kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. PSL god

    JamiiForums Tanzania Mume aliyegongewa mke wake na baltasar wa guinea asafiri kutoka dubai kuvunja ndoa

    Hahaha wakuu ogopeni sana mitandao ile connection imezidi kugharimu ndoa za wakubwa serikalini guinea humo ndani Hii ni video inayoonyesha Mume aliyechapiwa na anasikitika sana maana alikuwa dubai kwenye biashara zake ila marafiki zake walimtonya mbona mkeo kaonekana kwenye video huko...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Israel inapata nguvu kutoka nchi za Ulaya Magharibi na Marekani

    Israel inapata kiburi cha kuua watoto na wanawake kwa misaada ya magharibi. Bila hivyo isingelithubutu,… Msikiliza professor huyu akisema Iran ilikuwa imetengeneza silaha hizo kujihami na ubeberu wa Marekani sio Israel ambayo pekee yake sio kitu ingeteteleka muda wa wiki moja...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukikutana nao tu halafu ukajifanya unaulizia Juice ya Azam au Ice Cream ya Azam tegemea kupata Kipondo kutoka Kwao kwani inawauma sana

    Kinachonishangaza ni kwamba Wengine tumeshazoa Kutaniwa, ila Wao sasa ukiwatania tu wanataka hata Kukupiga.
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Black Magic: Siri ya kwanini Watu hupelekwa Makaburini na Waganga

    BLACK MAGIC: SIRI YA KWA NINI WATU HUPELEKWA MAKABURINI NA WAGANGA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Makaburini ni Makazi ya Wafu àmbapo ulimwengu waô huitwa kuzimu. Kaburi ni mlango wa kuzimu. Yaani pale utakapozikwa ñdipo lango Lako la kuzimu lilipo. Kaburi ni kama...
  5. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

    Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako. Niulize kwanini? Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

    Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania New Guinness World Record: Hybrid kutoka China imetembea Kilometa 2,200 bila kuongezwa mafuta!

    Ni kutoka China tena. Kampuni ya magari kutoka China ya Roewe wamevunja record ya Dunia kwa kutembeza gari lao la D7 zaidi ya Kilometa 2,200 bila kujaza mafuta wala kuchaji. Ni Plug-in Hybrid inayokuja na engine ya 1.5 L petrol inayotoa 110 hp na electrical motor inayotoa 200hp, na ikiwa na...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanasambaza maji kutoka Tanzania mpaka Gaza.

    Wanaukumbi. Watanzania waingia Gaza na misaada wakigawa chakula pamoja na maji ya kunywa kwa raia wa Palestina.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Gharama za treni mpya ya EMU kutoka Dar hadi Dodoma zilipaswa kuwa gharama za usafiri wa ndege

    Treni mpya ya SGR yenye mfumo wa Electrical Multiple Units (EMU) imeanza safari za Dar Moro Dodoma tangu tarehe 1 mwezi wa 11 2024. Licha ya kuwa more comfortable zaidi ya zile za kawaida, treni za EMU zinafikia kasi ya juu kwa haraka zaidi. Safari ya kwanza kutoka Dar kwenda Dodoma imechukua...
  10. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia!

    Nimetunukiwa Cheti cha Kuhakiki Tafiti kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia! Nina furaha kubwa kushiriki kwamba nimepokea cheti cha kuthamini mchango wangu kama mtoa tathmini wa tafiti (peer reviewer) kutoka Jarida la Gesi Asilia la Sayansi ya Jiolojia. Hii ni hatua kubwa na...
  11. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Muda wowote kutoka sasa Iran ataishambulia Israel kabla ya uchaguzi wa Marekani November 5.

    Habari za kuaminika kutoka vyanzo vikubwa vya habari duniani kuwa Iran itatekeleza ahadi yake ya kulipiza kisasi kwa nchi ya Israel kutoka sasa na kabla ya uchaguzi mkuu wa Marekani unaotarajiwa kufanyika November 5. Iran preparing strike on Israel from Iraqi territory within days, Axios...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Hii ndio dhana halisi ya Rais Samia kufungua nchi, Leo biashara ya nje imekua kutoka Trilioni 47 Mwaka 2021 mpaka Trilioni 87 mwaka 2024

    Katika ukurasa wake wa X Mkurugenzi Mtendaji wa PPP-CETRE Tanzania Bw David Kafulila amesema kauli ya Rais Samia kufungua nchi kwenye takwimu inaongea kwa sauti ya juu zaidi kwa miaka hii Mitatu. Kafulila anasema kabla ya Rais Samia mauzo ya ndani na nje yalikuwa na na Jumla ya US$ 17.4bn sawa...
  13. excel

    JamiiForums Tanzania Unailindaje TV yako kutoka kwenye uharibifu wa watoto wadogo?

    Kulea watoto nyumbani huku kukiwa na vitu rahisi kuharibika kama Tv karibu imekuwa changamoto sana watoto wanapenda kushika shika Vitu pasipo kujua hatari zake. Kwa upande wa Tv basi imekuwa kero, watoto hurusha midori, mipira au kupanda juu ya Tv kabisa hivyo kupelekea kuvunjika kwa kifaa...
  14. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Pengine; nimekutana na malaika kutoka mbinguni

    Ni hivi, upwiru unavyozidi mtu una hangaika hangaika, nimekutana na m-shangazi mmoja hivi, sasa hapa na pale tukaelewana tukaweka miili yetu kitandani Siyo kesi, nikawa nasubiri ile sehemu ya pili, invoice, nilistaajaabishwa hakukuwa na invoice wala nini, nikasema labda kwasababu ya show ya...
  15. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Boniface Jacob (Boni Yai): Salamu kutoka Segerea (Ujambazini)

    SALAMU KUTOKA UJAMBAZINI.. Najua ukisikia neno “ujambazini” lazima utashtuka kidogo. Nikutoe hofu neno kabisa. Neno ‘ujambazini’ ni jina la eneo kama ilivyo Posta, Masaki au Manzese. Nikupeleke sasa Ujambazini huko. Ujambazini ni Magharibi mwa Jiji la Dar es salaam, na kusini mwa Wilaya ya...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uingizaji wa vitu Tanzania, kutoka Nje na changamoto kubwa kwa watu wa mikoani

    Inasikitisha kuona office nyingi ziko Dar pekee wasafirishaji kama dhl, sailenti osheni n.k hawana office baadhi ya mikoa vile vile mikoa waliyopo Wana gharama kubwa sana!, anyway watu wa mikoani tunaumia mnavyotutenga na hizi pesa zenu mnazowekeza Dar pekee why hata katika majiji tu walau...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Vidokezo vya Kina vya Matunzo ya Gari kutoka Al Husseiny Auto Parts Tanga - 0713 276892

    Vidokezo vya Kina vya Matunzo ya Gari kutoka Al Husseiny Auto Parts Tanga - 0713 276892 Kuwekeza muda na juhudi kwenye matunzo ya gari lako ni njia bora ya kuhakikisha kuwa linafanya kazi vizuri na linaweza kudumu kwa muda mrefu zaidi. Hapa kuna baadhi ya vidokezo vya msingi ambavyo vinaweza...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa vya magari used kutoka Dubai

    Husika na mada tajwa hapo juu , naomba muuzaji wa spear za magari used au mpya kama ipo spear hii naomba uniambie bei yako hapa nahitaji rejeta full pamoja na caulling yake na reserve tank ya coolant ni shilingi ngapi ukiwa mpya au used ya Japan au Dubai ,gari aina ya Toyota Brevis 1JZ FSE
  19. P

    JamiiForums Tanzania Salam kutoka US: Aliyemtendea wema huyu mama abarikiwe

    Katika harakati za kubeba boksi nikakutana na mama mmoja wa kitasha. Kimsingi kuna kitu nilikuwa nahitaji ila nilipungukiwa cash na sikuwa na card. Nikamwambia isiwe kesi niwekee nitakuja kuchukua. Yule mama akaweka label, mimi katika harakati zangu baadae nilipotezea kwenda kuchukua kile...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Kisarawe imeshindwa kukusanya Tsh. Bilioni 6 ya Ushuru kutoka Yapi Merkez

    Mbunge Halima Mdee akizungumza wakati wa mjadala wa Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC kuhusu Ripoti ya CAG katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12 ulioanza leo Oktoba 29, 2024 na kutarajiwa kuendelea hadi Novemba 8, 2024, amesema mapato Tsh. Bilioni 61.15 hayakukusanywa katika vyanzo muhimu Amesema...
Back
Top Bottom