kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. uran

    Huu Mradi wa kuweka Kalavati mpya sehemu nyingi za Barabara Tanzania ni wa nani?

    Hii nchi kuna mambo yanaendelea kufanyika yasiyo na maana kabisa. Sasa hivi ukipita maeneo mengi ya nchi hasa Barabara kuu kuna diversion na ni mradi wakubadilisha kalavati za kupitisha maji, Hii sio mbaya, ila inashangaza hadi maeneo ambayo hayajawahi kuwa na usumbufu na yenyewe...
  2. Exformer

    CHANGAMOTO KWENYE PC YANGU NIKITAKA KUWEKA DRIVERS MPYA

    Habari zenu wakuu na wapenzi wa Tecnolojia. Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo hilo hapo pichani, ninatumia program kadhaa za kufungua mitandao kwenye simu,Bypass FRP na kadhalika Changamoto kuu ni pale ninapohitaji kuweka drivers kama Qualicom na MTK Vcom Drivers huwa hazikai kabsa kwenye Pc...
  3. Hharyson

    Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  4. S

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe?

    Unahitaji programu gani ya kompyuta nikupe (Windows OS peke yake) Napatikana mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145 Kwa mahitaji ya kuweka Windows 10 OS Genuine gharama yake ni 20,000 Tsh
  5. MrsPablo1

    Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukoselewa sio wanao support serikali sio wanao support upinzani

    Kila mtu anasapport upande wake na hakuna anae taka kukosolewa sio wanao support serikali sio wanaosapoti upinzani ukijaribu kuweka hoja tofauti na upande wowote unaoga mvua ya matusi. Nimekuwa nikifuatilia mijadala mbalimbali mitandaoni kuhusu masuala ya kisiasa, kama hili la kufungiwa kwa...
  6. black-tz

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
  7. Braza Kede

    Hivi kipi kinaanza kati ya kuweka kiduku na ujinga?

    Hivi kunyoa kiduku ndio kunafanya mtu anakuwa mjinga au ujinga ndio unafanya mtu anyoe kiduku?
  8. stabilityman

    Je, unazifahamu FAIDA za kuweka GRAFIATO DESIGN kwenye kuta za Nyumba ?

    Hapa kuna baadhi ya faida: 1. Urembo wa Kipekee: Grafiti design inaweza kuleta urembo wa kipekee na wa kisasa kwenye nyumba. Inatoa nafasi ya kuonyesha ubunifu na mtindo wa kibinafsi. 2. Kuongeza Thamani ya Nyumba: Nyumba zenye grafiti nzuri zinaweza kuvutia wanunuzi zaidi, hivyo kuongeza...
  9. excel

    Bila kuweka siasa na Ujanja Ujanja, Hakuna Mkristo wa Kujibu hili Swali

    Iko wazi kabisa hakuna Jibu la kueleweka.. Hapa tutapuyanga sana kutafuta wakwe Halisi wa Adam na Eva ni kina nani 👇👇👇👇👇
  10. Fbn

    Kitu kimoja serikali ya CCM ilichoweza na kutamba nacho ni kuweka ugumu wa kumiliki silaha za moto

    Naweza kutoa mifano ambayo sio kazi rahisi kama ilivyokuwa kwetu unachukuliwa kizembe tena nyumbani kwako au mazingira yoyote wakiwa na mamlaka ya silaha ila wewe cha kujitetea huna. Siwezi kuwa mchochezi ila tunajifunza na wenzetu kwa nini walikomesha mambo kama haya hata kama watawala...
  11. Dalton Elijah

    Uturuki: Kundi la kigaidi La PKK limetangazwa kuvunjwa na kuweka silaha chini

    Kundi la kigaidi la PKK, ambalo limehusika na mapigano ya zaidi ya miongo minne na kuwaua zaidi ya watu 40,000, limetangaza kuwa limevunjwa na kuweka silaha chini Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) kimetangaza Mei 12 kufutwa kwake na kumalizika kwa zaidi ya miongo minne ya mapambano ya...
  12. MWANAHARAMU

    Nawaomba wataalamu wa jadi na Waganga wawekeni chale maeneo yasiyononekana

    Hii tabia inaharibu sifa na wadhifa kwa binadamu hasa jinsia ya kike. Embu pata picha hapo Mwanza maeneo ya Capri point, mdada mzuri jamii ya kisukuma, shepu imesimama halafu amewekwa chale eneo la paji la uso yaani katikati ya macho? Hii inaharibu hdi soko lake. Kule Bariadi, Itilima na...
  13. nipo online

    Kwenye salon kuweka free Wi-Fi kwa lengo la kutoza wateja 500 ili aperuzi

    namba kujua kama hich kitu kinaweza kua na Tija, yani mteja akiwa anakuja kunyoa namwambia aongeze jero kama charge ya network, naomba mnirekebishe hapa kabla sijaharibu pesa je nifanye vip ili nipate pesa kupitia free WiFi salon ya kiume, maana nina wateja wengi salon iko uswahili wateja wengi...
  14. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Aitaka Serikali Kuweka Ruzuku Kwenye Mkaa Mbadala Ili Wananchi Waupate Kirahisi

    MBUNGE MARTHA MARIKI: AITAKA SERIKALI KUWEKA RUZUKU KWENYE MKAA MBADALA ILI WANANCHI WAUPATE KIRAHISI "Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya nchini Tanzania. Nampongeza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, Kamishna wa Madini na Watendaji wote wa Wizara ya Madini kwa...
  15. M

    Umuhimu wa Kuweka Spare Parts Halisi kutoka jerry spare parts and services Tanzania – Je, Watumiaji Wengi Wanaelewa?

    Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo. Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
  16. murthehelp

    Kwanini busara isitumike kuweka sawa hali hii?

    1. Tunachangamoto ya kibiashara baina yetu na malawi, inashindikana vipi kuweka hali hiyo sawa ? Sio busara kabisa kukomoana ili hali wanaoumia ni wenye mazao na maskini. 2. Kesi za mahakamani zinazoendelea kama mahakama ni chombo huru kwa nini kinaingiliwa na vyombo vingine ? 3. Bunge sasa...
  17. Damaso

    Gharama za kuweka Wallpaper ziwe za moja kwa moja

    Habari wanajukwaa! Poleni na hongera kwa harakati za maisha. Kuna jambo ningependa sana kulileta ili tutazame namna ya kupeana ushauri kuhusu biashara. Hivi karibuni kumekuwa na watu wengi wanaofanya biashara ya kutoa huduma ya kuweka ama kubandika wallpaper kwenye kuta ndani ya nyumba ama...
  18. kimara Kimara

    Ukimaliza kujenga Boma, nini kiatakiwa kufuata kati ya kuweka Madirisha ya Grill na Mageti ama kuezeka?

    Wakuu habari, Naomba kaushauri kidogo, nimemaliza kunyanyua kiboma changu, nataka maoni kwa wale waliotangulia kujenga Je, ni kipi sahihi kuanza nacho kati ya kuweka.madirisha ya grill na mageti, ama kutulia kwanza na kuezeka ndipo niweke madirisha natanguliza shukran
  19. S

    PreGE2025 Ndumbaro aipiga kijembe 'No refoms No electon' asema waliopanga kuweka mpira kwapani waweke tu ila mechi haiahirishwi

    Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya msaada wa kisheria ya mama Samia, Waziri Ndumbaro amewataa wananchi wamuombee Rais Samia apate ushindi wa kishindo 2025 na kwa waliopanga kweka mpira kwa kwapani waweke ila mechi haiahirishwi (Uchaguzi).
Back
Top Bottom