtaala baada ya uhuru wa Tanzania. Hapa ulikua ni kutoa mifumo ya kikoloni na kuwekeza katika historia, utamaduni na Kiswahili kwa Tanzania na bara la Afrika kwa ujumla. 1967 -1987 Elimu ya kujitegemea Hii ilijenga zana ya kuwa na shughuli mbalimbali za kilimo na ushirika katika...
  17. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Namera Group of Industries wagomea mabadiliko ya jina la Kampuni hadi walipwe stahiki zao

    Wafanyakazi wa Kampuni ya Namera Group of Industries (T) LTD kilichopo Gongolamboto, Dar es Salaam wamefanya mgomo na kukusanyika nje ya kiwanda hicho wakilalamikia hatua ya mwajiri wao kubadilisha jina la kampuni hiyo bila kuwalipa stahiki zao na kuvunja mikataba yao ya awali. Wafanyakazi hao...
  18. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM Hatujachoka, Mabadiliko Hayaletwi na Miaka

    DAKIKA 45, ITV "CCM hatujachoka, tumechoka na nini?" Mabadiliko hayaletwi na miaka ya kuwepo madarakani, kama ni miaka hata CHADEMA imechoka maana yenyewe ina miaka 30, tena haijatawala..."- Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira
  19. JamiiForums Tanzania UDOM yatwaa Tuzo ya ITU kwa Ubunifu wa AI inayokabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa, baada ya kutunukiwa cheti “AI for Good Innovate for Impact Winner” na Taasisi ya International Telecommunication Union (ITU) kupitia mpango wa AI for Good, kufuatia ubunifu wake unaotumia Akili...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika: ACT imesaliti damu za Watanzania, harakati za mabadiliko

    ACT imesaliti damu za Watanzania, harakati za mabadiliko, Maneno anayosema Mnyika kwa maandishi "Kwa hiyo Katiba inaonekana ni sahihi, kuleta watu wa nje kushughulikia mgogoro. Lakini muungano, Tanzania, inaonekana ni, ni shida. Sasa tunataka kusema kwamba ah tutayazungumza haya, na na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…