kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Tumelogwa na nani? Rais wa Camerron Anategemea kuitembelea Caméroon kutoka Geneva anakoishi!

    Rais wa Cameroon Paul Biya, anategemea kuitembelea Cameroon kwa ziara ya wiki mbili kabla ya kurejea Geneva anakoishi.
  2. France walijifanya vinara wa uhamiaji. Leo hii kizazi cha wahamiaji kutoka North na West Africa wanaunguza nchi. UK wao ni ubakaji umeongezeka

    Katika mipango ya kisasa ya EU ilikuwa ni kukumbatia sera la mlengwa kushoto (liberalism), ambao maudhui na haki za mashoga, kuspport course ya palestine na kupokea wahamiaji kiholela ndio zikawa focal points zao. Poland na hungary zilikata uhuni huu kwa kukataa sera za liberalism ambazo...
  3. Ukiona mambo haya kutoka kwa mwenza wako, basi jua kuna uwezekano wa kuchinjwa au kuuwawa... Take care!

    Hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya wenza kuchinjana na kuuana in the name of love, haya matukio yameanza kushamiri sana kiasi kwamba mpaka tunahisi labda mtoa roho amekuja kivingine this time. Sasa kwa kawaida haya matukio huwa hayaji ghafla tu bin vuu,laa! Huwa kuna viashiria fulani fulani...
  4. Khanga kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito za Zanzibar zinapatikana. Bei ya rejareja: sh 20,000/=. Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga tatu. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 3,000/= ndani ya dar...
  5. S

    Papa Leo Xiv aruhusiwa kutoka hospitali

    Ikiwa zimepita siku nne toka afanyiwe upasuaji wa kuondoa sehemu ya pafu lake kutokana na ugonjwa wa saratani, kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV, ameruhusiwa kutoka hospital ya Gemelli alipokuwa akipatiwa matibabu. Vipimo vya damu pamoja na X-ray vilithibitisha kuwa Papa Leo XIV...
  6. K

    KUTOKA "NIKIPATA NAULI" HADI "NIKIPATA MAUA": SASA MJOMBA AMENUNUA VIATU?

    Zamani za kale, miguu ya Mrisho Mpoto ilikuwa haina viatu, na sauti yake ilikuwa kilio cha wanyonge mitaani. Tulimzoea akisaka nauli ya kwenda mjini kumwambia Mjomba kuhusu shida za wananchi, na baadaye akatutengenezea hadithi ya Sizonje kutuaminisha kuwa yeye ndiye kiranja wa wanyonge anayejua...
  7. Makonda ukitabiriwa Mambo mazuri na Mwamposa wa Mafuta, Tony wa Kujaza Gesi mitungini inatosha !!. Kwann utafute Tabiri nzuri Kutoka kwa unaowatesa !!

    Yaan Makonda Unataka Bagonza, Gwajima na wengineo wa aina hiíi wanaotetea Haki, Wakutabirie Mambo mazuri??. Makonda wewe ambaye Historia ya Maisha yako ya Siasa imejaa ukatili na uovu Mkubwa ?. Makonda, wewe endelea kutabiriwa Mazuri na hao wahuni wako. Huku ukijafanya unajali masikin na...
  8. M

    ZERO TOLERANCE !!Serikali ya sasa haina haijaribiwi, Message ilikuwa sent and Delivered Mo29, Vijana mnaotaka kutoka andikeni Wosia

    Sio kwa lengo la kuwatisha lakini ujumbe ulishatumwa mwaka jana na kiongozi alikazia nguvu iliyotumika iliendana na tukio Mtu wa pili mwenye madaraka makubwa nchini alianza kupandisha mabega, kilichotokea ? Be careful out there
  9. Aisee manukato kutoka Zanzibar yapewe maua yake😅

    Nimeagiza manukato kutoka Zanzibar, 😅 binafsi napenda kunukia vizuri 😅 wewe nuna tu🤣 Hizi chuma kutokea Zanzibar ni hatari na nusu kunukia kwa viwango vya kimataifa 😊 Kitu kikapanda nden ge na kufika. nikakichanganya , nikakipuliza shwa shwa , nikawasha gari kwenda glossary mshenzi tu...
  10. A

    KERO Watumishi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chemba bado hatujalipwa fedha za kujikimu na hakuna majibu kamili

    Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma. Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
  11. Kwanini tusipunguze vipindi vya urais kutoka miaka 5 hadi 4

    Mimi naona miaka minne ni mingi sana. Na wagombea ni wengi wenye sifa. Naomba kuwasilisha. Kwa unyenyekevu Happy Nyerere day
  12. M

    Rais Samia akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini

    Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Salem Yousef Alhamdan, Balozi Mteule wa Kuwait hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  13. Kundi la mabinti wa Azerbaijan wagoma kukombolewa kutoka kuvaa hijab na serikali

    Hii dunia ina maajabu yake, wakati wanawake wa Iran wanapigania wapate uhuru wa kuvua hijabu, wameibuka kundi la mabinti wa Azerbaijan wanalilia waendelee kuvaa hijab zao shuleni baada ya serikali kupiga marufuku mavazi yoyote ya kidini kwenye shule! Kupumbazwa na dini ni jambo baya sana na la...
  14. Waafrika tunapambana kujionesha bora na kutaka sifa na validatio kutoka kwa watu weupe

    Waafrika hatupambani kuwashinda wengine. Tunapambana kusindikiza wengine. Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex). Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa nguvu na akili zetu wenyewe bila kutaka recognition na validation kutoka kwa watu weupe. Sisi waafrika...
  15. A

    Malalamiko kuhusu dai la faini kwa abiria wa SGR

    Leo, Oktoba 10, 2026, mimi na ndugu yangu tulisafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro, katika behewa namba 14, siti namba 41 na 42. Wakati wa kukata tiketi, tulifanya makosa kwa kukata tiketi mbili zenye jina moja. Hata hivyo, tulifanikiwa kutatua changamoto hiyo na kupanda...
  16. Simu kutoka mkoani: Tuliooa/olewa na wachaga ndoa zipo mashakani

    Kila mzazi au ndugu wa ndugu yake aliyeowa mchaga roho iko juu juu ya trend yanayotaokana na kuowa mchaga au kuolewa na mchaga Hofu imetanda kila mmoja akowaza hatma yake siku za usoni je nitaliki au nikomae maana jamii imejaWa sumu kali juu ya hao jamaa Kila mtu roho ipo juu wazazi wanapiga...
  17. Angelelli Automobile kutoka Rome, Italia, Wamezindua Kijigari Tipo 829. Wapenzi wa Manual Transmission ili sio la Kulikosa.

    Angelelli Automobile ni kampuni kutoka Italia, linalotengeneza sana hyper car and supercars. Na sasa Wamewaletea Tipo 829. Hivi vigari ni manual transmission, na vitakuja options tatu, zipo za 4-cylinders na V6, zikiwa na engine kuanzia 2.0 L hadi 3.2 L na zitatoa 420 HP hadi 500 HP, na...
  18. A

    HOJA Ufafanuzi wa mabadiliko ya gharama za masomo UDSM

    Habari zenu, ndugu zangu wanafunzi. Ninaomba nirejee suala hili kwa mara nyingine, nikitumaini kwamba sasa nitaeleweka vizuri. Naomba mnipatie nafasi nieleze kwa kina kuhusu mabadiliko ya gharama za chuo chetu. 1. Sababu za mabadiliko ya gharama za chuo Kwanza, mabadiliko haya hayajafanyika...
  19. F

    Wanawake wa kichaga hasa hawa kutoka Machame ndiyo wanawake wife material

    Kiukweli hawa wanawake wa kichaga hasa hawa wanawake wa kutoka Machame ndiyo wife material kiukweli yaani mimi baada ya kumpiga chini yule Mnyantuzu nikaenda kwa hawa wanawake wa kichaga kutoka Machame kiukweli nimepata amani ya moyo na maisha yangu yanaenda sawa nimejenga nyumba 2 Machame...
  20. O

    Ilianzia Kama Utani: Raia wa Nigeria Afariki Angani Akirejea Nyumbani Ndani ya Ndege ya Kenya Airways"

    Tukio la kusikitisha limetokea angani ndani ya ndege ya shirika la Kenya Airways (KQ) iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA), Nairobi kuelekea Lagos, Nigeria, baada ya abiria mmoja wa kiume kupoteza maisha kabla ya ndege hiyo kutua. Jinsi Tukio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…