lugha

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Kenya wapata ufadhili wa kusoma lugha ya Kichina nchini China

    Lugha ya Kichina imeendelea kupata umaarufu katika nchi mbalimbali duniani, na imekuwa ni chaguo kwa vijana wengi ambao wanaona faida yake katika soko la ajira. Shule nyingi duniani hasa za barani Afrika zimejumuisha lugha hii kwenye mitaala yao ya masomo, ikionyesha jinsi ambavyo lugha hii...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kama una mpango wa kuolewa/kuoa mtu ambaye siyo wa kabila lako, jifunze lugha ya kabila yake lkn usimwambie kuwa unaifahamu

    Hii itakusaidia kufahamu madhaifu yaliyopo kwenye familia/ukoo wake kirahisi sana wakati wa uchumba. Mara nyingi kama kuna jambo la kuaibisha au kishirikina au siri linaongelewa baina ya mchumba wako na ndugu zake ghala utaona lugha inabadilishwa. Nitoe mifano mitatu tu:- 1. Kwa wachumba...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali nyie Walumbi na Washititi wa Lugha ya Kiswahili haya Maneno Mawili ya Kimsamiati mapya ya Lugha ya Kiswahili yana maana gani?

    1. Kuvumbula, Kuvumbulwa na Kuvumbulana 2. Kipochi Manyoya
  4. PLOII

    JamiiForums Tanzania WASOMI HAPA VIPI? WALE WAJUVI WA LUGHA KAOMBENI KAZI HESLB; kwa haya makosa ya kawaida ni wazi Taasisi haipo serious.

    No greetings kwa Leo, Nina hasira sana! Nadhani dhana ya utumishi wa umma iendane na uwezo. Unaweza ukasema ni kosa dogo lakini Kuna watu wamepewa madeni yasiyo Yao kwa uzembe wa namna hii. Kosa dogo nyuma au mbele yake Kuna kosa kubwa. Hii ni kuhusu image ya Taasisi kufanya makosa ya kawaida...
  5. K

    JamiiForums Tanzania App gani yenye uwezo wa kutengeneza maneno yaani transcripts kutokea kwenye video zilizo kwa lugha ya kiswahili?

    Wana JF habari Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Traor'e afuta rasmi lugha ya kifaransa kutumika kama lugha ya taifa

    Afrika ni bara ambalo watu waliacha lugha yao wenyewe na kuchukua lugha za kigeni kama lugha zao rasmi, Na wanatumia mfumo wa demokrasia ya serikali zaidi ya miaka 50 iliyopita kwani nchi zetu huru za Afrika hazikuendelezwa, kwa sababu demokrasia inawapendelea Wazungu kuliko Waafrika, huwafanya...
  7. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja

    Natafsiri vitabu kutoka lugha ya kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 Tsh kitabu kimoja, kitabu natuma WhatsApp au kwa email Nicheki 0756704145
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ni ipi lugha bora kwa sasa kutumika Afrika, Kiingereza au Kiswahili?

    Tembelea Norway wanafundisha katika Kinorwei. Tembelea Denmark wanayofundisha kwa Kidenmark. Tembelea Ufini wanafundisha kwa Kifini. Tembelea China wanafundisha kwa Kichina. Tembelea Japan wanafundisha kwa Kijapani. Tembelea Korea wanayofundisha kwa Kikorea. Tembelea Poland wanafundisha...
  9. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila yote Tanzania.

    Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza... nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila zaidi ya 125 yanayopatikana Tanzania. Ukweli ni kwamba haitawezekana kwa makabila yote kutokana na aina ya lugha zenyewe, mfano HADZABE. Kwa wasiofahamu, AI Wrapper kwa lugha nyepesi, ni kuunda mfumo wa...
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  11. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh (kurasa 1 -> 100) na Bei 10,000 Tsh (kurasa 1 - 490), na Bei 15,000 Tsh (1 - 800) na ku ndelea kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  12. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh

    Natasfiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda Kiswahili bei 5000 Tsh kwa kitabu kimoja , nicheki +255 0756704145
  13. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu Cha enoko kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh

    Kitabu Cha Enoko ambacho hakipo kwenye biblia za sasa kwa lugha ya kiswahili nauza 5000 tsh, natuma WhatsApp ni PDF muundo, nicheki WhatsApp 0756704145, napatikana Dar es salaam, Mbezi
  14. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili

    Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
  15. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafsiri vitabu kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili

    Natafsiri vitabu nakala laini (softcopy) kutoka lugha Kiingereza kwenda kiswahili kwa gharama 5000 tsh kitabu kimoja. Nitumie kitabu whatsapp kwenda namba - 0756704145,, nikimaliza kazi nakutumia kitabu chako whatsapp, nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi
  16. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Arusha ninaweza kujifunza lugha ya kichina?

    Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha. Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 LHRC waionya CHADEMA lugha za matusi

    LHRC waionya CHADEMA kuhusu matumizi ya lugha za matusi
  18. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hivi nini chanzo cha makabila na lugha za makabila?

    Hivi nini chanzo cha makabila na nini chanzo cha hizo lugha za makabila nimekaa chini nimetafakari ila nimeshindwa kupata jibu wajuzi wa mambo naomba mnisaidie aisee
  19. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
Back
Top Bottom