kwanza

The kwanza (sign: Kz; ISO 4217 code: AOA) is the currency of Angola. Four different currencies using the name kwanza have circulated since 1977.
The currency derives its name from the Kwanza River (Cuanza, Coanza, Quanza).

View More On Wikipedia.org
  1. Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  2. Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

    Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine. Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina Ilitokea mwaka 622 BK. Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK. Akiwa na umri wa miaka 40 Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia Tukio lilitokea pangoni...
  3. Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  4. Prof. Riziki Shemdoe: Bajeti za Miundombinu ya Elimu zitengwe kujiandaa na mapokezi ya Wanafunzi Kidato cha Kwanza 2028

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa kuhakikisha wanawasimamia Wakurugezi wa Halmashauri wakati wanapoandaa bajeti za Mwaka wa Fedha 2026/27 kuweka vifungu vya kugharamia maboresho ya...
  5. Suala la kuudha dhahabu harikubaliki Samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa

    Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa. Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa madaraka kinyume cha sheria kwa kuuwa watanzania. Tutakuja na mpango wa kurudisha rasilimali zetu...
  6. B

    Justine Kalikawe: Mwanamziki wa Reggae Mtanzania, Ndio kwa mara ya kwanza nasikia wimbo wake kwenye Daladala leo

    Hapa niko nasikiliza Mziki wa Justin Kalikawe Mwanamziki wa Rege asili ya Kitanzania, Mhaya kutoka Kagera Kibao kinachopigwa muda huu kwenye hii daladala ni " AMANI" AIdha ktk kuelimisha jamii, wanasiasa, kuhimiza utaifa na maendeleo mnamo miaka ya 1996 hadi 2000s alitoa kazi zake kama...
  7. A

    KERO Kuna shule za Mbeya hazipokei Wanafunzi wa Darasa la Kwanza kama hawajui kusoma na kuandika vizuri

    Suala la uandikishaji wa darasa la Kwanza, Sera ya Elimu inasema mtoto ataanza shule akiwa na umri wa miaka 6, lakini shule nyingi za Mkoa wa Mbeya zinakataa kuandikisha Wanafunzi wenye miaka 6 hadi 7 kisa tu hawajui kusoma vizuri. Je, utaratibu huu ni waraka kutoka Serikalini au shule nyingi...
  8. Ccm ya Samia na wasira imeshindwa kutuma MWAKILISHI kwenye msiba wa Gavana wa kwanza, kisa alihasisi chadema? Shame on you.

    Haya majitu ni ya ajabu ajabu sana, hivi zee kama wasira limeshindwa kwenda kumzika Mzee mwenzie? Mtajitetea na UWEPO wa MWIGURU ilihali yeye aliiwasilisha serikali je macc yalishindwa Nini kutuma MWAKILISHI? Au Samia na wasira waliwasilishwa na mrisho gambo😂🤣? Haya majitu ni majitu ya ajabu...
  9. Vijana hasa wa Kizanzibar na DSM, sikieni, Haya maneno eti "KWANZA UMENIKUTA MJINI" hayana maana yoyote ikiwa bado wewe hoehae wajitafuta

    Mara kadhaa nimekuwa nikiwaambia Wazanzibari (Hasa watoto wa hapa Forodhani) na sasa vijana wa kitanzania kwa ujumla wake Yale mambo baadhi ya vijana watamba nayo eti kuzaliwa maeneo ya Forodhani, Kariakoo, Ilala, Temeke au wasema "mimi nimezaliwa hapahapa Kinondoni wala si Mtu wa kuja🤣 Mfano...
  10. Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  11. PostGE2025 Watu waliouawa Oktoba 29 sio wale waliochoma moto vitu, kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu si kifo

    Watu waliouwawa Oct 29 sio wale waliochoma moto vitu, hili suala la kusingizia walichoma vitu ni la kupumbaza tu, kwanza kuchoma vitu adhabu sii kifo. Adhabu ya kuchoma vitu adhabu sii kifo tunasheria za nchi kama kuuwa ni halali inamaana wale waliochoma vitu pia hawana kosa lolote kama...
  12. Mchinjita: Wananchi wawe wa kwanza kulinda haki zao sio viongozi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo bara, Isihaka Mchinjita, ametoa wito kwa Watanzania kutokubali kukata tamaa kufuatia matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, akisisitiza kuwa silaha kubwa ya "mkandamizaji" ni kuuvunja moyo na mtazamo wa wanaokandamizwa. Akizungumza jana, Januari...
  13. R

    Adui wa kwanza wa Tanganyika ni China

    Puuzi so.called Waziri wa Mambo ya Nje Anampongeza kwa kupata asilimia 98. Hakuongelea mauaji yaliyotokea 29.10.2025. Huyu ndiye adui wetu!
  14. A

    KERO Halmashauri ya Bunda Mji: Watumishi Wapya Bado Hawajalipwa Fedha za Kujikimu na Mshahara wa Kwanza tangu Julai 2025

    Ninaandika ujumbe huu nikiwa mtumishi wa umma niliyeajiriwa ajira mpya mwezi wa saba (Julai) mwaka 2025 katika Halmashauri ya Bunda Mji. Kwa masikitiko makubwa, hadi leo hii bado hatujalipwa fedha za kujikimu kama ilivyoelekezwa kisheria. Aidha, baadhi yetu bado hatujalipwa hata mshahara wa...
  15. Kwa mara ya kwanza hivi karibuni ukienda upande wa photos hautokuta uzi wa warembo wa kali ukitrend namba 1 kama zamani.

    Hii shift sio ya kawaida, There is a depeer meaning.
  16. Samia jisafishe kwanza bado unanuka damu

    Narudia Tena hutoboi Jisafishe kwa damu ya October 29 Wafungwa wote wa kisiasa watakutesa Sana. Utekaji utakutesa sana Jioshe warudishwe waliopotea hata Kama Ni mafuvu yao. Mrudie Mungu wako tubu Ongea na moyo wako damu ni nzito kuliko maji
  17. I

    Mahitaji ya kuandikisha mtoto darasa la kwanza

    Niaje? wadau wa mtandao huu wa Jf salaam ndugu zangu Poleni na mishe mishe za kila siku muhimu afya na uzima ndugu zangu, Sina maneno mengi sana ndugu zangu Shida yangu ni hii kama Kuna mwanajf yoyote ana viatu vyeusi miaka mitano mpaka sita namba 30 vidogo kidogo viko katika Hali nzuri...
  18. JF MIND GAMES: Hii ni picha ya nini.?

    Tafadhari usitumie AI, chekecha bongo
  19. Kigezo kikubwa kuwa Mwana CCM mzuri ni kwanza lazima ukubali kuliwa

    Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
  20. Kwenye Kupindua Nchi, Ukishindwa Mara ya Kwanza, Ndiyo Mwisho, Usirudie

    Katika sayansi ya siasa na usalama, jaribio la kupindua serikali ni kamari ya hatari zaidi ambayo kikundi cha watu kinaweza kuicheza. Kanuni isiyo rasmi ya mchezo huu inasema: "Kama unataka kupiga mfalme, hakikisha unamuua." Ukishindwa mara ya kwanza, milango ya mafanikio hufungwa kabisa, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…