lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi toka lini kuchana mabango ya kampeni za uchaguzi ikawa kosa kisheria? Ina maana ukiwa mwanajeshi sheria inakulazimisha kuchagua chama tawala tu?

    Ina maana ukiwa mwanajeshi haki zako za kiraia zinaondoka? Unakuwa hauna uhuru wa kumchagua kiongozi unayemuona anafaa kwa utashi wako binafsi! Lets say kweli wamefanya kosa, ya nini kuanza kuwasimulia mapolisi wenzio kwamba mmekamata wanajeshi, takukuru, madaktari nk! Kwa jicho la 3, mimi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Asharose Migiro katibu Mkuu CCM anaanza kazi lini?

    Kwa anasubiria uapisho? Toka ameteuliwa ni kama alilazimishwa kuwekwa hapo. Aanze kufanya kazi. Tunamsubiria huku mashinani.
  3. JamiiForums Tanzania Yanga mtapewa "Ladies Free" mpaka lini?

    Vijana wangu wameniambia kwamba Yanga wamelipiwa. Nafikiri wamelipiwa na mwarabu GSM. Hili swala litaendelea mpaka lini, hamuoni aibu watu wazima kulipiwa na mwarabu. Sasa inatofauti gani na ladies free?! Kwa sisi Simba viingilia ni kama inavyoonekana
  4. JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa: Lini kutakuwa na kiwanda cha Dagaa, Sangara na Sato

    Habari Tanzania ! Eti lini wapendwa mtaleta Viwanda vya kuchakata Dagaa na Samaki ? Au ndio kusema mmeamua kuwaacha na mambo yao yote Kanda ziwa ? Onyesheni basi maupendo jamani. NB Masoko yapo ila viwanda hakuna.
  5. JamiiForums Tanzania Heche usipotoshe; Wanaosema Polepole katekwa ndiyo wanaopaswa kuthibitisha Passport inaonyesha aliingia lini nchini

    Officially Humphrey Polepole alijiuzulu kazi akiwa Cuba na Serikali haikumpa mafao ya kusafirisha mizigo. Heche anaikosea Uhamiaji anapotaka iseme Polepole yuko wapi!! Utamtekaje mtu ambaye yuko Cuba He who alleges must prove
  6. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limkamate pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa anaishi Humphrey Polepole ili aeleze ni lini alimpokea na amekaa kwa muda gani?

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake. Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Lissu: Nani alisema kuingia barabarani ni haramu?

    Watanzania ifahamike ya kwamba kuandama barabarani kwa lengo la kutaka mabadiliko ni halali kwa mtanzania na imehalalishwa na katiba yetu na inaeleza kabisa kuwa jeshi la polisi litatakiwa kutoa msaada kwa waandamanaji kwa kuwapa ulinzi na kuhakikisha usalama wao. Shida inapokuja kwa viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Kampeni Halisi za Uchaguzi 2025 zitaanza lini? Maana naona kama bado vyama vinatest Mitambo

    Natamani sana sasa CCM tuanze Rasmi Kampeni. Maana naona bado tunatest mitambo. Kumepoa sana huko Tanzania na kwenye mitandao. Chauma wametulia nadhani wanajipanga namna ya kuanza Kampeni maana nao ni muda sana toka kipindi kile wanazunguka zunguka kutafuta wanachama. ACT Zitto Kabwela...
  10. JamiiForums Tanzania Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  12. B

    JamiiForums Tanzania MPAKA LINI TUTAKUJA HURU?

    Kwa mawazo yangu nafikili nch tutakuja kua huru pale taasisi mbili muhimu zitakapokuja kupata viongozi wenye akili na wenye kujielewa. Wenye kujali maslai ya taifa zaidi kuliko kujali maslai yao binafsi. Taasisi hizo ya kwanza ni jeshi la polish. Siku ukipata kiongozi anaejielewa na kuelewa kua...
  13. JamiiForums Tanzania NI LINI SERIKALI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBU PESA YA MIRADI?

    Kuna Miradi mkubwa Magufuli aliacha na Mingine ya awamu ya sita haijazinduliwa mpaka Leo. Ucheleweshwaji wa uzinduzi au kufunguliwa wa miradi hii hupoteza mabilioni ya mapato ya pesa kodi na fursa za kiuchumi Kwa watanzania. Mfano: Masoko Makubwa yalikua yamepangwa kufunguliwa kama la...
  14. JamiiForums Tanzania Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
  15. JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  16. JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa raisi wa wanavyuo(TAHLISO) ni lini

    Kwa katiba za wanavyuo, ukomo wa raisi wa wanafunzi ni baada ya miaka mingapi? Next time chagueni watu smart na wanaojielewa!!!!
  17. JamiiForums Tanzania Wewe unayehonga, mara ya mwisho kula kuku mzima aliyechomwa ilikuwa lini?

    Wewe kijana unayehonga fedha zako kwa wadada/wamama, siku ya mwisho kula peke yako kuku mzima wa kienyeji aliyechomwa ilikuwa lini? Kama hukumbuki au hujawahi, chukua hatua mapema, jipende kwanza vingine vitakuja kwa ziada. Kama umezaliwa kuja kutatua kero za hao wadada/wamama, kazi kwako...
  18. JamiiForums Tanzania Unarudi lini site kumalizia ujenzi?

  19. JamiiForums Tanzania Je, Mungu ni Nani? Yukoje? Tunawezaje kuwa na uhakika kuwa yupo? Alianza lini? Je, tunaweza kumjua?

    Je! Wewe waweza kuuvumbua ukuu wa Mungu? Waweza kuufikilia upeo wa huyo Mwenyezi? Ayubu 11:7 Kila mtu amejiuliza maswali haya, aidha kwa sauti au moyoni mwake, kwa maana hatuwezi kuutazama ulimwengu unaotuzunguka bila kujiuliza kuhusu uumbaji wake. Kila siku tunakabiliwa na muujiza wa uhai na...
  20. JamiiForums Tanzania Moshi-Arusha tunapata lini SGR??

    Je, unafahamu uchelewaji wako kutasababisha historia mbaya ya CRB? Epuka historia mbaya ya mikopo lipa leo Tsh 800000. Kulipa piga *150*01#>7>4>3 au Mixx by Yas app
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…