kuweka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Hongera Heche kwa kuweka hotuba zako kwenye vitendo..Practical session? Bravo?

    Msikilize katika practical lol reset session
  2. A

    KERO Tunaiomba Serikali kufuatilia utendaji wa Msajili wa Vizazi na Vifo Wilaya ya Kilombero

    Tunaiomba Serikali kufuatilia utendaji wa Msajili wa Vizazi na Vifo Wilaya ya Kilombero, ambaye huchelewesha utoaji wa vyeti vya kuzaliwa licha ya waombaji kukamilisha na kuwasilisha mahitaji yote yanayotakiwa. Hali hii inaleta usumbufu kwa wananchi tunaohitaji huduma hiyo, huku kukiwa na...
  3. U

    Rais Trump atuma ujumbe mzito kwa Domocrats kwa kuweka picha ya kofia ikiwa imeandikwa VETO

    Hamjamboni nyote? Trump bana he u tazama hiyo kofia! President Trump is already putting Democrats on notice with a bright red hat bearing just one word: “VETO.” As Democrats look to take control of Congress, Trump is signaling he plans to use one of the strongest powers of his office to block...
  4. A

    HOJA Ongezeko la Vyuo vinavyotoa kozi ya Radiography: Je, hakuna umuhimu wa kuweka mitihani ya leseni kwa Wahitimu?

    Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya, kwa kushirikiana na vyama vya taaluma husika na mamlaka husika za kitaaluma, haioni umuhimu wa kuanzisha mfumo wa mitihani ya leseni (Licensing Examination) kwa wahitimu wa kozi za Radiography katika ngazi za Certificate na Diploma kabla ya kuruhusiwa kutoa...
  5. G Sam

    Lema alikosea kuweka upuuzi wake hadharani. Angebaki nao tu kichwani mwake asingejibomoa vile

    Kila binadamu anaweza kuwa na upuuzi wake mwingi kichwani. Unaweza kuwa na upuuzi wa kiwango cha juu umeubeba kichwani ila kwa kuwa haujulikani kwa watu basi unaendelea kuheshimika. Siku ukiamua kuubwaga upuuzi uliobeba kisha watu wakausikia hapo ndipo dharau zitaanza. Hata wewe hutaamini kwamba...
  6. Lycaon pictus

    Dodoma walikumbuka kuweka public parks?

    Au walikaba kila eneo? Uhuru park Kenya. Ekari 32 Golden Gate San Franscisco. Zaidi ya ekari 1000 New York Central Park Zaidi ya ekari 800. Madrid. Ekari 350.
  7. Lycaon pictus

    Dodoma walikumbuka kuweka public park?

    Jamaa walikumbuka hili au wamekaba viwanja vyote kabisa?
  8. L

    Hata Maria Sarungi Naye alitengenezaga Maigizo Ya Kujifanya Ametekwa . Watanzania Kaeni kwa Kutulia na Muwe makini sana na Maigizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti. Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji . Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
  9. Roving Journalist

    Responded TTCL yafafanua hoja ya kuweka mnara Kibiti kisha kutoilipa familia husika

    UFAFANUZI KUHUSU HOJA YA MADAI YA FIDIA YA MAZAO KATIKA ENEO LA UJENZI WA MNARA WA TTCL – KIBITI Kufuatia hoja iliyowasilishwa kupitia mtandao wa JamiiForums yenye kichwa cha habari “TTCL wameweka mnara eneo letu Kibiti, mazao yameharibika na hatujalipwa fidia,” Shirika la Mawasiliano Tanzania...
  10. M

    Nimekuwa muafrika wa kwanza kuweka order ya TESLA ROADSTER nikiwa nimeweka amana ya $50k Leo na ndani ya siku 10 zijazo nitamalizia $200k zilizobaki

    Pesa so Kila kitu lakini ni muhimu kuwa na pesa ndugu zangu Tesla roadster yangu nitalipokelea Hong Kong 2028 kama mkiwa hai mtaliona tanzania
  11. Bichwa ndani ya dryer

    Waajiri acheni utapeli wa kutoa matangazo ya ajira Kwa Vijana bila kuweka wazi kiwango cha mshahara

    Yaani unataka mtu awe na degree, experience ya miaka kibao, skills za kutosha, afanye kazi under pressure, lakini kwenye mshahara unaweka kimya Boss, unatafuta mfanyakazi au unatafuta mtu wa kujitolea? Kama ni siri sema! Wekeni hata salary range basi, watu wajipime kabla hawajapoteza muda na...
  12. A

    KERO TTCL wameweka mnara eneo letu Kibiti, mazao yameharibika na hatujalipwa fidia

    Naandika hoja hii nikiwa mwananchi na Mkazi wa Kijiji cha Nyambili, Tarafa ya Bungu, Wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani kuna kero inayotukabili tangu mwaka 2020 hadi leo bila kupata ufumbuzi wala haki yetu. Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lilikuja na kujenga mnara wa mawasiliano katikati...
  13. livingroom_espionage

    Hakuna mtu aliyetenda dhambi kubwa duniani kama aliuegundua kuweka sponji kwenye sidiria.

    Yaani, ukiwa pale mashati bar njia panda ya mbweni huwezi kuamini macho yako. Dah! One man down, tena leo jumatatu mchana sijui ndio amekuja kula lunch alafu akamalizie pale DM Lounge. Nawasilisha
  14. A

    KERO Wakazi wa Pwani, Mkuranga eneo la Mipeko tunateseka na umeme mdogo kwa zaidi ya miezi miwili

    Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V). Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
  15. R

    Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa ruti ya Elfu 13, 500 Asubui Morogoro-Dar na kuweka ya 50,000 ambayo wananchi wengi hawaimudu?

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha: "Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎 Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔 Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena...
  16. W

    "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  17. Msanii

    Thread ya kuweka majina kuwasadia wazazi VIJACHO, na wanaotafuta majina mapya. Taja jina, jinsia, asili na maana yake

    Ashe-Engai Jinsia: me Asili: Maasai Maana: Ashe = Ahsante, Engai = Mungu
  18. Burn the bridge _Tz

    Zamani MWANAMKE akiwa hajitambui nilikuwa namuacha, siku hizi akiwa ajitambui na kuweka kwenye kundi la sex tu.

    Akiwa hana akili simuachi Ila natumia nyeti zake mpaka zitepete Mana mtu unamuelekeza haelekezeki sasa naelekeza nyeti zake. *****
  19. A

    KERO Kusafisha Mto Ng'ombe (Dar) kisha kuweka uchafu kwenye milango ya makazi ya watu sio salama kiafya

    Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
  20. Kijakazi

    Barabara zote ni za serikali, polisi wanaweza kukuzuia kuweka gari lako barabarani!

    watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
Back
Top Bottom