kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea faru weupe kutoka Afrika Kusini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mara ya kwanza imepokea Faru weupe 18 kutoka nchini Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli za uhifadhi nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi,Dkt.Pindi Chana (Mb) ameyasema hayo leo katika...
  2. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaidai UK Euro millioni 50 za mkatapa wa wahamiaji kutoka UK

    Mahusiano ya Rwanda na serikali ya Uingeleza, siku za nyuma yalikuwa mazuri. Mwaka 2022, mwezi wa nne, enzi za waziri mkuu, Rishi Sunak, serikali zote zilisaini mkataba wa mamilioni ya Euro. Baada ya waziri mkuu wa sasa kuingia madarakani, mkataba huo ulizikwa, na serikali ya UK ikaiomba Rwanda...
  3. MK254

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Charles Martel, aliyeokoa bara Uropa kutoka kwa mapanga ya waislamu

    Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini. Hii ilikua enzi ambapo uislamu ulikua unaenezwa kwa mapanga na walijaribu kushambulia Uzunguni ila wakakuta pagumu. Huwa...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Lebanon yanasa dola milioni 2.5 kutoka Iran zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Hezbollah.

    Lebanon yatwaa dola milioni 2.5 zilizokuwa zikitumwa kwa Hezbollah kutoka Iran baada ya kumnasa mtu kwenye uwanja wa ndege katika tukio "lisilo na mfano". Mtu anayedaiwa kubeba dola milioni 2.5 pesa taslimu zilizokuwa zikipelekwa kwa kundi la kigaidi la Lebanon Hezbollah aliripotiwa kuzuiliwa...
  5. sulemoney

    JamiiForums Tanzania UFADHILI WA MASOMO KUTOKA BODMAS

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikimtaja mdogo wangu aliemaliza kidato cha nne na kufaulu vizuri, ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA...
  6. sulemoney

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wamasomo kutoka BODMAS ni wa kweli?

    Habari wakuu Kuna jumbe imeingia katika simu ya mzazi wangu kutoka kampuni yenye jina la bodmas ikisema hivi. "HABARI, BODMAS IMEMDHAMINI (UJKE NÀTIKULD) KUSOMA CHETI/DIPLOMA (ADA YOTE/NUSU). FOMU BURE! FIKA 3-8/3/2025 AU PIGA 0623.... / 0714....." Je Hawa ni wa kweli?
  7. MBOKA NA BISO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: M23 yawakamata Hackers kutoka Afrika Kusini

    Taarifa zinazotoka mjini Goma, ni kukamatwa kwa watu kutoka Afrika kusini, waliosafiria Passport za Tanzania, kuelekea Goma. Inasemekana, lengo lilikuwa kudukuwa mifumo ya ulinzi inayolinda anga la Rwanda. Kupitia picha zinazosambaa, inasemekana walipofika Goma, walitumia magari ya MONUSCO...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Unajifunza Nini kutoka Kwenye Picha Hii Ya Waheshimiwa?

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kawaida picha huzungumza zaidi kuliko hata Mdomo wenyewe. Pichani ni waheshimiwa viongozi wetu mbalimbali wakati huo wakiwa Mjengoni pamoja wakituwakilisha sisi watanzania. Je wewe Umejifunza nini kutokea katika picha hii? Mimi nimejifunza kuwa Mheshimiwa Joseph...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wadai kuzuiwa msibani kwa mwanachama wao, kufuatia maagizo kutoka juu

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamekasirishwa na kitendo kinachodaiwa kufanywa na familia ya marehemu kwa kushirikiana na Jeshi la Ulinzi kuwazuia kushiriki kama chama kwenye msiba wa aliyekuwa mwanachama na Mweka Hakina wa chama hicho Jimbo la Mbagala, Bi Rose...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Usia wa busara kutoka kwa shujaa Volodymyr Zelenskyy.

    Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy atabaki kuwa shujaa. Nukuu yake muhimu ya uzalendo hii hapa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuhama kutoka Tamisemi kwenda Taasisi ya Serikali kwa kufanya usaili

    Habari wadau, Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi? Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
  12. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  13. X

    JamiiForums Tanzania Usaliti wanaopitia Ukraine na Ulaya kutoka kwa Marekani, kihistoria ni kawaida ya Marekani. Sio taifa la kuliamini kwa 100% Tujikumbushe kidogo

    Jinsi ambavyo ghafla Marekani imembadilikia Ukraine na kutafuta suluhu na Russia hii inatukumbusha matukio matatu makubwa jinsi Marekani anavyoweza kubadilika kama kinyonga na kutokuunga mkono. Kabla ya WW2 Marekani ilikuwa ikiunga mkono Ujerumani. Wakati wa WW2, Marekani iliunga mkono USSR...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Uchina Wameunda Kamera Yenye Nguvu Zaidi Duniani, Ikinasa Taswira kutoka Anga za Juu

    Unaweza kusema headline iwe "Ni Uchina Tena" Kamera za Ufukunyuzi Zenye Nguvu Zaidi Duniani zimetengenezwa na Wanasayansi wa China nchi hiyo ikiweka Viwango Vipya vya Upelelezi na Ufuatiliaji wa Kimataifa visivyomithirika. Kamera hizi mpya zina uwezo wa kushinda viwango vya kimataifa vya...
  15. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Dagaa wasio na mchanga kutoka ziwa victoria (dagaa wa nyasi)

    Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa arejesha safari za ndege za Air Tanzania Dar kwenda Iringa. Nauli kuanzia Tsh 199,000 kwenda na Kurudi

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amezindua rasmi safari za ndege kupitia Air Tanzania kutoka Dar Es laam kwenda mkoani Iringa na kutoka Iringa kwenda Dar es laam huku akiitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kujiimarisha zaidi ili kuweza kuwa na ushindani. Prof. Mbarawa amezindua safari...
  17. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Dah! Yaan Tanzania imekuwa ya kutumia nyanya kutoka kenya kweli?

    Aisee ilizoeleka kuwa wakenya huja Tanzania kununua mazao na kuyapeleka kwao Kenya ila Hali sio hvyo kwasasa. Wakulima wa Kenya wamejipanga na kuwezeshwa Sasa wameanza kuzalisha zaidi ya uwezo wao mazao kama nyanya, vitunguu na maharage kidogo kwenye mahindi wanashirikiana na wakulima wa...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Salamu kutoka kwa Trump: Inawezekana ikawa mwisho wa Fulbright programs

    Namna rahisi ya kuingia Marekani ni kupitia Fulbright programs ambazo huchukua watu vichwa kutoka Nchi zinazoendelea na kuwapeleka Marekani kujinoa. Fulbright wanaratibu miradi ikiwemo FLTA ambayo walimu wa Kiswahili wanapata mashavu, pia kuna HHH Fellowship ambayo inachukua wakali wa field...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Anachokitaka mchawi kutoka kwako sio kingine chochote isipokuwa furaha yako. Sababu hizi hapa

    Mchawi hana shida na wewe kuwa tajiri as long as your not happy with your money ( mfano uugue Maradhi ya kukusosesha furaha: E.g kukufanya ushindwe kusimamisha vizuri, usile baadhi ya vyakula mfano vyakula vyenye chumvi, sukari, usinywe pombe etc) Mchawi hana shida na wewe mtoto wa kike...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya

    Tanzania kuchangamkia fursa ya ufadhili wa masomo kutoka Umoja wa Ulaya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), katika mwendelezo wa ziara yake nchini Hungary, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. György Hölvényi, Mbunge wa Bunge la...
Back
Top Bottom