kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Sijui niliyoyasoma Kwenye Laptop waliyomnyang’anya Lopelope niyeweke wazi au nijiridhishe kwanza?

    Nilipata bahati ya kupenyezewa mawazo Mazuri tu yaliyokuwa kwenye mpakato wa LOPELOPE , Kwa hatua na Balozi Mkubwa kuachia ngazi yaweza kuwa step stone ya kuelekea Chanya Kama karata zitachezwa vema Ngoja niyachatakate nimerudi Britanicca Mpaka kieleweke! Balozi tuko pamoja Soma uzi huu 👇🏽👇🏽...
  2. Myebusi ni toleo la kwanza na la Mwisho la Mwanaume

    1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia. 2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza mkuta anawatoto hata 10 wote atawahudumia vizuri na wake mke wake bila shida 3. Nlisema Wayebus...
  3. Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  4. K

    Mory Kanté na 'Yé Ké Yé Ké': Wimbo wa kwanza wa Kiafrika kuuza nakala milioni 1 duniani (Uchambuzi wa kiweledi)

    Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums), Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
  5. Tangu tupate uhuru, Tundu Lissu ndio atakuwa Mwanasiasa wa kwanza Kunyongwa kwa ajili demokrasia ya taifa lake

    Hakuna mwingine ambae alishaandika historia kama ya Tundu Lissu. Kusingiziwa kesi isiyo na mashiko wala mbele. Kama watamtia hatiani atakuwa Mwanasiasa wa kwanza kumwaga damu yake kwa ajili ya demokrasia ya taifa lake.
  6. Wanawake wanapenda kuombwa tendo siku ya kwanza unayokutana naye, unakuta wengine wamechangamka wanakupa siku hiyo hiyo

    Hii nilichelewa kuigundua aisee, baadhi ya wanawake wengi wanapenda wanaume machachali ambao wanatamaa ya tendo mda wote, na wanapenda ile siku ya kwanza tu unayokutana naye ukamuomba tendo na ukamlilia kabisa akakupe siku hiyo hiyo Na ukimkuta yupo kwenye mood anaenda kukupa chap tu ...
  7. Dini ilianza pale mjanja wa kwanza alipokutana na mjinga wa kwanza.

    Dini biashara yenye faida kubwa sana nje ya teknolojia, mafuta na madawa ya kulevya Wanafaika ni viongozi wa dini na kondoo ndo wateja wazuri na wakubwa Zinduka bado hujachelewa Taikuni la kuwastua wanaotapeliwa kiimani hasa wakristo Kubwa la Maadui
  8. C

    Kwa tunapoelekea Tutakua Tunasalia ndani

    I hope mko poa wakuu. Hivi ni hili kanisa letu au yote ya kilokole michango ni mingi yaani hawaangalii unaingiza sh ngapi ni michango tu ata ukitoa ulichonacho unaambiwa ni kidogo mara sijui unamubia Mungu mara wewe ni kaidi. Mungu atanisamehe kwenye haya maamuzi. Kuna; -Mchango wa ujenzi...
  9. Familia kwanza au kazi kwanza?

    Wapo wanaosema, kazi ndio kila kitu; wapo tayari kuipambania kazi zao kuliko familia, wakiamini familia ikiharibika kazi itamsitiri kwa kumpatia fedha na kuanzisha familia nyingine. Je, wewe kwa mtazamo wako, kwako ni kazi kwanza au familia kwanza?
  10. L

    CHADEMA Si Mlisema Lissu Ni Kama Nelson Mandela? Sasa Mnalialia Nini? Basi Acheni Afikishe Kwanza Miaka 27 Gerezani Kama Mandela

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ningewaomba mkae kwa utulivu na muache kulialia na kupiga makelele yenu Maana Mlisema Lissu ni kama Mandera. Hivyo Acheni Lissu naye akae miaka 27 kama ilivyokuwa kwa Nelson Mandela. Sasa hata Miaka mitano bado kuifikisha akiwa gerezani nyie tayari Mmeanza kutia...
  11. O

    Ndindi Nyoro Achora Mstari: “Ulimtukana Gachagua? Kwanza Omba Msamaha

    Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amesema hatakuwa tayari kushirikiana na viongozi waliomtukana au kumdhalilisha aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, hata kama wataamua kuondoka UDA na kujiunga na upinzani. Nyoro alisema viongozi wa UDA waliomkosea Gachagua na sasa wanataka kujiunga na People’s...
  12. Aachiwe huru ili aende wapi kwa mfano muhalifu huyo?

    Ili akachochee upya ghasia uharibifu na maafa tena? Mi nadhani anawajibika kwa 100% katika kupanga, kuratibu na kuchochea ghasia, uharibifu na maafa ya 2025, ambapo sote ni mashahidi na waathirika wa matukio yale ya kigaidi aliyoyatangaza hadharani kua atakinukisha. Lakini pia hastahili kua nje...
  13. R

    Akitoka tu, stop ya kwanza ni Belgium for health check up. Wahuni siyo watu wazuri

    Code tayari, tuendelee na sala na kumuomba MUNGU. Tarehe 21 mkono wa NDUGU katika BWANA uandike No case to answer
  14. M

    Paulo Chacha: Lengo la Kwanza la CCM ni kushika Dola

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayeshughulikia Oganaizesheni, Paulo Chacha, amesema CCM imejijengea msingi imara wa kisiasa unaoiwezesha kuendelea kushinda uchaguzi katika ngazi mbalimbali za uongozi nchini, huku ikijiwekea lengo la kuendelea kuongoza dola...
  15. T

    Ardhi yetu itufaidishe sisi kwanza kabla ya dini au wakoloni

    Angalia hii video
  16. M

    Kwa mara ya kwanza Klabu za Tanzania zinaenda kumlipa mchezaji wa ndani milion $ signing fee, Muhindi kashikwa pabaya. hana budi kucheua mapene.

    Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥 Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali. Hakuna mchezaji wa...
  17. Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?

    Hivi biashara unatakiwa uifanye ndio uijue au uifanye kwanza ndio uijue?
  18. Unadhani ni kwanini BBC hua inapenda sana kuzua taharuki kwanza kwa jamii kwa upotoshaji, halafu inakuja kurekebisha uongo huo wa makusudi baadae?

    Tazama hiyo artwork yao hapo chini, kuhusu jaji wa Namibia, ndipo unaweza kunielewa kirahisi. Na sio mara ya kwanza wala mara moja kwa BBC kudanganya umma kwa makusudi namna hii. Hapajawahi kutokea Rais wa Tanzania amemteu jaji wa Namibia kua mjumbe wa tume ya uchaguzi Tanzania. Na hapa sio...
  19. F

    Bongo fleva ina miaka 30? Kulikuwa na kwanza unit ya akina D knob na Niga one

    HAPO ZAMANI _______________ Vichwa viwili muhimu katika historia ya muziki wa Hip Hop nchini ambapo chimbuko lake ndilo lililozaa muziki wa Bongo fleva, Adili Kumbuka (Nigga One) na Robert Mwingira (D-Rob). Wakali hawa walikuwa Marapa wa kundi la Kwanza Unit, na wawili wote kwa sasa ni...
  20. Dada anayefanya biashara ya kuuza majeneza Mwanza, asimulia siku ya kwanza kufanya biashara hiyo alilia sana

    https://www.youtube.com/watch?v=odtsPqmTGP0
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…