kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Nimekuwa muafrika wa kwanza kuweka order ya TESLA ROADSTER nikiwa nimeweka amana ya $50k Leo na ndani ya siku 10 zijazo nitamalizia $200k zilizobaki

    Pesa so Kila kitu lakini ni muhimu kuwa na pesa ndugu zangu Tesla roadster yangu nitalipokelea Hong Kong 2028 kama mkiwa hai mtaliona tanzania
  2. M

    Hapa Bongo, ukimkabidhi mama mali zako zote akulindie kama Hakimi, hakikisha kwanza umeandika wosia! 😂😂😭

    Linaanzia kwenye mfumo wetu wa familia za Kiafrika, yaani EXTENDED FAMILY! Hapa ndugu si ndugu tu, ni ndugu pamoja na matawi yake yote! Unampa mama yako mali zako, kesho yake wajomba, shangazi, binamu mpaka watoto wa binamu wanajua dada yao ana ukwasi! Mama akisema, “Hizi mali mwanangu...
  3. Zack Abdul

    Networking Halisi: Jenga Thamani Kwanza

    Kujipendekeza sio ‘networking.’ Watu hufuata thamani. Ikiwa huna ufumbuzi fulani unaorahisisha kazi za watu, unaweza kufahamiana na watu wengi na isikusaidie. Tumia muda mwingi kujifunza, kujitafuta na kujenga umahiri hata kama itakubidi kuwa mkiwa kwa muda. Thamani yako ikianza kuonekana...
  4. peno hasegawa

    Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anateyeuliwa kushika nafasi fulani, bila kumfahamu, historia yake, ni HATARI

    KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake, tabia yake na mwenendo wake, inahitaji kutafakariwa upya. Si kila anayepata nafasi anastahili pongezi...
  5. Gospel KTV

    Ni dhahiri Wanyiha ni Madirector wazuri wa Tasnia ya Umiss! Nazimizye Mdolo Mwafrika wa kwanza kushinda Miss Grand International Best Director

    Hakika historia imeandikwa nchini Thailand! Tanzania haikutwaa tu taji kuu la urembo la dunia kupitia kwa Jihan Dimack bali imeweka rekodi nyingine kubwa upande wa usimamizi na uongozi wa tasnia hii hapa nchini na barani Afrika kwa ujumla. Mkurugenzi wa Miss Grand Tanzania, Nazimizye Adam...
  6. comrade_kipepe

    Kama ni mpira kwa sasa sisiem wanaongoza 3 na dakika ni ya 35 kipindi cha kwanza.

    Mkubali mkatae, ccm ishawabana kende wananchi, hamna ujanja, ule umoja wa mo29 hautokaa utokee tena, washajifunza kutokana na makosa. Washajua namna ya kuishi na manyumbu na makondoo. Sisiem kabla hakujapoa chomekeni tena kitu kingine hapo Kati, kikiisha tu miaka 30 ya bf hiyo hapo, Yani ni...
  7. Hepatis B

    Tulizike na tunachokipata: Utajiri wa kwanza ni amani ya moyo

    Katika maisha haya, kuna jambo moja ambalo wengi wetu tunalifuatilia kila siku, lakini ni wachache wanaosimama na kujiuliza kama kweli tunalielekea kwa njia sahihi. Jambo hilo ni utajiri. Tunaamka asubuhi kwenda kutafuta pesa, tunafanya kazi kwa bidii, tunahangaika kutafuta maisha bora...
  8. Mad Max

    Malkia wa Thailand kaendesha Fighter Jet Saab JAS 39C Gripen peke yake. Kwahiyo ndio Malkia wa Kwanza Duniani kuendesha Fighter Jet.

    Queen Suthida, na miaka yake 48, kawa first female mornach kuendesha fighter jet peke yake. Kwenye moja ya air base nchini Thailand, Malkia kaendesha peke yake Single-seat JAS 39C Gripen kwa muda wa dakika 41. Maza ana CV nzuri tu ya kuendesha ata kabla hajawa Queen. Amewahi kua pilot tokea...
  9. ChoiceVariable

    Uchumi wa Tanzania Wafikia GDP ya $ 92 Bilioni mwaka 2025. Mbioni kuvuka $ 100 Billion Kwa mara ya kwanza Hapo 2027

    Nawakumba tuu wakati SSH anashima madaraka alikuta Uchumi uko $ 69 Bilioni lakini miaka 5 baadae tunaenda kuvuka $ 100b mwaka 2027 sawa na ongezeko la $ 30B ndani ya kipindi Cha miaka 5 tuu. Ndio kusema Hadi 2030 Kuna uwezekano mkubwa wa kufika $ 130 B ambapo atakuwa amekuza Uchumi Kwa kiwango...
  10. T

    First Public Release of the NEXTGAMIS ABS / Toleo la Kwanza Kwa Umma la NEXTGAMIS ABS - Mfumo wa Kusimamia na Kuendesha Biashara ya Uwakala

    Habari WanaJF, Tunatambulisha NEXTGAMIS ABS --- mfumo wa kusimamia, kuendesha, kutunza kumbukumbu, na kufuatilia ukuaji wa biashara ya uwakala wa fedha kupitia mitandao ya simu na benki: https://www.youtube.com/watch?v=sIVh3DThz7M Maelekezo kamili yapo kwenye PDF iliyoambatanishwa hapa...
  11. Zack Abdul

    Na nyinyi wana JF mpige kura, hili ni suala la Kitaifa. Tanzania Kwanza

  12. tovuti website

    Mwanza,Geita,Shinyanga,Kahama na Tabora-Tumewafikia kwa Huduma ya Website BURE kwa mwaka wa kwanza

    Je wewe ni mfanya biashara kutoka katika maeneo hayo? Je unatamani kupeleka biashara yako mtandaoni? Sasa unaweza kupata tovuti/website kwa ajili yako kutoka kwetu.Kama uko tayari tafadhali wasiliana nasi kwa kututajia Mkoa wako na aina ya biashara unayofanya.Utapata Huduma Hii Bure kwa Mwaka...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Sifa ya mzaliwa wa kwanza; mwanaume anaweza kuwa na wazaliwa wakwanza hata ishirini.

    SIFA YA MZALIWA WA KWANZA; MWANAUME ANAWEZA KUWA NA WAZALIWA WAKWANZA HATA ISHIRINI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Sifa namba moja ya mzaliwa wa kwanza ni kuwa wakwanza kwa Mama aliyemzaa. Yaani kifungua mimba kwa Mama yake. Mwanaume unapozaa na mwanamke asiye na mtoto na ambaye hajawahi...
  14. R

    Mgonjwa wa kwanza afariki kwa Ebola nchini Kenya

    Alitokea DRC, akaja Uganda the akachukua flight to Nairobi . Alipelekwa kwenye isolation Center at Nairobi hospital ambapo amekufa usiku wa leo. My take: Badala ya Marais wote wa East Africa kuungana kuanzisha tafiti za vaccine, or any other control measures, yanaungana na Chivayo kuiba hela...
  15. O

    Kenya Yathibitisha Kisa cha Kwanza cha Ebola Nairobi mtu mmoja afariki

    Kenya imethibitisha kisa cha kwanza cha Ebola nchini, huku Wizara ya Afya ikisema kisa hicho ni cha mtu aliyeingia nchini kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Waziri wa Afya, Aden Duale, alisema mgonjwa huyo ni raia wa Kenya ambaye amekuwa akiishi nchini DRC kwa miaka saba. Kwa...
  16. figganigga

    Brazil ina watu Milioni 125, Kura za Urais zimetangazwa kwa siku Moja. Ila Tanzania Watu Milioni 60, hadi watu Wauawe kwanza ndo Matokeo yatangazwe

    Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu. Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda mfupi matokeo ya Urais yakaanza kutangazwa. Tanzania Uchaguzi wake, baadhi ya Sehemu inafika saa nne...
  17. jah bless xon

    KERO Mama mjamzito kwenda clinic Kwa mara ya kwanza kuna kulipia kwenye hospital za umma?

    Habarini wakuu.. Leo mke wa rafiki yangu kaamua kwenda clinic, baada yakujihisi ni mjamzito wa zaidi ya miezi mitatu..akaamua kwenda hospital iliyopo chuo Cha polisi mkoa x..amefika anaambiwa anatakiwa alipie elfu 54 kwanza, hii ni haki?? Alikuwa na elfu 20 wamemkatalia kabisa..nawaza hii ni...
  18. Jemima Mrembo

    Tanzia: Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Kizimkazi Raiyan Hemed Amour auawa kinyama.

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza katika Shule ya Kizimbani aitwaye Raiyan Hemed Amour, amepatikana akiwa amefariki Oktoba 4, 2026, baada ya kuanza kutafutwa tangu Ijumaa, huku akiwa amekatwa mkono Mmoja.
  19. min -me

    Sifikiri kama ni mara ya kwanza

    Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani . Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔 Mara jf kuna majamaa ni...
  20. Mad Max

    Formula 1 GP: Max Verstappen leo Kashinda Bahrain GP. Ni ushindi wake wa Kwanza kwa msimu wa 2026.

    Leo imekuja siku ya furaha kwa Max Verstappen baada ya kushinda (P1) Bahrain GP uko Malaysia. Ikumbukwe, mara ya mwisho mwamba kushika P1 ni Abu Dhabi GP, December 2025. Nafasi ya pili ni Kimi na ya tatu Hamilton. Mvua imezingua sana mwanzoni na ilipelekea Russell kua DNF baada ya gari...
Back
Top Bottom