Msanii mashuhuri kutoka Afrika Kusini, Sho Madjozi, ametoa ujumbe mzito kupitia ukurasa wake wa Instagram akielezea wasiwasi wake mkubwa kuhusu marafiki na Watanzania kwa ujumla, kufuatia kile kinachoendelea nchini Tanzania baada ya maandamano na machafuko yaliyosababisha vifo, majeraha na...
Machafuko ya siku ya Uchaguzi lazima yapatiwe tiba ya kudumu.
Yeyote aliyehusika na machafuko haya kwa namna yoyote lazima awajibike, iwe kwa kuchochea mitandaoni au kwa kutenda moja kwa moja, basi hatua kali zichukuliwe. Tunayo nchi moja tu na uhai ni mmoja tu.
Haki ya kila mmoja ipatikane...
Yani namna hawa askari walivyokuwa wanamimina risasi kwa wananchi ni kama walikuwa wanauwa wanyama wa mwituni walivamia makazi ya watu.
Yani wanashusha risasi bila huruma yoyote ile! Huzuni sana hii haikubaliki kabisa
Yani ukitazama watanzania waliuwawa inatia huzuni mzito sana na majozi yasiyoelezeka kwa ndugu na hata Taifa
Huyu jamaa kwenye picha Alikuwa anaishi Kimara Korogwe , Askari alimfuata na kumpiga risasi tumboni utumbo ukatoka nje, alipoinama akishika tumbo kwa maumivu akaongezwa risasi matakoni...
Kuongoza taifa siyo sawa na kupika au kufua nepi. Kunataka jabali tena mwenye elimu, busara, na akili timamu.
Tanzania, tumejaliwa kila kitu ila huyo hapo juu. Uongo umegeuzwa uongozi. Upigaji dili umegeuzwa maadili. Ndiyo maana tunapata watawala wa hovyo kama hawa. Kweli CCM mmejua kututenda...
Tatizo kubwa la Samia ni Muongo hata kama ukweli upo wazi. Una tupa aibu kubwa. Yaani Rais wa nchi ambaye kwanza kapatikana kwa kura za mezani za uongo halafu kujidanganya vitu ambavyo viko wazi kwenye kamera na kusema vijana walio andamana sio Watanzania!
Uongo wa kiasi hiki huwezi kutegemea...
Nitoe onyo kwa serikali na viongozi wake wote bila kuwasahau machawa. Kilichotokea ni mwanzo na ni mfano.
Hiyo ilikuwa kama zoezi tu; sasa mechi kamili inakuja ikiwa serikali itaendelea kuwapuuza wananchi. Kifuatacho kitakuwa hatari zaidi kwa sababu Watanzania wameishapata uzoefu wa maandamano...
Jamaa Leo wamewasha mtandao lakini pia zimeanza kutiririka meseji kutoka jeshi la Polisi la kuwaasa watu kuepuka kutuma picha au video mtandaoni zenye kuweza kuzua taharuki.
Je, hii si ishara kuwa wanawatisha kisionekane kile Walichokifanya dhidi ya watanzania?
Tuseme ukweli maandamano ya chaguzi ni vijana wetu na wala siyo wakutoka nje ya nchi. Hatuwezi kuishi maisha au kubadilika kama tunaficha ukweli ambao upo wazi. Ukificha moto moshi utakuumbua
Alisema yametimia
Kuna kikundi cha Watu wanapiga watu risasi Uraiani. Hata kama haupo kwemye maandamano
Wanatumia pikipiki, Bajaji, Magaari madpgo kama IST nk.
Wanakuja kwako wanapiga risasi. Au risasi inapita dirishani. Hata wakikukuta dukani wanakupiga risasi.
Mara nyingi wanatumia code ya rangi nyeupe...
Samia siyo Rais wa Tanzania kwa mujibu wa katiba. Uchaguzi haukuwepo kwahiyo hajachaguliwa tena. Hana cha kujiuzulu.
Labda tu asaidiane na wengine kutuletea serikali ya mpito, aende apumzike tutamuita kujibu tuhuma za mauaji dhidi ya wapendwa wetu.
Hivyo tu.
Tindwa amepigwa risasi akiwa kibarazani kwake tu; wala sio kwenye maandamano.
Inaonekana Polisi now hawavai sare zao.
Wanavaa kiraia na wanatumia magari ya kawaida. Wanaofanya matukio haya wamevaa kininja na wanatumia IST.
Pole sana Tindwa
Najiuliza:
1) Kwanini viongozi wetu walichagua kukaa kimya au kupuuza sauti za Watanzania pale Watanzania walipodai haki kwa amani?
2) Kwanini walichagua kuzungumza kwa vitisho na ukali kwa raia ambao walijaribu kupaza sauti kudai usalama wa maisha yao na mali zao?
3) Kwanini waliahidi...
Maelfu ya watanzania kutoka Mbezi jijini wanaelekea Ikulu muda huu.
Madai ya waandamnaji, Matokeo ya uchaguzi yafutwe, KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi na utawala wa Haki.
Video hii ni ya asubuhi ya leo: 👇🏽
Leo, wanajeshi wameonekana kuendelea kulinda wananchi...
Nauatilia kuna independent streams, youtubers kama 6 kila baada ya nusu saa wanapost mambo ya protest mambo mabaya tu ya Tanzania na kuna mama mmoja mzungu katikakati kwenye press za wanaharakati.
Huyu alikuwepo sana kwenye kumsuport rickie machari wakati amaefukuzwa, fuatilieni video za 2019...
Kuna wakati mtu anaangalia matokeo yanayotangazwa na Tume ya Uchaguzi na anajiuliza kimya kimya — tulishiriki uchaguzi kweli, au tunapewa hadithi nzuri za takwimu?
Wanalazimisha kuonesha kuwa zaidi ya 90% ya wapiga kura wamejitokeza, lakini vijijini vituo vingi vilikuwa vitupu, na wengine...
Habari wanajamvi,
Kifupi sana mambo makuu matano yamepangwa;
1. Lazima Samia atangazwe kuwa mshindi.
2. Idadi ya wapiga kura iwe asilimia 80.
3. Samia ashinde kwa asilimia 80+ (Hili lilileta mjadala sana wengine walitaka iwe 90+ hadi naandika Uzi huu muafaka bado)
4. Kutakuwa na mabadiliko...
Wakuuu poleni na kazi naomba niende moja kwa moja kutokana na muda, maandamano yanayo endelea nchi nzima ni kutokana na wananchi kutaka mabadiliko (reforms)
Hili jambo ni la wananchi yaani watoto wetu, ndugu zetu na vijana tunao wafahamu tukizubaa tutajaza mitaa ikiwa na miili ya ndugu zetu...
1. Tulia Ackson nyumba zake mbili Mbeya zimepigwa moto
2. Tulia Ackson - Mabasi yake ya Achimwene yamepigwa moto
3. Idd Azan Zungu - Nyumba yake imechomwa moto
4. Kikwete na Ridhiwani - Vituo vingi vya Lake Oil vimechomwa moto na vinaendelea kuchomwa moto
5. Mabus ya Abood
6. Mabus ya Esther...
Siku zote Jeshi letu lina kiapo Kikuu cha kusimama na Wananchi na Katiba.
Wananchi wameamua hawawataki CCM na samia wao na Jeshi linapaswa kusimamia matakwa ya Wananchi.
Wananchi wamesema hawautambui uchaguzi maana ulikuwa ni uchafuzi hivyo Jeshi linapaswa kusimama na Wananchi.
Dunia inajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.