kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. MakinikiA

    Urusi yataka Finland ijiondoe NATO, Masharti mapya kumaliza vita Ukraine

    Gazeti la Ujerumani la Bild limeripoti kuwa wajumbe wa Urusi wamewasilisha masharti mazito katika mazungumzo yanayoendelea mjini Abu Dhabi, yanayolenga kutafuta suluhu ya kumaliza vita nchini Ukraine. Miongoni mwa masharti hayo ni Finland kujiondoa katika Jumuiya ya NATO. Kwa mujibu wa taarifa...
  2. Namshakende

    Toyota Corolla Fielder Hybrid (2018) kama Gari Langu la Kwanza – Je, Linafaa?

    Habari wakuu wa Jukwaa la Motors. Nipo kwenye maandalizi ya kununua gari langu la kwanza na kwa sasa nimevutiwa na Toyota Corolla Fielder Hybrid, mwaka 2018. Kilichonivutia ni uchumi wa mafuta, muonekano wake, nafasi kubwa ya mizigo na sifa ya uimara wa Toyota. Gari nililoliona lina mileage...
  3. keneddelly

    Ni takribani mwaka mzima tunaandaa mtandao wa Kibiashara wa KenteXa. Leo tumeachia App yake ya kwanza ya Android

    Ni Jambo la pongezi kwangu na timu yangu , kufanikiwa kupandisha Application ya kwanza ya android kwenye jukwaa la Play store. Hizi hapa ni baadhi ya changamoto tumejaribu kuzitatua kupitia mfumo wetu wa kisasa wa KenteXa. Kwa mara ya kwanza Tanzania , tumetatua changamoto ya kutengeneza...
  4. Ntemi_Ntale

    Mke wangu anakesha 'Live' mitandaoni hadi Usiku Mnene nikimwambia namhitaji anasema nisubiri amalize kwanza!

    Mke wangu muda wote yuko busy kwenye mitandao ya kijamii. Nikimwambia kwamba namhitaji, ananiambia nisubiri amalize kufanya Live kwanza! Tabia hii ni ya muda mrefu. Ilifika hatua nikamwambia mama yake (mama mkwe) kuhusu mwenendo wa mke wangu. Lakini licha ya kuonywa, bado ameendelea na hiyo...
  5. L

    Siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje

    Hivi siku ya kwanza mtoto mchanga kutolewa nje, Kwa Nini jamii nyingi Huwa wanamtoa wakiwa na jembe? Wanafanya kuwa mkulima mahiri wa baadaye?
  6. TANESCO

    Umeme unaisha haraka? Usiilaumu mita kwanza

    Mfumo wako wa umeme umeukagua lini? Admini anaakwambia "Scroll" chini ujifunze zaidi! Haya Tuambiane, mara ya mwisho kufanya ukaguzi ilikuwa lini? #TANESCO #UsalamaWaUmeme #MwangaWetu
  7. Stunnaman008

    SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  8. mirindimo

    MALIPO YA WAKANDARASI YAGOMA HAZINA WADAI WANALIPA MISHAHARA KWANZA

    Hii nchi tuna hitaji Mbingu ziingilie aisee, malipo mengi ya kandarasi yamekwamia hazina huku serikali ikisema kwamba inalipa mishahara kwanza
  9. Crocodiletooth

    Tuwe na subira,tungoje kwanza tume zimalize kazi zake,ndipo tuanze kulaumu.

    Watanzania wa mrengo ule,wamekuwa wakitupa lawama sana kwa serekali yetu tukufu,juu ya uwajibikaji wake juu ya yale yalitokea 2025 Oktober, At the same time vipo vyombo mahsusi ambavyo bado vinashughulikia suala hili kwa kina na umakini mkubwa katika kupata last solution of the matter...
  10. F

    PostGE2025 Kundi la kwanza kuandamana Dar Okt 29, 2025, walikuwa chama tawala. Namwelewa A. Migiro anapoomba chama kuwajibika

    Twende haraka kwenye mada, Nimemsikia Asha Rose Migiro akisema CCM inastahili kuwajibika Kwa yaliyotukia Oct 29,30,31... Na nimemwelewa vizuri. Ikumbukwe pia kuwa palikuwa na mpasuko mkubwa ndani ya CCM uliosabisha wengine waliogombea kuenguliwa au kukatazwa kugombea au kuchukua fomu nk nk...
  11. M

    Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  12. Sifi Leo

    Viongozi wa ccm naomba wasome somo la kwanza na la pili siku ya kuombea waliouwa na serikali ya ccm tarehe 29/10/2026

    Naomba viongozi wa ccm ambao ni wakatoliki kama Philipo mpango na wengine siku ya kuwaombea waliouwa na utawala wa ccm tarehe 29/10/2025. Tunataka wasome masomo yote tafadhali nina hakika Mungu atakujibu Kwanza tunaombea marehemu,pili tunaombea wote walio ua hao watoto wetu Mungu atende atakavyo.
  13. Alexido jz instagram

    Studio session rasmi imeisha leo kwa mara ya kwanza napost picha zangu, bado videos

    Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
  14. CM 1774858

    Kafulila: Wawekezaji Wazingatie Haki za Watanzania, Wanaodhulumiwa Wasikae Kimya watoe taarifa | Sera ya Tanzania inamtambulisha Mtanzania kwanza,

    Wasalaam Jf, Tuendelee kumsikiliza mtaalamu wa PPPs na nondo zake kalikali. Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, amesisitiza umuhimu wa kuwapa kipaumbele wafanyabiashara na wawekezaji wa ndani, akieleza kuwa wawekezaji wa kigeni wanapaswa kuja nchini kwa...
  15. Liu Yun

    Shemeji Sehemu ya 1

    Ilikuwa mwaka 2006, Jason alioa mkoani Tabora, alikua anaishi na mke wake mjini Morogoro, Mke wake alikuwa anaitwa Anna, Waliishi pamoja kwa muda wa miaka mitano, na ndoa yao ilikuwa na furaha na iliyo onyesha mafanikio tele, walifanikiwa kupata watoto wawili. Kwa kipindi hicho Jason alijihisi...
  16. D

    Tanzania nchi ya kwanza barani Africa kwa watu wake kuwa na kipato kikubwa na furaha

    Utafiti uliofanywa na indepemdent firm kutoka marekani waonesha Tanzania imepanda viwango vya hali ya juu kwa gdp pet capita kuwa kuwa kuwa na uwekezaji kuongezeka sana kwa sera stable na predictable za awamu hii. Kipindi cha nyumba yaani cha JPM nchi ilitaka kudumbukia shimoni na sasa...
  17. Ibilisi Mjalaana

    Kwa mara ya kwanza Mungu Yesu kajitetea mwenyewe

    Padri alikua anaongea porojo akaamua ampe dozi hadi kufa
  18. Roving Journalist

    Awamu ya kwanza ujenzi wa Uwanja wa Ndege Iringa imekamilika kwa Tsh. Bilioni 68

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amesema ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Iringa utafungua fursa za kiuchumi, kuvutia uwekezaji na kurahisisha usafiri kwa wananchi, wafanyabiashara na watalii. Ndejembi ameyasema hayo mkoani Iringa alipokagua maendeleo ya awamu...
  19. Traxtion

    Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni akalishwa chini licha ya kulipa nauli kamili

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma, kupitia operesheni za ukaguzi wa vyombo vya moto, limeendelea kuchukua hatua kuhakikisha usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara unazingatiwa. Katika operesheni hiyo, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Dodoma, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi...
  20. kavulata

    Ukiichafua Tanzania utachafuka wewe kwanza. Hongera Jihan

    Hebu ona Tanzania inavyong'arishwa na huyu dada kama dhahabu matopeni. Hongera Jihan. Watanzania wenzangu hatuna kwetu kwingine ila hapa. Tushindane kupasafisha panukie sio kupachafua panuke. Haipendezi watanzania kama hawa wanahangaika kuipamba na mwingine anapambana kuichafua. Lazima tuwe...
Back
Top Bottom