kuwa

Wyoming Public Radio (WPR) is the statewide public radio network in Wyoming, and is licensed to the University of Wyoming, with headquarters inside the basement of Knight Hall on the UW campus on East University Avenue (at the corner of South 12th Street and Ivinson Avenue) in Laramie.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Sio Siri, Kimtindomtindo na Kimyakimya Wanakubali Kuwa Huyu Mtu Sio Boya Kama Walivyodhani

    Walifikiri itakuwa rahisi mno kumuangusha, yaani kama kumsukuma mlevi tu. Ndo maana kirahisirahisi tu wakaja hivi.......... 1. No vile no hivi. Ikawa vilevile, dadadeki. 2. Waliwafadhili vigen z vya Kenya kumtusi kwa Kila namna, kwa sababu ambazo hata hazieleweki. Wamemaliza matusi, wamemwacha...
  2. Hivi ni kweli hii kuwa ma-RAS wote, Wakuuu Mikoa, ni Usalama wa Taifa?

    Jamani nimeshangaaa sana baada ya kuabiwa kuwa asilimia 90 ya marasi ,wakuu wa mikoa, ni usalama wa taifa. Either ni usalama wa CCM, au usalama wa Rais au usalama wa Taifa. Nimeumia sana , nimeishiwa power. Kwa maana hiyo chadema au upinza kuitoa CCM bila nguvu kubwa ya umma, tusahau kabisa...
  3. M

    Hata kama ni kweli Rais ataongeza awamu za ziada, MTAFANYA NINI ?

    Mapovu ya keyboard warriors yamejaa mitandaoni baada ya tetesi ya kwamba Rais anaweza kuongeza muda wake kwa kuongoza awamu nyingine kupitia katiba inayoweza kupitishwa bungeni. If that will Happen, MTAFANYA NINI ? 😂😂 Haya twendeni kazi wazee wa "tunalaani vikali" na wachimba mikwara kwenye...
  4. Tanzania kuwa na Rais mwanamke ni mapinduzi kwa haki na usawa wa wanawake sio tu nchini bali kwa Afrika na dunia

    Nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana, siku mkewe alipojifungua alikosa furaha sana baada ya kujifungua mtoto wa kike. Eti alikuwa akitaka mtoto wa kiume wa kwenda nae salon kunyoa pamoja kama nilivyokuwa nafanya mimi tukikutana salon. Sababu ya kutaka mtoto wa kiume ilikuwa ya kipumbavu sana...
  5. BREAKING NEWS: MAURICIO POCHETTINO ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA WA MANCHESTER UNITED

    Manchester United imemteua Mauricio Pochettino, raia wa Argentina, kuwa kocha wake mpya. Pochettino ni kocha mwenye uzoefu katika soka la Ulaya, akiwa amewahi kufundisha Tottenham Hotspur, Chelsea na Paris Saint-Germain (PSG). Anajulikana kwa falsafa ya soka la kasi, pressing, nidhamu na kukuza...
  6. Wale tuliokuwa na ndoto kubwa kubwa kama kuwa marubani tukutane hapa tujadili.

    Salaam wakuu, Binafsi nilikuwa na ndoto ya kuwa rubani. Ila kwenye harakati za maisha nimepitia kazi nyingi pamoja na kuwa mgambo wa jiji, nimekimbizana sana na machinga. Hakuna kozi ya ndege nimewahi soma wala kushika engine ya ndege zaidi ya kurusha hizi aviator za online na kupoteza pesa...
  7. U

    Uteuzi: Baba Mtakatifu amemteua Padre Joseph Mashaka Triphon kuwa Askofu wa Jimbo jipya la Nzega

    Hongera kwa kupandishwa cheo Hongera kwa uteuzi Menu Baba Mtakatifu Vatican Kanisa Ulimwengu Chagua lugha yako Youtube Instagram Rss Tafuta Tafuta Le Dieu cachè RatibaPodcast Askofu Joseph Mashaka Triphon, C.S.Sp., Jimbo Katoliki la Nzega, Tanzania Vatican Askofu Joseph Mashaka Triphon...
  8. Sex ni kitu ambacho kiko overrated sana. Hata sex yenyewe inajaribu kukuonesha kuwa sio ya thamani pale unapo piga goli immediately unaanza kujilaumu

    Miaka 30 jela. Uraibu wa pornographia pedophilia Cheating. Kufirisika. Kuharibu mahusiano. Kufumaniwa. Kuzazaa ovyo na kuongeza watoto wa mitaani Aaaaargh!
  9. Elimu inaweza kuwa njia ya kupata wateja

    Katika biashara, si lazima kila mara uanze kwa kuuza bidhaa au huduma zako. Wakati mwingine, njia bora ya kuvutia wateja ni kuwafundisha na kuwapa suluhisho la changamoto zao. Unaposhiriki elimu yenye manufaa kupitia mitandao ya kijamii, blogu au video: Unajenga uaminifu kwa wateja wako...
  10. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  11. E

    Hawa viongozi na watumishi wa umma tulio nao ni wazi wamelelewa na viboko Je vimewasaidia vipi kuwa na maadili na waeledi katika kazi zao!?

    Hoja kubwa inayosemwa ni viboko vikiondolewa tutaleta kizazi cha ovyo, Huyo mtoto anazaliwa akiwa ovyo au jamii ndio imamtengeza awe ovyo!? baadae ndio fimbo imrekebishe? Hawa viongozi wa sasa na watumishi serikalini ni wazi wamesom zama za viboko ni kitu gani viboko vimeongeza katika uadirifu wao?.
  12. U

    Mimi ni mkiristo lakini nimefanya utafiti WANGU na kuhitimisha kuwa Isaka na Yakobo mwane walikuwa Waislamu

    Isaka Mwana wa Ibrahim na Yakobo Mwana wa Isaka wote walikuwa Waislamu Ndugu zangu wakiristo tubadilike
  13. H

    Kwa Nini Jamii ya Kimataifa Haiitangazi CCM Kuwa ni Terrorist Party, Sawa na Ilivyo kwa Hamas?

    Jina Terrorist linatokana na neno Terror, ambalo maana yake ni tishio. Na kutokana na neno hili unapata maneno mengine kama TERRORISE (Kutishia) TERRORISM (utishaji)na TERRORIST (mtishaji). Mtishaji (terrorist) anaweza kuwa mtu binafsi, taasisi, kikundi, chama au hata Serikali. Silaha kubwa...
  14. Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
  15. Hiyo inayodaiwa kuwa nyumba ya akina “Lissu”

    Watu waliofilisika ki hoja na ki fikra, huishia kufanya mambo ya kitoto na ya kipumbavu. Hiyo wanayodai kuwa ni nyumba ya akina Lissu, ina ubaya gani? Asilimia kubwa tu ya Watanzania wanaishi katika nyumba kama hizo. Hakuna lolote lililo la ajabu kuihusu hiyo nyumba. Kuishangaa na kuanza...
  16. O

    Watu Nane Wauawa kwa Risasi na Watu Wenye Silaha Wanaodhaniwa Kuwa Al-Shabaab Kaskazini mwa Kenya

    Hali ya taharuki na hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa maeneo ya mipakani kufuatia tukio la kusikitisha ambapo watu nane waliripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi. Shambulizi hilo lilihusisha watu wenye silaha kali wanaodhaniwa kuwa wanamgambShabaab, jambo ambalo limezua wimbi la majonzi makubwa...
  17. K

    Kuanguka kwa ANC je ni dalili kuwa genge la watekaji linalojiita chama la CCM kuanguka?

    Kuna taarifa kupitia vyombo vya Habari ikiwemo South African Broad -casting Corporation (SABC) kuwa ANC kule Africa kusini imegeuzwa mdebwedo sasa hili genge la watekaji hapa nchini linalotegemea yale magenge ya watekaji wenzao linaloitwa ccm ndio anguko lake au? naomba majibu wakuu.
  18. R

    Mahakama Kuu Somali yatangaza kuwa Rais wa Somalia ni haramu, hana uhalali wa kutawala

    Habari ndiyo hiyo! Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State ===== Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
  19. M

    Mtoto anafikisha ujumbe kuwa maji wanayopata hayafai kwani yanafanana na chai

    Msikilize huyu mtoto kisha jitafakari, mtoto anatambua ana haki ya kupata huduma bora ya maji safi na salama na si kama hayo yenye rangi kama chai ya rangi. Anatania kuwa akiwa Rais mambomba yatatoa maziwa na chai ya rangi kama hayo hapo.
  20. Tovuti ya mahakama kama hii kesi ilikuwa kubwa kwa nini muweki kuwa mlifanikiwa kuhukumu.

    Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa. Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…