Imenifanya kutumika kihisia, hasa kipindi nakuwa..
Imenifanya kuwa mtumwa wa maumivu ya watu.
Highly sensitive tunabeba hisia sana, ndo maana hata maumivu ya mapenzi huwa ya nachelewa sana kuishia.
Tukipenda, tumependa kweli, yaani upendo shatashata, ila tukisense usaliti tu, ndo huwa...