Wyoming Public Radio (WPR) is the statewide public radio network in Wyoming, and is licensed to the University of Wyoming, with headquarters inside the basement of Knight Hall on the UW campus on East University Avenue (at the corner of South 12th Street and Ivinson Avenue) in Laramie.
Taarifa muhimu hapa JF asubuhi ya leo ni kuwa kuna Rufaa ya Jamhuri dhidi ya hukumu iliyotolewa na kumtakasa Lissu, viongozi wa Chadema na Watia nia wa Chadema zaidi ya 300 dhidi ya tuhuma za Uhaini.
Tumeambiwa kuwa rufaa hiyo inaandaliwa na Ofisi ya DPP, anakofanya kazi Wakili Mkuu wa Serikali...
Kipindi cha jpm kazi za kujitolra watu walikuwa wanaaply kwa sasa hakuna kitu kama hicho. Ajira sasa hivi kila kona ushindwe mwenyewe. Jpm aliharibu nchi kiasi graduates wanaambiw awawe machinga lakini sasa hivi hakuna graduate machinga wala bodaboda nchii imekuwa tamu
DOKEZO
Kuna Serikali nne za Afrika zinafanya majadiliano tangu wiki iliyopita, majadiliano hayo yamelenga kufungia mtandao wa TikTok kwenye nchi hizo nne kwa madai ya kuwa unachochea machafuko ya kisiasa
Malalamiko yao yanashutumu mtandao wa TikTok kwa kuruhusu watumiaji hasa vijana kufanya...
Mange kimambi na wana harakati wengine wa mitandaoni wanaompinga Samia wako kwa maslahi yao binafsi.
Wapo wanaoishi kwa kutegemea wingi wa Wafuasi wao kupata chochote kitu kutoka META, mfano Kigogo. Kigogo anatumia umbumbu wa Watanzania wengi kutengeneza maudhui ya uongo (uzushi) ili...
Wakuu kwema utani kidogo
Wakuu hivi bado kuna watu hawajagundua kuwa chai na chapati mbili siku hizi hazishibishi ?
Mimi binafsi nikiwa kawaida napiga chapati tano na nikiwa na mood mbaya napiga hadi nane
AMRI YA 9; USIMSHUHUDIE JIRANI YAKO UONGO. UNAWEZA KUMSHUTUMU MWĪZI AMBAYE HUJATHIBITISHA KUWA AMEIBA?
Anaandika Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna jambo moja ambalo watu wengi hulikwepa wanapozungumzia haki, ufisadi na uwajibikaji wa viongozi: Je, kupigania haki kunakupa ruhusa ya kutoa tuhuma...
Hata mtoto wa IJA aliyefuatilia mwenendo wa kesi ya Lisu , hata yule mwenye very basic education ya sheria, hata yule anayesoma hukumu TANZLII bila kwenda shule ya sheria, anaona ukweli kuwa kesi ya Lisu imekuwa flawed!
Wewe ndiye una tabia ya hovyo kushindwa kuuongoza muhimili wa mahakama...
Hamjachelewa ni wakati muafaka kuirejea dini ya haki. Mungu ni mmoja tu Allah na Mohamad ndiye Mtume wake wa mwisho
Qur'an, Sura Al-Ma'idah, 5:116), Siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atamuuliza Nabii Isa iwapo aliwaambia watu wamwabudu yeye na mama yake kama miungu wawili badala ya Mwenyezi Mungu...
Huu uzi unatokana na observation zangu.
Tulikuwa tunaambiwa tangu tukiwa wadogo usimuamini mtu (dont trust any one trust yourself ) na mimi OMOYOGWANE nakwambia usiuamini utajiri trust yourself.
Jinsi maji yanavyoweza kuganda na kuwa barafu kisha yakayeyuka tena kuwa maji kama mwanzo na...
Katika mahojiano yake ya hivi karibuni na Global News, nyota wa Vancouver Whitecaps FC, Thomas Müller, ametoa maoni yake ya wazi akieleza kuwa ligi ya MLS haina ubora mkubwa wa kiushindani kama ligi za Ulaya kwa sababu haina mfumo wa timu kushuka daraja (relegation).
Kwa kawaida timu zilizopo...
Naitwa Mkuyawa, na sitaisahau siku nilipokwenda pale Ubungo stendi ya daladala ndogo , mwaka 1998 , nikiwa na haraka zangu za kurejea nyumbani kwetu TANDALE KWA MFUGA MBWA. Nilipokuwa nikikatiza katikati ya umati wa watu na kelele za wapiga debe, kijana mmoja alinisogelea kwa siri. Alinionyesha...
Makadirio ya Kituo cha Utafiti cha Pew yanaonyesha kuwa kutakuwa na Waislamu bilioni 2.57 na Wakristo bilioni 2.52 ifikapo mwaka 2035. Watafiti wanasema tofauti katika viwango vya uzazi zinachangia mabadiliko hayo.
Uislamu na Ukristo vinaongezeka kwa ukubwa, lakini idadi ya Waislamu inaongezeka...
Nakushauri sana, tafadhali jiangalie kabla haujaingia kwenye huu mtego. Acha kabisa. Mmekaa na ****** kwenye Ofisn mnajadili asilimia zenu kabla hata Huduma hamjakamilisha what a f*ck?
Hii siyo njia sahihi. Pesa zinazohusiana na miradi mikubwa ya serikali zina uangalizi mkubwa, hata kama si...
In recent years Tanzania kumekuwa na video za watu wengi sana ambazo zimevuja mitandaoni zikionesha wakiwa wanafanya ngono. Hapa siongelei porn acting/ porn industry, hapana. Naongelea video za wapenzi wawili wanaojirekodi wakifanya ngono na kisha mmojawapo anazipost mitandaoni na zinasambaa kwa...
Rwanda ni nchi ndogo yenye watu takriban milioni 14 tu na haina hata bahari wala bandari (landlocked). Lakini katika robo ya pili ya mwaka 2026, uchumi wake umekua kwa asilimia 9.4%! Wakati huohuo, kufikia Oktoba 2026, mfumuko wa bei mijini umefika asilimia 19.5%.
https://youtu.be/V09ooCmyH3o...
Habari wana JamiiForums,
Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wanajukwaa, hasa wale wenye uzoefu wa masuala ya ajira za Serikali na Sekretarieti ya Ajira (PSRS).
Nilikuwa nimeomba nafasi ya kazi ya ARTISAN GRADE II – ELECTRICAL katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO).
Baada ya majina ya...
Nilisafiri kutoka jimbo langu mpaka jimbo la mpenzi wangu kwenda kuwaambia wazazi wake kuwa niko tayari kulipa mahari ya binti yao. Baada ya mazungumzo mafupi na wazazi wake, kulingana na utamaduni wao, mwanaume yeyote anayetaka kuoa kutoka kwao lazima afanye kazi ya shamba kwa mwezi mmoja mzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.