maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Arsenal Gunner

    Tunapoteza muda, maandamano ya amani ni kwa ajili ya makongamano

    Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti kisingizio Samia atoke, wazee huyo hawezi kutoka kwa amani mnapoteza muda Kama mmekosa kazi za kufanya...
  2. M

    Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  3. M

    Shukran vijana wa Tanzania aka Gen Z kwa kugomea maandamano ya 9/12

    Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!! IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
  4. kimsboy

    Taarifa kwa Umma: Maandamano kesho yanaendelea

    Leo maandamano yamefanikiwa kwa udogo sana kwa Dsm Tegeta wamefanikiwa. Mwanza wametuwakilisha Vyema sana wametoka kwa wingi Kesho tunaanza upyaaa!!! Maandamano yataendelea kila siku hadi tarehe 25 Xmass na mwaka mpya 2026. Mliopo karibu na Samuya mwambieni Gen Z hatujafa, watanzania hawajafa...
  5. Y

    Pongezi mabondia kwa kuzuia maandamano

    Habari za muda huu watanzania wa mama Samia. Kwanza Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa Hali ya Leo kua ya utulivu na amani. Pili napenda kuwapa pongezi mabondia kwa kuzuia maandamano DSM na kuhakikisha hakuna anae leta uvunjifu wa amani. Tatu vijana tuwe wazalendo tuepuke...
  6. M

    Maandamano ya kesho yatakuwa mazuri zaidi maana wasiokuwa na ajira hawana cha kupoteza

    Kesho ndiyo kutakuwa na mtiti wa ukweli maana wale wote wanaozarauliwa na serikali ndiyo watakaokuwa barabarani halafu hawana cha kupoteza ngoja tuone
  7. Genius Man

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza

    Sisi bado tupo tu, wakifungua nchi sisi hao barabarani sisi hatujaondoka wala haibadilishi chochote lazima sababu kuu za maandamano zitatuliwe kwanza. Waambieni sisi tupo sana
  8. Hance Mtanashati

    PostGE2025 Kiuhalisia wananchi wamefanikiwa zaidi kuliko serikali

    Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa unagombana na mtu unajimaliza kwa kila kitu, unamsukuma mtu, una mdhihaki, una mtusi lakini mtu huyo...
  9. Clack-Sniper

    Maandamano Yajayo yasipangiwe Tarehe, yafuate kwenye mikutano yote Public yenye viongozi wakuu

    Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka. Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia watu wasitoke maana watu walitakiwa kwenda kupiga kura. Awamu nyingine iwe kwenye mikutano ya...
  10. R

    PostGE2025 Hilda Newton: Maandamano yamefanikiwa kwa asilimia 200

    Hatuna bunduki wala silaha yoyote ila tuna bundle tu lakin tumefanikiwa kuifanya Serikali isimamishe shughuli zote nchi nzima. Guys!.. guys! guys! sisi ni washindi maana maandamano ya kuiparalyze Serikali haram yamefanikiwa kwa asilimia 200 na tumewakosesha mapato. Tumefanikiwa kuiweka...
  11. Keynez

    Mbinu ya Serikali kuzuia maandamano itaifilisi nchi

    Kuna watu wanatoa maneno ya kejeli kuhusiana na ukimya uliotawala nchi nzima siku ya leo 09/12/2025. Watu wasichojua ni gharama kubwa ambazo serikali na vyombo vyake imeingia siku ya leo kuendesha operation yake. Kuanzia gharama za kusafirisha watu na vifaa, gharama za malazi ambapo maaskari...
  12. N

    Maandamano ya Wanaharakati yanategemea makundi ya wasio na hatia ili Kufanikiwa

    Ukiwasikiliza muda huu wanasema wazi wazi. Wanasema “Leo watu walibanwa ndo maana hajatoka mtu.” Wanajijua wapo wachache mno ila wanategemea vikundi vya watu wasio na hatia waingia na kuleta vurugu ili walinda amani wakivamia kikundi waonekane wana supporters wengi Kama mwizi anavyochoropoka...
  13. M

    PostGE2025 Ni sababu gani imefanya maandamano ya D9 kudoda ?

    Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia. Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano yalipangwa leo D9, ni kipi kimefanya maandamano kudoda.
  14. Troll JF

    Waandaji wa Maandamano ya Gen Z wanagawana Fito?

    Nimesikiliza mijadala ya Waandaji wa maandamanonya Gen Z katika Tiktok na X wanagombana sana wanalaumiana kwa kuleta ujuaji na Usaliti ndiyo maana maandamano leo yamedoda kuna master Plan wamekasirika wamewaachia vilaza ambao wameendesha maandamano yao katika mitandao ya kijamii katika no...
  15. Mshana Jr

    PostGE2025 Enyi mnaokejeli haya maandamano mna upungufu wa akili

    Kumbukeni ya kura ni maandamano yasiyo na kikomo.. Kuanza kuyakejeli mapema kiasi hiki ni upungufu mkubwa wa akili Siku ndio kwanza imefika nusu kama ukihesabu kuanzia jana usiku na robo siku kqma ukianzia kulipopambazuka Japo hakujachwa msiwe wepesi kutangaza usiku.. Hii sio ngoma ya watoto...
  16. Mikopo Consultant

    PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

    Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
  17. R

    Njia ya kuua watanzania Oktoba 29 ni njia waliyotumia wachina kuzuia maandamano ya Tiananmen

    Wakuu . Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000 wanasadikika walikuwa lakini serikali ilisema around 200. ------------------------------------------------ The...
  18. S

    Labda waweke ulinzi kwa miaka mitano yote na katazo la kutokutoka nje siku wakisema hali ya kawaida iendelee tutaanza maandamano

    Salam Tutajitahidi kadri iwezekanavyo leo maandamano yawepo tena maandamano ya nguvu kubwa mpaka mafedhuri waachie nchi Ikishindikana leo tutaandamana palee watakaposema raia waendelee na shughuli zao za kawaida, na sisi wananchi tutaanza maandamano kuanzia siku hiyo mpaka watukabidhi taifa...
  19. Akilindogosana

    PostGE2025 Je, wakiandaa maandamano ya siku 100, au siku 365 au siku 730 bila kikomo, hali itakuwaje?

    Kama akina GenZ wakiamua kuubadilisha mbinu ya maandamano. Wakasema maandamano sio ya siku moja bali ni siku 100 mfululizo au siku 365 mfululizo au siku 730 au siku 1095 mfululizo mpaka wapate wanachotaka, hali itakuwaje? Je, nchi itasimama kwa siku 365, siku 730, siku 1095, siku 1460 bila...
  20. M

    Maandamano yaliyozinduliwa leo yataambatana na sophisticated Cyber operations

    Imagine watu wako ndani hawaruhusiwi kutoka alafu hawawezi kutoka na CCM wao pia hawawezi kutoka na kutumia huduma za mitandao. #SamiaMustGo
Back
Top Bottom