Wananchi wa Jamhuri ya Czech wanatarajiwa kuandamana jijini Prague kupinga mpango wa serikali ya Waziri Mkuu Andrej Babis wa kubadili mfumo wa ufadhili wa vyombo vya habari vya umma. Mpango huo unapendekeza televisheni na redio za umma zifadhiliwe kupitia bajeti ya serikali badala ya ada...
Yericko Nyerere, aliyekuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Kigamboni mwaka 2025 kupitia Chama cha CHAUMMA, amesema alipoteza ndugu zake wawili katika vurugu za Oktoba 29, akieleza maumivu makubwa aliyoyapata kutokana na tukio hilo.
Akizungumza katika mahojiano na Royal TV kuhusu matukio ya Oktoba 29...
Mbali na Frankfurt, ambayo ni kitovu kikuu cha shughuli za kifedha nchini Ujerumani, matukio ya vurugu pia yaliripotiwa Berlin, Cologne na Hamburg. Polisi walisema walitumia magari ya maji ya kuwatawanya waandamanaji baada ya baadhi yao kuanza kuwarushia fataki, mawe na chupa wahudumu wa huduma...
Yazan Majdal Abu Sammour, mhamiaji Mpalestina mwenye umri wa miaka 23 ambaye ana uraia wa Ufaransa, alirekodiwa katika Place de la République jijini Paris akiwashutumu polisi wa Ufaransa kwa kutumia mbinu za kudhibiti umati wa watu za "kikoloni" za Israeli dhidi ya vijana kutoka vitongoji.
Abu...
Naibu waziri kivuli wa kilimo, mifugo na uvuvi kutoka ofisi ya wasemaji wa kisekta wa chama cha act wazalendo, frank ruhasha, amesema kuwa mauaji na ukatili uliotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa oktoba 2025 havikulenga kudhibiti maandamano, bali vyombo vya dola vilifanya mauaji ya makusudi kwa...
Ndugu Watanzania!
Rais Samia aliunda Time ya Jaji Lila kwa ajili ya kuchunguza au kubaini makundi makuu manne ya watu ambayo ni:
1. Watu waliopanga kile ambacho yeye alikiita kuwa ni matukio ya vurugu kabla, wakati na pia baada ya siku ya Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025.
2. Watu walioratibu kile...
Sijajua kwa huko Dar ila huku mkoani miaka ya karibuni kumetokea utaratibu wa dereva bodaboda kuzikana kwa maandamano. Siku zinavyozidi kwenda hali inazidi kuwa mbaya inakuwa fujo barabarani siku ya maandamano.
Serikali iliangalie hili swala kwa ukaribu maandamano yawe na utaratibu waongozane...
Niliwahi kuishi Mbeya na kuna jambo moja nililoligundua kuhusu watu wa eneo hilo: wana viashiria vingi vya kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa na uwezo wa kuendesha harakati za mabadiliko. Tatizo lao si ukosefu wa ari, ujasiri au dhamira ya kupinga mifumo isiyo ya haki. Tatizo kubwa ni kukosekana kwa...
Wanaharakati walikuwa wameipa Oct 29 uzito mkubwa, wakipush maandamano kwa nguvu zote. Lakini sasa, siku imekaribia na mambo hayaonekani kwenda kama walivyotarajia, hata wao wameacha kuyapush,
Hate her or love her, hii mashine ni kitu kingine kabisa! 🔥 Ana uwezo wa kupenya kwenye hisia za watu...
Habari!
Twende haraka kwenye mada ya maombolezo ya mashujaa wa 0ct 29,
Tangu March 2021 alipoapishwa kiongozi yule dhalimu, takwimu za safari za kuzurura huko na huko duniani Kwa gharama kubwa za Kodi zetu ni kubwa mno, Kila tulipolalamika, tulijibiwa kwamba mimi mamaenu nisipotoka mtakula...
Jamani kwa nini huyu mdada anatuona sisi mazuzu hivi? eti anatushauri wote totoke mtaani tuandamane sasa mbona yeye haji kutuongoza ? anatushauri tusiogope mbona yeye alishindwa hata kumzika baba yake? TAPELI MKUBWA WEWE MWANAMKE ndo maana unazeeeka na laana ya baba yako mshenzi mkubwa wewe...
Chadema tunahitaji neno lenu tu tuanze maandamano. Hayo matamko ya polisi ni ujinga tu na kupoteza muda. Tuko tayari wananchi tumeshaiva. Tuko tayari kumwaga damu kwa ajili ya taifa letu.
IMETOSHA IMETOSHA IMETOSHA.
Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini.
Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania.
Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
Huu ni wakati sahihi wa CHADEMA kuhitisha maandamano nchi nzima msisubiri wala msiogope. Tuko tayari kuipigania nchi yetu hadi tone la mwisho la damu. Tundu Lissu kashatupa njia. Na haya maandamano yasiwe ya CHADEMA tu. Tupige kelele mahakama zetu pia haziko huru na hii ni ishara tosha kuwa...
Baada ya vuguvugu la takribani siku nne lililohusisha mgomo na maandamano ya madereva wa bajaji na wamachinga hatimae serikali imesalimu amri kwamba ilikurupuka kutoa amri ya kuhamisha watu bila kuwaandalia mazingira mbadala rafiki ya kufanyia kazi zao.
Kutokana na shinikizo hilo serikali...
Mwanahabari wa Citizen TV, Francis Odee, alikamatwa na maafisa wa polisi Jumanne, Oktoba 20, 2026, alipokuwa akiripoti maandamano ya wananchi waliokuwa wakipinga ongezeko la bei za mafuta katikati mwa jiji la Nairobi.
Odee, ambaye huripoti masuala ya uhalifu na usalama, alikuwa akitekeleza...
Maandamano ya ufaransa yanathibitisha kuwa mauaji ya tarehe 29/10/2025 nchini hayana uhalali wowote bali yamethibitisha tunaongozwa na wahuni wasio na huruma na binadamu.
Watu wamechoma vitu,wezi wameiba mali lakini hakuna mauaji ya halaiki.pia viongozi wa huko wanajua madhara ya mauaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.