Hakuna laptop nzuri au mbaya,
Na kama hukujua ni hivi unaweza ukanunua laptop ambayo unasema ni "Nzuri"
Lakini baadae ukaona ni mbaya kwa sababu tu sio laptop ambayo inakufaa,
Uzuri ni jambo moja,
Muhimu zaidi ni kukufaa wewe,
Je ni kwa ajiki ya kazi gani?
Ili kufanya kazi hiyo kwa ubora...