lugha

  1. JamiiForums Tanzania Yajue matumizi ya "When" na "While" katika lugha ya kingereza

    JE TUNATUMIA “WHEN” AU “WHILE”? IPI TOFAUTI KATI YA “WHILE” NA “WHEN”? JIFUNZE HAPA. Katika post hii tunaenda kujifunza matumizi ya maneno “when” na “while” ambayo yanatumika kuelezea matukio mawili yaliyotokea kwa pamoja. Tutaangalia tofauti zake, kwa maana ni wakati upi utumie “when”, na...
  2. JamiiForums Tanzania Kutoa ushuzi au kujamba katika Lugha ya Kingereza

    MSAMIATI UNAOTUMIKA KUMAANISHA ‘KUJAMBA’ AU ‘KUTOA USHUZI’ NI: 1. Fart: Hili ndio neno linalotumika sana. Huweza kutumika kwenye mazingira rasmi na yasiyo rasmi (Formal and Informal settings) Mfano: Jesca farts a lot. (Jesca hutoa ushuzi sana / Jesca hujamba sana) 2. Flatulate: Hili ni neno...
  3. JamiiForums Tanzania Ingekuwaje kama Kiingereza kingefanywa lugha ya JF?

    Nafikiri, ingeweza kuwa na manufaa kwa JF kama taasisi, lakini isingekuwa na faida kwa Watanzania wengi. 1. Wana Afrika Mashariki wengi: Wakenya, Waganda, Wanyarwanda, n.k., wangeweza kujiunga na JF. Na Watanzania wangekuwapo pia ila idadi ingekuwa ndogo sana. 2. Ingekuwa na watumiaji wengi...
  4. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anapenda kutumia lugha ngumu

    Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (Mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu basi na Mimi nikaamua kum-bless moyo wangu na ye akanibless Wa kwake. Binafsi nampenda sana na hii ni...
  5. JamiiForums Tanzania Wanyaturu ni kabila pekee lisilo na athari ya lugha kimatamshi; Wanawake wapo pia ni wakali sana

    Hakuna kitu inakera unalikuta lidada linachanganya "R" na "L" kwenye matamshi. Unakuta ni msomi au mzuri tu lakini unamsikia anatamka "chakuRa" au "ajaRi". "UsijaRi baby" !! Nikikutana na lidada linaongea Kiswahili cha "R" "R" kama mgambo wa Congo huwa naghairi kumzagamua kabisa. Namnasa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nina uhitaji wa kozi ya lugha ya kingereza

    Wanajamvi naomba mnishauri sehemu ambapo ninaweza kufanya kozi ya lugha ya kingereza, ili niweze kuwa mzungumzaji mzuri, na kuboresha matamashi, uwezo wangu ni "intermediate". Nipo mkoani Dodoma! Kama ni online naomba jina la website Asanteni
  7. JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya tatu). Sheria ya T zinapokutana

    Habari zenu wana JF! Hii makala imebidi niiandike kwaniaba maana nimeona baadhi ya watu hawaijui hii sheria ya T T zinapokutana katika lugha ya kingereza T zinapokutana basi T moja haitamkwi na T iliyobaki inatamkwa kwa kukazwa. Mfano: 1. streeT Town. Neno hili litatamkwa stree 'Town. 2...
  8. JamiiForums Tanzania SoC04 Huduma za Kiserikali zitolewe kupitia TEHAMA/Mtandao, kupunguza rushwa, gharama na lugha mbaya kutoka kwa baadhi ya watumishi wa umma kwa wananchi

    1. 0 UTANGULIZI. Habari zenu watanzania na wananchi wenzangu wa nchi yetu pendwa ya Tanzania? Nawasalimu nikiwa na furaha kubwa sana na nikiwa na lengo la kuchangia mawazo yangu kwaajili ya kuboresha zaidi huduma za serikali dhidi ya wananchi wa Tanzania ambao ndio sisi (Mimi na Wewe). Wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya lugha ya kingereza (sehemu ya pili). Kwanini wazungu hatuwaelewi?

    Baada ya kuisoma asili ya lugha ya kingereza katika makala ya kwanza leo tutatoa jawabu la swali ambalo wapenzi wengi wa lugha ya kingereza wamekua wakijiuliza, KWANINI WAZUNGU HATUWAELEWI WAKIONGEA BAADHI YA MANENO KWA KINGEREZA? Jawabu la swali hili ni rahisi tu, kwanza unatakiwa uwe na...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi hawa nao lugha yao iwe ya pili ya taifa

    Wananchi hawa tunaishi nao ila tumewabagua kwa kuwaita "viziwi, bubu"! Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa hatuwashirikishi kwenye maongezi, tunawabagua japo tumezaliwa nao tumbo moja! Umefika wakati sasa tuwaite mezani tuongee nao kwa kutumia lugha moja bila kuwepo mtu wa kati, ili...
  11. JamiiForums Tanzania Mhadhara wa Uprofesa: Machungu ya MV Bukoba, Dola na soko

    Katika tukio la kipekee ambalo linakipa Kiswahili nafasi iliyopokwa siku nyingi ni tukio la muhadhara wa uprofesa kuendeshwa Kwa lugha ya Kiswahili. Mchango mkubwa wa Profesa Mkandala katika hili siyo jambo dogo. Ni dhahiri kuwa ana mchango mkubwa yeye binafsi na kupitia historia yake ya...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Shule za msingi za serikali zifundishe masomo yote kwa lugha ya kingereza ili kuwatengeneza watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha hiyo

    Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inavyoweza kunufaika na Lugha ya Kiswahili kama raslimali nyingine

    Katika makala hii tutajadili jinsi ya kukufanya kiswahili kuwa bidhaa, jinsi ya kukufanya kuwa na mashiko kiuchumi, mbinu mpya ya kukiendeleza na kuwavutia zaidi wazungumzaji na jinsi tunavyoweza kunufaika na Lugha hii katika muktadha wa kiuchumi. Ubidhaishaji wa lugha ya kiswahili tunaweza...
  14. JamiiForums Tanzania SoC04 Lugha ya kufundishia na kujifunzia katika mfumo wa Elimu Tanzania

    Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa miaka ya hivi karibuni umeonekana kulegalega mno. Hali inayosababisha kupoteza imani kwa mashirika ya ndani na nje katika kiwatumia wataalamu wetu. Ni ukweli usiopingika lugha inayotumika kufundishia inaweza kuwa sababu ya kujenga umahiri thabiti au uliolegalega...
  15. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WATU WANAOTOA LUGHA CHAFU ZA MATUSI KUNA NINI NYUMA YAKE?

    Habari ningependa kujua hivi watu wanaopenda kutoa lugha chafu huwa wana matendo Gani machafu yaliyojificha nyuma yake?
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iongeze zaidi wataalamu wa elimu maalum ya lugha za ishara na alama

    UMUHIMU WA KUENEA KWA ELIMU MAALUM YA LUGHA ZA ISHARA NA ALAMA 1) Itasaidia ongezeko la wataalam ; hii ni pale tunaelimisha zaidi kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu. Elimu maalum kwa ajili ya wasio ona,wasio sikia, Autism, na watu wengine wenye mahitaji maalumu hawa huwa na uwezo mkubwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Kuanzia nafanya utafiti jinsi Lugha ya Kiswahili inavyaondikwa kimakosa katika mtandao wa bbc swahili Mfano leo wameandika Mamilioni ya watuwenye umri wa makamo wameongozwa kimakosa kuamini kuwa wao si wanene, kulinganana utafiti wa Kiitaliano ambao uliangalia mafuta ya mwili badala ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba na Tundu Lissu wanazungumza lugha moja kuhusu Muungano na Katiba. Kwanini tumshambulie Lissu na kumwacha Warioba?

    Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha msimamo wa Tundu Lisu ni msimamo wa Jaji Warioba. Matamshi anayotoa Warioba ndiyo anayotoa Tundu Lisu...
  19. JamiiForums Tanzania Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli. Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuondoa ubaguzi kwa kutumia lugha ya alama kwa walemavu wa kusikia na kuongea

    utangurizi: Pamoja na uwepo wa jitihada za serikali katika kutoa elimu maalumu kwa watu wenye matatizo ya kusikia na kuzungumza, rakini bado kumekua na changamoto mbali mbali ambazo haswa zimekua zikitokana na kukosekana kwa lugha ya pamoja kati ya watu hawa na jamii inayo wazunguka hivo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…