Wadau nina mtoto wa miaka 5, akiwa na miuaka 3 midomo yake ilianza kutoka viganda. Hospitali walimuangalia na kumpa dawa ya kuongeza madini ( hawakusema madini gani). Hadi sasa midomo inakauka na kutoa viganda. Haumwi wala nini, isipokuwa hii midomo inanishangaza maana inakuwa hivi kipindi chote...