maana

Maana Patel (born 18 March 2000) is an Indian backstroke swimmer from Ahmedabad, Gujarat.

View More On Wikipedia.org
  1. Pili pili hoho ni tunda la maana sana

    Pili pili hoho, hasa hoho za njano ni moja ya matunda yenye Vitamin C nyingi zaidi. Ina vitamin C nyingi kuliko machungwa na malimao. Vitamin C ni muhimu sana katika kujenga mwili na kujenga kinga ya mwili. Ukosefu wa vitamini C uliua sana mabaharia wa zamani baada ya kuwa wamekosa matunda na...
  2. L

    Kiti Cha Urais Ndicho Kinacholindwa Kwa Jasho Na Damu Maana Ndio Nchi Yenyewe. Ukileta Ujuaji, Usaliti, Hujuma na undumila Kuwili Utajutaa Kuzaliwa

    Ndugu zangu Watanzania, Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama. Unaweza kumtikisa...
  3. Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  4. Unajua nini maana ya Muswada wa Sheria? Hii hapa maana yake

    Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Uandishi wa Sheria Bungeni, Ndugu Agnes Ndumbati akielezea mchakato mzima wa Muswada wa Sheria kabla haujawa Sheria kamili.
  5. Lakini hatukwenda BAKWATA maana wale ni MaCCM" Tundu Lissu.!

    "No Reforms No Election sio uhaini, ni kauli mbiu ya kudai mabadiliko ya sheria na katiba kabla ya kwenda kwenye uchaguzi. Tulizunguka kwenye balozi na asasi za kiraia kuelezea ujumbe wetu kuhusu No Reforms No Election. Ingekua kauli ya uhaini tusingeweza kwenda kote huko. Tulienda pia kwenye...
  6. Kutunza pesa huwa ina maana gani katika utamaduni wa kibongo?

    Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia! Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji...
  7. R

    WI-FI ya Airtel ni matatizo matupu. Ni wizi wa fedha za watu maana mtandao unapatikana kwa shida kubwa! Very very very slow!

    Hiyo ndiyo hali halisi. Tafadhali rekebisha kasoro hiyo! i very recent tatizo hilo limeanza. Ni mtandao gani mtu anaweza kuhamia?
  8. Naomba kujua nini maana ya kuwa na “Kesi ya kujibu” katika sheria

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Naomba kujua ni nini maana ya kesi ya kujibu kama ilivyotokea leo kwa mghwai? LONDON BOY
  9. Hii ndo maana halisi ya "Rule of Law" tuheshimu Sheria za Nchi hakuna msalia mtume kwenye kusimamia maadili ya Taifa

    Kauli za wanasiasa wasio na Maadili zinaathari kubwa sana kwenye ustawi wa Taifa letu, Leo hii serikali imerudi nyuma kutengeneza miundombinu ambayo ilishamalizana nayo kitambo kwasababu ya kauli za hovyo za viongozi wajinga na wapumbavu so paining 😭 Sheria zipo na hazimuogopi mtu. Mtu mmoja...
  10. Civilañ-Coin: Sitarajii kuoa mtoto wa Obama(USA) maana siwajui hawanijui na siwataki tu

    Kauli HIZO amezitoa mwenyewe Civilian-Coin akikanusha kuwa hajawahi kukutana Wala kuonana na watoto wa Rais mstaafu wa marekani Barack Obama na Hana mpango huo labda nafsi ikifunguka.
  11. SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  12. Tufanye ufuatiliaji kwa kijana aliye ongea na RC. Dar leo kujua usalama wake wakati wote

    Nimewaza tu hilo na hasa kwa historia na tabia ya serikali hii ya sasa tuliyo nayo.
  13. Watibeli tunajua Pesa inauma kuliko Mapenzi ndio maana hatumgharamikii Mwanamke

    WATIBELI TUNAJUA PESA INAUMA KULIKO MAPENZI NDIO MAANA HATUMGHARAMIKII MWANAMKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana waliowahi kuwasiliana na mimi kila mara nawaambia kwenye mahusiano, pale wanapojiweka karibu na wanawake. Kitu kikubwa wanachotakiwa kukilinda kuliko kitu chochote ni PESA...
  14. Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  15. Hivi wauza bia huwa mnawauliza Wanamiaka mingapi kabla ya kuwauzia maana haiuzwi chini ya 18

    Huwa najaribu kuwaza kunamatangazo. Haya ya pombe mwisho huwa wanasema haiuzwi kwa waliochini ya miaka 18. Je ni kweli wahudumu huwa mnawauliza wateja wenu umri wao kabla ya kuwauzia bia??????
  16. Natamani kila raia angepata lenacapavir injection maana ni muhimu sana a weapon against HIV-1

  17. S

    Polisi na zimamoto wanaposema walifanikiwa kuzima moto wakati moto huo umeteketeza kabisa nyumba au gari, wana maana gani? Si moto ungezimika wenyewe?

    Jana tena katika ajali ya basi na Aphard huko Moshi, msemaji wa Polisi anasema vikosi vya polisi na Zimamoto walifanikiwa kuzima moto. Nashindwa kujua hayo mafanikio wanayoyataja ikiwa hali ya basi lililoungua ni kama hapa chini. Kauli hizo ni sawa na zile nyingine kauli potoshaji za Polisi...
  18. Sasa hapa ana maana ipi?

    Eti wadau?
  19. Ni kazi gani kiofisi kipindi unakuwa ulijisemea hautakaa hufanye maana unazichukia au labda haziendani na hurka yako?

    LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…