kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sheikh Kishki afungua kesi akidai fidia ya bilioni 5 kutoka kwa Ostadh Juma na Musoma

    Sheikh Nurdin Kishki, kutoka Taasisi ya Al-Hikma, amefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Juma Ibrahim, maarufu kama Ostadh Juma na Musoma, akidai kuchafuliwa jina lake. Akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu kesi hiyo, Wakili Mashaka Ngole, anayemwakilisha Sheikh Kishki...
  2. JamiiForums Tanzania Innovation Week Tanzania 2026: Baada ya Uzinduzi wa Jana JNICC, Je Tunavuka kutoka Mipango (Dira 2050) kwenda Utekelezaji?

    Wana-Jamii, Jana tarehe 31 Agosti 2026, Innovation Week Tanzania (IWTz2026) ilifunguliwa rasmi pale JNICC Dar es Salaam chini ya kaulimbiu: "From Aspirations to Transformation: Innovating Tanzania's Path to Inclusive Prosperity." Uzinduzi wa jana umeonyesha nia kubwa ya kuunganisha ubunifu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tume kutoka kuzimu yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

    Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
  4. JamiiForums Tanzania Soichiro Honda: Kutoka Maafa Hadi Ufalme

    Kisa cha Mtu Aliyekataa Kufa Moyo! Unapopitia changamoto na kuona kama kila kitu unachojenga kinaporomoka, kumbuka kisa cha mwanamume aliyeshuhudia kiwanda chake kikiangamizwa na mabomu ya vita kisha tetemeko la ardhi likafagia kilichobaki! Soichiro Honda alianza kwa kutengeneza vipuri vya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali...

    .
  6. JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao. Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
  7. JamiiForums Tanzania Jussa: Rais katoka Zanzibar imekuwa nongwa, Rais alipokuwa wa kwao hawakuona Tanganyika imeuliwa

    Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Ismail Jussa, amewashukia baadhi ya wanasiasa wanaokosoa mfumo wa Muungano na uwepo wa Rais kutoka Zanzibar, akisema wameanza kukumbuka "Utanganyika" wao kutokana na chuki binafsi dhidi ya viongozi waliopo badala ya kusimama kwenye misingi ya kisheria na...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanazungumza na waandishi wa habari kutoka makao makuu

    Maandalizi ya kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA yamekamilika katika Edwin Mtei House, Makao Makuu ya Chama, Mikocheni, Dar es Salaam. Kikao hicho kinafanyika leo, Jumamosi, Agosti 29, 2026, na kitaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche. "Mzee Warioba kwa umri wake hana...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa ndugu Nchimbi kutoka cheo cha uMakamu hadi kutokuwa mwanachama kuna mafunzo mengi ya kujifunza

    Poromoro la kisiasa la ndugu nchimbi kutoka umakamu hadi kuwa raia wa kawaida asiye na chama kuna mambo mengi ya kujifunza kwa viongozi waliobaki: 1. Cheo ni dhamana au ni sawa na koti la kuazima hivyo tusiinue mabega juu. 2. Hakuna mkubwa kuliko chama. 2. Tuwe na nidhamu na maadili kwa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge Bungeni jijini Dodoma. Agosti, 27 2026.
  11. JamiiForums Tanzania Huduma za Web Hosting, Domain, POS, na SMS kutoka FellaHost

    Kama unatafuta suluhisho la kidijitali kwa ajili ya kukuza au kurahisisha uendeshaji wa biashara yako, FellaHost inakuletea huduma mbalimbali kwa bei nafuu na ufanisi wa hali ya juu: Web Hosting & Domain Registration: Usajili wa majina ya tovuti (.com, .co.tz, n.k.), hosting zenye kasi kubwa...
  12. JamiiForums Tanzania NI NJIA GANI BORA YA KUTOA FEDHA KUTOKA META (Facebook).

    Wakuu mimi ni mgeni katika sekta ya pesa mtandaoni, ila Meta kwa sasa wananitaka kuweka payout details, kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua kuna mbinu 3 hivi 1-Kupitia Payoneer 2- PayPal 3-Direct kuja bank zetu hizi Lengo langu pia ni kutunza hivyo vijisenti vikiwa katika Dollar make...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Panapokuwa na Rais wa Bara Muislam panaweza kuwa na makamu mkristo kutoka Zanzibar ?

    Mfano kipindi cha Kikwete alilazimika kuwachagua Ali Mohamed Shein na Mohamed Gharib Bila
  14. JamiiForums Tanzania Tukiondoa Huu Ujinga wa Kudhaminiwa na Chama cha Siasa, 2030 Akisimama Kama Mgombea Huru, Hakuna Mtu Atashindana Naye. Rais Bora ni Kutoka CCM Pekee!

    Wanabodi Kwanza samahani kwa udhamini wa chama cha siasa kugombea uongozi wa umma,mimi kuuita ni ujinga!,kiukweli ni ujinga,https://www.jamiiforums.com/threads/shurti-la-kudhaminiwa-na-chama-kugombea-uchaguzi-ni-shurti-batili-kwa-mujibu-wa-katiba-linatutia-hasara-tulifute.1388948/ Tena ujinga...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania yakopeshwa Billion 459 kutoka korea kusini

    Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila siku kukopa hii nchi itauzwa Source: Africaninsider
  16. G

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI YA ASUBUHI: Leo tusome na tujifunze kwa pamoja hadithi kutoka katika kitabu cha ukweli muaminifu juzuu ya 1 na 2 hadithi 74 ukurasa wa 42

    Tutafakari kwa pamoja.
  17. JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu ilipo ofisi ya Kampuni ya mabasi ya Mozaico jijini Dodoma na Mawasiliano yao.

    Nahitaji kufahamu lipo ofisi ya kampuni ya Mozaico jijini Dodoma na mawasiliano ya kampuni ya mabasi ya Mozaico ili wanisafirishie pikipiki kutoka Dodoma kuja Benako Ngara.
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kutoka Mataifa yaliyoendelea. Hakuna chama cha siasa kinafanya harakati kwa sasa

    Kutumia mbinu za miaka ya 40 na 50 katika era ya Science na Technology ni kukosa ubunifu.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada naomba kujua je, mashahidi walioitwa na Tundu Lissu akina Samia, Majaliwa, Mpango wanaenda kutoka ushahidi upi mahakamani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…